Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mpaka leo hujui kwanini wauza sembe wanatumia nicknames - Jibu ni fupi na rahisi sana - BIASHARA HII NI HARAMU DUNIANI KOTE - WANAFICHA UHALISIA WAO..... Wakishadakwa watatoa hayo majina yao halali unayoyataka wewe
Yatch club,Sea cliff na palm beach hawana majina?tunataka atuambie majina ya wamilik hao full stop
 
Nani kamlipia airtime Clouds TV?Kwa nini vita hii wanamwachia Makonda mwenyewe?
Watu wachache sana wanauwezo wa kunyanyua mdomo kuzungumzia unga ni mtandao hatari kuliko Google kidogo kuhusu Pablo utapata picha
 
Deliberately constructed...!
“Ukweli una tabia moja nzuri juu yake; kwa wakubwa na wadogo, kwa marafiki na maadui, “UKWELI“ ni ule ule kwa wote. Na tabia moja ya ukweli ni kwamba, ukiubeza, siku zote utaujutia. UKWELI haupendi kubezwa wala kupuuzwa“. ~Tujisahihishe; Mwl J. K. Nyerere

Truth always prevails, no matter ages. Itajulikana tu.
 
Kuna watu wanaonewa juu ya hili naamini.
 


Mwanangu umenena kabisa...Mimi nilikuwa naona ni ustaarab kama hawa viongozi wastaafu na wafanyabiashara wakubwa nchini wasingetajwa hadharani..Wangewaita tu kimyakimya na kuwahoji..Kutuhumiwa na kuwa mshtakiwa ni vitu viwili tofauti. Inaweza kuleta madhara makubwa sana katika biashara za watu na jamii kwa ujumla. Chukulia mfano huyu mwenyekiti wa Yanga aliyetajwa, timu itapoteza mashabiki na uaminifu kwa mwenyekiti wao kwa taarifa hizi.
 
duh..sijui mlitaka atajwe nani??
kama mbowe hausiki maana yake hana hatia..na ataachiwa..hawawez kumfunga n
bila ushahidi....
MNAKURUPUKA TU..KWANI MBOWE HILO JINA KALINUNUA..ALOTAJWA NI pHILEMON MBONE HEBU KANAWENI KIDOGO..
 
Hongera Mh. Makonda.

Lusekelo hayupo?
Hahaha!

Wewe unadeal na Lusekelo tu ngadu kwa ngadu,
Yeye ni Bapa tu na Machozi ya Simba,hizo Unga za ngano yeye hana habari Nazo.
 
Habari za mchana. Ni jambo la msingi na muhimu kwa serikali kupinga na kuzuia uuzwaji na utumiaji wa hayo madawa, pia itasaidia kuokoa maisha ya watanzania wengi hasa vijana ambao waliojiingiza humo, Sifa kwa serikali nzima. Lakini pia ni swala la kuwa makini zaidi ili isije ikatokea wengine wakahusishwa kimakosa. Yususph Manji mmmmh am not sure. Kikubwa watu wafike wanapoitwa pia wasikilizwe. Asanteni
 
Yaani Hili Malaya la kiganda watu tuko Kwenye kupigana na vita ya madawa limekaa Linafanya uchafu Kwenye ma mall na mjukuu wake likamatwe na Hili
Linani hilo tena?Zari?
Hahahah
 

Mkuu kumbuka wa kale walisema ili utembee maili elfu moja lazima uanze kwa hatua moja kwanza. Vita hii ni real siyo virtual kama unavyo fikiria, waliopewa jukumu hili hawafanyi mambo ya kubahatisha na watawashangaza wengi wanao dhani hii ni nguvu ya soda.
 
Ulimsikia Makonda wakati anataja Majina?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…