Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Linapokuja suala nyeti kama madawa ya kulevya halina cha mkuu wa mkoa wala rais, vita ni ya watanzania wote wazalendo ambao nguvu kazi ya taifa lao imeangamia kwa miaka mingi sana! Sidhani na wala sifikirii kama wazazi wanafurahi kuwaona watoto wao wakiwa katika matumizi yaliyokithiri ya madawa ya kulevya! Si vyema watu wachache katika taifa lenye watu takribani milioni arobaini kujineemesha kwa biashara haramu ya dawa za kulevya...so kabla hatujamnyooshea Makonda kidole kuhusiana na issue alizoibua Msukuma MP ni vyema kuiacha sheria ichukue mkondo wake ili kupunguza au kutokomeza kabisa issue za madawa ya kulevya japo nami nakiri ni ngumu kutokana na reputation ya wahusika katika jamii! Time will tell!
 
Makonda hazimtoshi kabisa sasa kama ni bilicanus mbona hajataja meli ya KINANA AMBAYO MAISHA IMEKUWA IKIBEBA UNGA NA YEYE MWENYEWE SIKU ZOTE AMEKIRI KWAMBA HAJUI MZIGO WA NANI
Ndo mbowe atatuambia wqliokuwa wanaleta unga kwenye club yake ni kina nani, wahusika ni wengi sana weka hisia chini kwanza alafu mwisho utalalamika bt hapa tutaleta siasa ambazo si mada
 
Iyo fidia walipa kwa mahakama ipi? Wakati jamaa saizi anamiliki mihimili yote
 
Mkuu kweli haramu ni nyingi sana na ndo zinaingiza pesa serikalini , kila mwaka serikali inaongeza kodi kwenye haramu yaani vilevi
Sasa labda tuweke kodi kubwa sana kwenye hii haramu ya madawa ya kulevya au tupambane na hii haramu moja? Ujuwe hata kumpangishia nyumba hawara ni haramu mfano ukimpangishia masogange nk.
 
wameitwa kwa mahojiano zaid sio kufungwa usibadili mada
Kwa hiyo makonda kwa amri ya Magufuli yupo juu ya sharia anaweza taja majina ya watu atakavyo bila uthibitisho kwenye vyombo vya habari nakuwapa ultimatum si ndio ndio utawala wa kiumla
 
Freeman Mbowe na Philemon Mbowe kimatamshi L na R vinafanana flani Hv ni makosa ya kiuandishi (kimantiki) lakini ujumbe haswa umefika na hadhira imeelewa nani anahitajika kuendelea kulijadili sana nibkupoteza Muda coz episode zinaendelea
 
Iyo fidia walipa kwa mahakama ipi? Wakati jamaa saizi anamiliki mihimili yote



Haki Isipopatikana Nchini Kuna Mahakama Za Kimataifa Na Tanzania Ni Mwanachama Itapatikana Tu

Pesa Tu Inaongea Wanasheria Wapo Tayari
 
Kwa nini wasiwafatilie kimya kimya wawakamate na ushahidi kabisa then waite press,
 
Umeweka picha ya Freeman Mbowe inahusiana vipi na bandiko lako?Listi ulotoa aliyetajwa namba 54 ni Philemon Mbowe sasa hao si watu wawili tofauti au na wewe ushabugia miunga iyo unatokwa povu bila kutathimi unachokiandika?
 



Hii List inaonekana iliandaliwa chap chap sana. Hata huyu Muaandaji hakupata muda wa kuipitia vizuri na kuihariri kwa umakini.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kuwapa waandishi orodha "rough" kama hii sio sawa.

Naona huyu namba 54. Kwenye matamshi alitamkwa Freeman Mbowe, Mbunge wa Hai, lakini kwenye hii list FREEMAN MBOWE hayuko ila kuna ambaye ameandikwa Philemon Mbowe.

Hii ni kwa huyu tunayemjua, sijui hao wengine tusiowafahamu.!
Hata hayo makampuni ya mafuta, Hakuna kampuni inayoitwa TANGA PETROLIUM, bali kuna kampuni inayoitwa TANGA PETROLEUM.

Makonda awe serious kidogo.
 
umenena vyema
 
Ktk orodha ya Leo mchana kumejitokeza majina mazito kadhaa akiwemo mwenyekiti Wa chadema taifa,Ask Gwajima,Yusuf Manji na Iddi Azan,hao in baadhi wanaotakiwa kuripoti central
Sasa kuna orodha kamili alowaachia waandishi itolewe copy na isambazwe kwa waliopata copy waturushie humu maana Leo kasema ni watu 75, awamu ya pili, Nani wengine?


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
nacholaum ni utaratib wa kumsummons mahakamani...ikiwa hana hatia je...haikuwa na ulazima kumtaja au kuwataja redioni wakati sheria ziko wazi kuwa unakuwa innocent until proven guilty....the treatment now inakuwa ka tayar wako prooved
 
Je kweli hii imekaaje kisheria endapo wataweka wanasheria na wao wasipofika Central polisi kutakuwana hatia yoyote??
Naona hapo le mutuz hajamweka jamaa yake kwenye list husein pambakali kuwaficha flower wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…