Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

UNAMWAMBIA MWIZI TUNAKUJA KUKUPEKUA JIANDAE !!! USHAHIDI UTAPATIKANA ETI !! MAAJABU YA KARNE !!!!
 
mtu anafanya vizuri watu wanaanza kuponda

wakati mlikua mnataka awashughulikie mapapa,

ameanza mnaweka chuki, mkumbuke mungu yupo anawaangalia
 
Umeweka picha ya Freeman Mbowe inahusiana vipi na bandiko lako?Listi ulotoa aliyetajwa namba 54 ni Philemon Mbowe sasa hao si watu wawili tofauti au na wewe ushabugia miunga iyo unatokwa povu bila kutathimi unachokiandika?
Subiri Ijumaa ndiyo tutaona tofauti ya majina...MNA wasiwasi wa nini?
 
Ukimuona mtu amesimama anatetea juu ya KUKAMATWA kwa hawa WATUMIAJI au WAUZAJI ujue huyo mtu ANAFAIDA NAYO au HASIRAHI nayo BINAFSI.
Mkuu MAKONDA usiangalie sura wala jina wote kamata.
 
Haya tuandikieni ss tunasoma
Ila kama unaandika english bac tumia lugha hyo tu na kama kishwahili tumia hyo tu c busara kuchanganya rugha
 
Mbowe tunasubiri your resignation letter hizi tuhuma kubwa sana
 
Kwa nini wasiwafatilie kimya kimya wawakamate na ushahidi kabisa then waite press,
Mkuu ukiwafuatilia kimyakimya utakamata punda tu. Unategemea beji LA kub lijazwe sembe? Dawa ni mahojiano. Akikubali anafunguliwa kesi , akikataa anarudi uraiani.
 
Drug dealer yani ni saa moja tuu anafuta ushahidi wote, masaa 48 ya atosha kuhama nchi na kununua assets huko na kyishi vizuri...hii vita haiko serious
 

kisa katajwa mbowe?

Makonda dume
 
Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
kinachokosekana kwa watanzania ni uthubutu wa kutenda kwa maslahi ya nchi yao naangalia bunge letu kila anayechangia agenda hii anadai kuwa hawa madealer wa unga wanafahamika au tunawafahamu lakini hakuna anayesema ni fulani na fulani napata maswali kadhaa ya kujiuliza pasi majibu huenda biashara hii ni haramu kwa akina fulani halali kwa wengine Makonda asingelianzisha ili musukuma asingetwambia tuhuma zake za kuwa na mali inayotia mashaka hebu tuache maneno tuweke vitendo!!!!!!
 
Hii ni vita ya kisiasa ,mimi siamini Mbowe awe mjinga kiasi hicho awe anajihusisha na madawa ya kulevya
Rais wa Venezuela anauza Dawa, Hugo Chaves alikua anauza Dawa, Unashangaa nini kwa Mbowe mafia
 
Hivi hili suala kwa nini asilishughulikie waziri husika? Badala ya kushughulikiwa na mkuu wa mkoa,,,
Tatizo liko wapi akishughulikia mkuu wa mkoa, katika mkoa wake kama Mwenyekiti wa ulinzi na usalama
 
Kazi ipo ni kuomba tu maana isije ikawa na wewe upo! Maana mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…