Kwa hiyo wewe ukienda TANESCO kutoa taarifa ya tatizo la umeme na ukamkuta mtu aliyekuibia jogoo lako naye kaja kuripoti tatizo hilohilo basi utamwachia? Kwamba kwa kumwachia basi tatizo la umeme litaisha?
Nimeyapenda hayo mawazo, simuachi, nafanya fujo pale Tanesco ili nifunguliwe kesi ya kufanya fujo katika eneo la watoa umeme! Au kama kituo cha polisi kipo karibu nasubiri ahudumiwe kisha naenda polisi kuwaambia nimemuona mwizi wangu akihudumiwa Tanesco na hivyo kutumia mtego wa Tanesco wamkamate kirahisi. Wewe mwenzangu ungafanyaje?
Kila mtu ataadhibiwa kwa wakati wake.Habari Comrades..
Hii ni meseji fupi sana kwako RC wa Dar Paul Makonda.
Kama kwenye listi ya majina ya watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya uliyoitangaza jana halipo jina la Ridhiwan Kikwete.. acha kucheza na muda na akili za watu.
Tafuta shuguli nyingine ya kufanya, hii vita huiwezi.
Mnasikitisha sana vijana, jiulize japo kwa nini waziri mwenye dhamana kaamua kukaa kimya na kumuachia huyo madereva akibwabwaja hovyo
Nani kakudanganya kwamba Makonda anapambana na Madawa ya kulevya ?
Ni kweli kabisa mkuu, halafu hii vita ikifanyika kwa haki, CCM ndio watakaoumbuka Zaidi.Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.
Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Mwana CBE kumbe wewe ni kielelezo tosha cha vijana na wafuasi wa BILICANAS club walivo wachovu wa kufikiri, Makonda kamtaja mtu mmoja tu waupinzani leo mnakuja kusema anatka kuua upinzani hahahahahah duh Mungu wa nchi hii tunampa kazi kwelikweli inabidi aanze upya kupitia baadh ya bongo zao
Lazima kuna sintofahamu huko wizara ya mambo ya ndani. Tukumbuke kuna ishu ya jina na vyeti hewa huenda ni namna ya kuonyesha hahitajiki tena. Muda utasemaMhh, amenyuti kama vile hasikii na haoni kinachoendelea. Au Makonda ndiye Waziri wa Mambo ya Ndani?
Siro kasoma Uru Seminary? Ile shule ilikua na vichwa sana. Kamaliza mwaka gani? Cyril Chami nae ni product ya kuleBro Siro, nakufamu toka ukiwa Uru seminary, K'njaro Boys, Tosamaganga, Udsm nk. Nakushauri usidhalilishe weledi wako wala taaluma yako Bro.
Ndo maana nilikwambia ulishindwa kujiongeza kujua huyo ni nani , mpaka unakuja kuuliza humunina mashaka na uelewa wako.. siwezi kuendelea kubishana na wewe, nikupoteza muda wangu.. mkuu wa mkoa mwenyewe ameulizwa imebidi arekebishe
Ni kweli kabisa mkuu, halafu hii vita ikifanyika kwa haki, CCM ndio watakaoumbuka Zaidi.