Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

yule ni philemon mbowe, isome list vizuri na sio freeman aikael mbowe au anatumia jina lingine la philemon mbowe
Mkuu nimesikia clip ya Makonda akimtaja Mbunge wa Hai. Pia Katibu Mkuu CHADEMA kulaani kudhalilishwa kwa Mbowe kama kiongozi wa kitaifa.
 
hongera sana Mh Makonda kwa kujaribu na kutaja wachache wanaosadikika kuuza au kuingiza madawa ya kulevya..mi nachoomba tu sheria zifuatwe kama kuna vithibitisho vitolewe ili wapate fair judgement. madawa yanaharibu sana Watanzania wa ndani na walio nje ya nchi..wafungwa wengi(Watanzania) walio nje ya tanzania ni kesi za madawa...vijana wengi sana wapo katika mambo ya madawa...
to be fair yaani kama mna nia njema na mpo serious na madawa we wataje tu na kuwachukulia hatua
 

Ukweli Ni ukweli mtupu hapa.
 
Mwaka huu umeanza na sinema tamu sana mkuu,tuandae tu popcorn [emoji39] [emoji489]
Mabilioni ya shilingi yanaenda kutoka tena...
Hahaaa hii kesi tamu sana wajanja wamemuachia mlugaluga azidi kujilipua...
 
character assassination? kama nilimsikiliza makonda vizuri ametoa wito wa hao watu kufika central ijumaa kwa tuhuma za ama kufanya biashara za madawa ya kulevya, kutumia madawa au kusadikika kuwa na taarifa zinazohusiana na biashara hiyo. kwa hali hiyo bado ni tuhuma, suppose inakuwa proven kwamba kweli amehusika inakuwaje character assassination? tatizo kubwa naliona there is a lot of emotions involved kutokana na watu wanaoguswa. tuvute subira, a man of integrity cannot easily have his character killed, au Imani imeanza kupungua maze...
 
Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Sasa nimeanza kumuelewa Makonda, hongera sana Makonda umeanza kugusa madons wenyewe.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa mbona wengine kawataja direct tu?
kuna namna hapo,nahisi kuna majina yameongezewa juu kwa juu bila yeye kuwa na taarifa sasa ghafla unakutana nayo,kwa mtu aliyekuwa anaijua listi yote kiuhakika awezi kupatwa na hali ile,wengine kataja unaona kabisa mood imebadilika kuanzia kwa iddi azan.
 
Jinsi pale Bilicanas palivyokuwa, ikiwa anaweza kuuza pombe na kufungua sehemu ya kuuzia na kuharibu jamii, mpaka underage walikuwa wanauzwa pale, unga utamshinda nini kuuza?

Tena huyo ndiyo suspect namba moja.
Mbona koo ya msoga mnaikimbia??
 
is that right? i doubt that..maybe kama umechukua dar as sample na sio tz nzima
Chukulia tz nzima TBC huwezi ukafanya kipindi cha maana na politicians wengi wanaopenda jambo lao kupata umaarufu hawapitii TBC sababu kubwa imekaa kiserikali zaidi haiko kibiashara inapunguza watazamaji kila kukicha Mf .now kama huna bundle una angalia TV1 why nat tbc Tbc1? Clouds ipo kisoko zaidi na inapaisha kweli even Mkuu aliisifia clouds
 
hizo hoja za huyo Kasheku sijui, zisubiri kwanza zoezi hili liishe. walikuwa wapi siku zote kuuliza? ngojeni liishe jambo moja ndiyo tuamie hayo mengine kwanini kudandia mada juu ya movement ambayo inaonekana inamuelekeo mzuri tu mbeleni. naona hapa nia ni kukwamisha hiyo movement. taratibu watu wameanza kusikilizia maumivu!
 
Mbowe nae..... Wapinzani tujipange tena haswaa!
JPM kapania kuuangamiza democracy inchini we must pull up!!
mashinji skuelewi kabisa an
kwenye hali kama hii ukweli ni kwamba nguvu ya Dr Slaa ni pengo la dhahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…