Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] Mbowe?
Huyu kijana hizi kiki ni too much.
Endelea kuniongezea list mkuu,asante.
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina
 
Yaani Hili Malaya la kiganda watu tuko Kwenye kupigana na vita ya madawa limekaa Linafanya uchafu Kwenye ma mall na mjukuu wake likamatwe na Hili
 
Bora huyo kila mtu anajua, kuliko huyu aliejificha kwenye siasa za upinzani.
Acha kujitoa ufahamu huyo ni Philemon Mbowe not Freeman Mbowe wa chadema na Ijumaa hatoripoti polisi.
 
kwani ni mbowe huyu mbona huyu anaitwa freeman hapo wameandika philemoni ebu nijuzeni wajuzi wa mambo
 
Jina unalotumia la nzi ni sahihi kabisa kwako. Kwani Addis Abbaba haiko Ethiopia? Unamkosoaje Makonda kwa kusema mkutano wa OAU ulikuwa Ethiopia?
 
Hata uandike Kimexiko nini Kiingereza lkn Mbowe chadema ni Muuza Sembe!
Ukiamini Freeman Mbowe anauza madawa basi hata ukiambiwa your mother is a prostitute Mara moja utakubali na kutangaza kuwa huo ni ukweli
 
Dah@ huyo namba 36 Bwiru si nilisoma nae Primary school enzi hizo, au mwanawe? Au mjukuu wake? Maana hicho kitakuwa kibibi kizee kama mimi saa hizi!

Makubwa, lakini simshangai kama ni huyo, alikuwa komando toka mdogo shule.
 
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina

Halafu unawapa taarifa Kwenye tv hata Mimi nitasafusha mzigo du jamani hii movie tamu
 
Ukitaka kujua serekali hii inaendeshwa kwa siasa za kitoto na chuki za kipuuzi hebu angalia hiyo list, imejaa nicknames kibao. Kwa watu walio serious tena na jambo ovu kama hilo wangejiridhisha na kupata majina halisi. Sasa hata kupata majina halisi ya watuhumiwa umeshindwa utawezaje kujua kama wanafanya hiyo biashara. Watu wenye uelewa tunawadharau na kuidharau serekali yetu kwa sababu ya huu utoto.


Tanzania hakuna kitu jina halisi, ukianza kutafuta Majina halisi utakesha hautampata mtu, utakuta mtu nyumbani anaitwa Moshi, Shuleni anaitwa John, kazini Mushi, basi mkanganyiko tu,
ila Mbowe ni Mbowe-chadema!
 
Sasa Makonda kaona jina Mbowe karukaruka kwsmba amempata Freeman. Kumbe hakuangalia vizuri jina la kwanza kwambs huyo si Mbowe aliyemkusudia! Kuna dalili za mihemko na kukurupuka!
 
Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
kama hujui vtu tulia usipende kukulupuka azamtv cloudstv wote wamelusha mkutano huu
 
Back
Top Bottom