Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Screenshot_2017-02-08-19-45-14.png
 
Awamu ya tatu ya vitaa tujiandae kuwasikia mawazili wakuu wastaafu, maaana waliwanyanganya mashamba bila shaka hawakulidhika yangu macho.
 
mbowe anahusika kwanamna moja au nyinginekwasababu ni kweli BILLICANAS imehusika kuuza na kusambaza madawa na mkuu kasema kama ofisi yako inahusika na usambazaji means na wewe ni muhusika
Sasa kwani hizo kampuni hazina management??? Kwa hyo hao mamanager wa hoteli au club ambao wapo kuangalia operation za hoteli za kila siku unawaacha ndio umkamate owner???

Kumbuka mbowe ana shares tu sasa hao shareholders wengine hawahusiki ni mbowe tu??

kwa hyo nikienda kuuzia madawa kwenye hoteli za mwenyekiti wa ccm na nyie mtamshtaki magu?? Hyo management ipo kwa ajili gani??
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, baada ya majina ya awamu ya pili kutajwa ambapo majina ya baadhi ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya yameishtua nchi kama sio East Africa kwa ujumla,

Baada ya majina ya baadhi ya watumishi wa umma wenye hadhi kubwa serikalini kutajwa, jambo ambalo limemshtua mwana mama mange kimambi, ambaye alikuwa akiapa siku zote makonda hawezi kuwataja mapapa wakubwa kwani anawaogopa,

Hata hivyo mwanamama huyo ameendelea kumwaga shutuma chafu dhidi ya mkuu wa mkoa makonda.
Hebu soma ulichokiandika
 
Back
Top Bottom