Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Hazitii nanga ɓure zitakuja na mizigo iwe ya kongo,rwanɗa,uganɗa.zamɓia,malawi nƙ ɓei za hizi meli ni competitive zinabeba mizigo ppopote duniani waweza compete na shirika lolote la meli ɗuniani ƙupata tenɗa za kuleta mizigo ɗar yawe magari au chochote na kuɓeɓa mzigo ɗar kuupeleƙa popote ɗuniani kama ethiopian airways wanavyofanya.watalipa koɗi zote stahiki huwezi kupata ruti ya kwenda nchi ƴa mtu ɓila ya mhusika kuriɗhia
 
Djibouti ni karibu sana kuliko tanzania, tumetiwa kizunguzungu na magu akiambiwa meli zitajaa bandarini yuko tayari kuirusha shilawadu kwa gharama yoyote.
 
NAKUMBUKA KILE KITABU CHA RIWAYA ZA RIKA LA CHINI, "...Visa vya Yohana Mpumbavu...".
 
JamiiForums is a 'User Generated Content' site
 
Djibouti ni karibu sana kuli tanzania, tumetiwa kizunguzungu na magu akiambiwa meli zitajaa bandarini yuko tayari kuirusha shilawadu kwa gharama yoyote.
Malori ya watanzania ƴanapeleƙa mizigo kongo,rwanda,zambia,malawi,nk ɓaaɗa ƴa maraisi wa nchi husika kusaini mikataɓa ya ushirikiano ƴa usafiri.nɗicho kilichofanƴika ƙutoa ruksa meli za ethiopia kuɓeɓa mzigo popote ɗuniania kuuleta tanzania uwe wa mtanzania muethiopia au yeyote na kuɓeɓa mizigo banɗari ƴa ɗar iwe ya mtanzania,muethipia au yeyote na kuipeleƙa popote duniani ataƙapo lazima miƙataɓa ya kuruhusu hilo ifannƴwe na raisi
 
Ethiopia unayoisema hapa ndio ile ambayo raia wao wamejazwa kwenye magereza za Tanzania kwa sababu za uhamiaji haramu baada ya kukimbia njaa kwao , na wengine mkawatia kwenye viroba kule bagamoyo au kuna ethiopia nyingine ?
 
Huwezi mfano wewe ni suɗani kuleta meli ƴaƙo ƴa mzigo na kuɓeɓa mzigo katika nchi ya mtu ɓila raisi kusaini.raisi nɗie sumatra wa miƙataɓa ya usafiri wa kimataifa nɗiyo muiɗhinishaji kuwa uje au usije uwe nɗege,ɓus,lori,meli,au taxi
 
Djibouti ni karibu sana kuliko tanzania, tumetiwa kizunguzungu na magu akiambiwa meli zitajaa bandarini yuko tayari kuirusha shilawadu kwa gharama yoyote.
Tena wameizindua juzi tu hapa treni ya umeme inayo enda mpaka bandalini Djibouti sasa sijui atakubari kutumia bandari yetu au ndo kanyaga twende ziara iishe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nani kakudaganya kuwa shirika LA Meli Ethiopia ni kubwa!!? Kama ni kwa standard za Africa. ..... yah Right!!!

Tatizo lako Watanzania ni kupenda sana kutegemea au kufikiria tutafanyiwa vitu na wengine. Tukisikia kuwa kuna nchi inataka kufanya hiki au kile Tanzania huwa tunakuwa excited sana. In most cases hakuna kinachofanyika baada ya hii mikataba kusainiwa. Refer ziara ya Rais wa China na Mikataba iliyosainiwa imeishia au imefikia wapi!?
 
Tena wameizindua juzi tu hapa treni ya umeme inayo enda mpaka bandalini Djibouti sasa sijui atakubari kutumia bandari yetu au ndo kanyaga twende ziara iishe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ukawa mna vichwa vigumu kuelewa nilichoanɗika umesoma au unajibu kama mwehu?
 
Mkuu haraka ya nini andika vizur tuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…