Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Weeee,, unataka Warumi ale ban mkuu
Mange amemtukna makonda na mpaka jk na sita
 
Masogange amewahi kukamatwa jburg na mabegi tele ya cristal meth lakini hapa bongo makonda ameshindwa kumtaja!...hili linadhihirisha bias iliyopo kwenye huku kutajana na ni kosa kubwa makonda amefanya ambalo litamgeuka mbaya...kwani hata kujibu swali juu ya masogange amekuna kidevu...hii vita kama ameamua kuanzisha awataje wote...asibague kwasababu zake anazojua...vinginevyo kuna siku atarudi hapo hapo kwenye vyombo hivyo hivyo vya habari kuwasafisha alowataja....hili ni swala la muda tu.....
 
point ni kumweka chini ya ulinzi mmlki halali wa sehemu husika ndo maana umeona wameitwa wamiliki wa slipway see cliff na wengineo. halafu kwanini mbowe tu mbona akina gwajima na manji hamuwasemehi ebu tuacheni unafiki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looohh!na ile clip sijui wameipata wapi!!!na nani sijui kairusha..?!!


binamu kwa picha hii mmh naanza kuona mwanga kwa mbaaaali juu ya tuhuma za mange,sio kwa mkao huu,marehemu katuaribia kaka etu aiseeh,huu mkao mubashasha
 


binamu kwa picha hii mmh naanza kuona mwanga kwa mbaaaali juu ya tuhuma za mange,sio kwa mkao huu,marehemu katuaribia kaka etu aiseeh,huu mkao mubashasha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
geniveros haya kumekucha,ndugu yako huku anaomba msaada, mi kama ana pesa ya kunilipa fasta namtafutia,kama hana ntamkuta kwa makonda atangulie central
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] huyo nae analeta singeli msibani achana nae...
 
Hiyo picha haikufai...hao ni third reich ....tofauti na hulka yako
 
Nambari Kumi na Nane (18) hiyo A.K.A yake inampakazia mwenyewe, IDRISA MAUNGA
 
Hii Video ya Pili Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9).

Ngoja niivutie na Popcorn kabisa, na Kinywaji laini ili niipate kisawasawa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…