Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kutaja hakusaidii kitu so long as hakuna nia ya dhati au hakuna uwezo wa kuyashughulikia. Kikwete aliondoka na majina ya wauzaji kimya kimya. Kuwataja hadharani ni kutafuta uhalali wa kisiasa kwamba ahadi zimetimizwa. Ni sawa sasa tudai kwamba hakuna ufisadi kwasa babu mahakama ya ufisadi imeanzishwa. Is it possible?


 
Kitendo cha kumtaja Mwenyekiti wa Chadema, Iddi Azan na Manji ni dalili tosha kuwa maombi yetu ya kuomba kuletewa mapapa wa madawa ya kulevya yamepuuzwa maana wameamua kutulete NYAGUMI.

JAMANI HATA MBOWE??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenyekiti wa chadema hajatajwa banaa
 
sipati picha gwajima atakavyofura, akitoka kuhojiwa, atatapika mpaka watajuta kumfahamu
Anaweza kuhojiwa na hapo hapo akawekwa ndani jumatatu akapandishwa mahakama ni Jmosi na jumapili hakuna dhamana hiyo ndio straight ya Makonda mchafua watu.
 
Season Bado Hina Endelea Maana Hime Kua Gumzo Nchi Nzima Hilisakata la Dawa Ya Kurevya [emoji87][emoji87][emoji87]
 
Ni lini ulikua mwanachadema ndugu yangu?? Mbona dume zima unajitekenya??
 
Nawashauri Idara ya Usalama wa Taifa kumdhibiti Makonda.
Wamthibiti katika lipi Makinda yupo sahihi lazima wauza unga hats kama wenyeviti wa vyama vya siasa waisome no. Awamu hii so ya mchezo mchezo
 
Go Makonda go go go Mungu yuko pamoja wa wale wote tunaoombea hii vita itokomezwe.
 
Tanzania hakuna kitu jina halisi, ukianza kutafuta Majina halisi utakesha hautampata mtu, utakuta mtu nyumbani anaitwa Moshi, Shuleni anaitwa John, kazini Mushi, basi mkanganyiko tu,
ila Mbowe ni Mbowe-chadema!
Unaijua force king?basi ndiyo hiyo na baada ya hapo mshindi hujulikana!Vita hii si ya kitoto.
 
Huko Lumumba hata kusoma hamjui?
 
Hivi mbunge wa Ilala anaitwa nani? na yule alokuwa wa Kino anaitwa nani?....nani ni Zungu kati yao...haya majina na la huyo alowekwa hapo juu ni kama yanafanana....wasije mharibia mtu asiyehusika
Mussa Azzan-Ilala
Iddi Azzan-Kino
 
Jamani Mimi naona makonda anganza na wahusika wakuu ambao kuna ingiza madawa ili kuwanusuru vijana wenzetu

Dada angu, Madawa ya kulevya hayauzwi kwenye duka la Mangi..hakuna mtu atakupeleka kwa drug Lord kama hakuamini. Utaishia tu kukamata vidagaa vinavyo chukua kete mojamoja.

Ila mtu kama Ray C, Wema na wengineo obviously wanachukua kwa supplier wakubwa kidogo coz wana uhakika na privacy na confidentiality ya hao suppliers na Makonda amelijua hilo.

Ukianza kumkamta teja pale mwananyamala huo mlolongo wake kabla hujamfikia big suppliers utakuwa umeweka watu laki 5 pale Central.
 
Mfano we mkaazi wa KINONDONI, mfuasi wa CHADEMA, shabiki wa YANGA, nguo zako unanunua kwa HUSSEIN pamba kali, matanuzi yako ni SEA CLIFF, YATCH CLUB, PALM BEACH na mafuta ya gari yako unaweka GBP petrol station na ibada yako unapiga kwa mchungaji GWAJIMA.
mmh! pole we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…