Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Mange amemtukna makonda na mpaka jk na sitaWeeee,, unataka Warumi ale ban mkuu
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, baada ya majina ya awamu ya pili kutajwa ambapo majina ya baadhi ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya yameishtua nchi kama sio East Africa kwa ujumla,
Baada ya majina ya baadhi ya watumishi wa umma wenye hadhi kubwa serikalini kutajwa, jambo ambalo limemshtua mwana mama mange kimambi, ambaye alikuwa akiapa siku zote makonda hawezi kuwataja mapapa wakubwa kwani anawaogopa,
Hata hivyo mwanamama huyo ameendelea kumwaga shutuma chafu dhidi ya mkuu wa mkoa makonda.