Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kwahiyo miaka yote kilichokuwa kimashindikana ni hiyo sahihi ya rais kuruhusu wao kutumia bandari yetu?
Tatizo uvccm kila mtu siku hizi amekuwa mhariri wa habari za ikulu
 
Ukombozi unahusu nini?

Unaambiwa wanataka meli zao zitie nanga bandari za Tanzania wewe unaleta habari za ukombozi, inahusu nini?

Punguani wahed.
Wewe mama upo nilijua tu utakuja maana ndio wendawazimu mliobakia kutetea ujinga hao mnaowaomba kutumia bandari yenu hamjui juzi tu wamezindua tren yao ya umeme? Na leli yao iliyo jengwa kwa pesa nyingi kweelekea pwani ya bandari ya Djibouti? Kwavile jamaa alikuja basi akashindwa tu kusema hatatumia bandari yenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poleni hiv wakongo wameanza kuja au wamekaidi bado lile ombi mlilo waomba
 
Ukombozi unahusu nini?

Unaambiwa wanataka meli zao zitie nanga bandari za Tanzania wewe unaleta habari za ukombozi, inahusu nini?

Punguani wahed.
Hahahaaaaaaaa
Wee shangazi wewe unaukoshaga moyo wangu sana hahahaaaaaaa
Mweeee
 
Haujui chochote kuhusu usafiri wa majini tulia
 
Nadhani JF imevamiwa na watu wa ajabu ajabu sana. Kuna watu wanatuaibisha sana. Hawatumii logic yoyote. Kazi yao kupinga tu kila kifanywacho na serikali. Ujue duniani sasa kuna vita ya kiuchumi. Huenda hawa watu wanatumiwa na adui zetu. Itabidi hawa watu wachunguzwe. Huu uhuru wa kujieleza inataka kuwa kero sasa.
 
Ethiopia unayoisema hapa ndio ile ambayo raia wao wamejazwa kwenye magereza za Tanzania kwa sababu za uhamiaji haramu baada ya kukimbia njaa kwao , na wengine mkawatia kwenye viroba kule bagamoyo au kuna ethiopia nyingine ?
Sidhan kama kuna atakae jitokeza kujibu hili swali lako
 
Wingi wa meli kuingia bandari ya dar inategemea wafanyabiashara wanaotumia bandari na si mashirika ya meli. Kama shirika la meli la ethiopia halipati wafanyabiashara wa kuzikodesha zije huku watakuja kufanya nini.
 
Swali la mantiki alilouliza Zanzibar-ASP halijajibiwa, Kauliza ni kipi kipya kwa meli za Ethiopia kutia nanga Bandari ya Dar? Ina maana zilikuwa haziruhusiwi ama zilikuwa hazina mizigo ya kuleta Tanzania?
 
Siyo shirika la meli linalofanya meli nyingi zitumie bandari yako bali uwingi wa mizigo ndio utakaolazimisha meli nyingi zije bandari ya Dar. Na uwingi wa mizigo hutegemea zaidi uwingi na uwezo wa walaji katika nchi zinazotumia bandari yako.

Kama tunaendelea kuwabeza na kuwafanyia fitina wafanyabiashara/matajiri wetu, tunachokifanya hakina mantiki yoyote. Tuimarishe mazingira ya ndani, yawe mazingira rafiki kwa biashara, meli zitakuja tu.

Ningekuwa Rais wa nchi hii, cha kwanza ningeshusha sana kodi ili hata bidhaa zinazotoka nje ziwe na bei nafuu sana. Hiyo ingeifanya Tanzania kuwa kituo cha biashara cha kimataifa. Tanzania ingekuwa shopping centre ya Wazambia, Wanyarwanda, Waganda, Wakongo, Wamalawi, Wazimbabwe na hata Wakenya na Wamsumbiji japo nao wana bandari.
 
Mkuu kwani tatizo hapa kwetu ni meli au wafanya biashara wa nchi jirani wameona kuwa nchi yetu si Rafiki kwa biashara zao kutokana na sera zetu za uchumi kwenye mambo ya kodi kwa Transit goods?

Meli itakuja Tanzani kwa containers mbili au magari matatu ya watanzania kweli?
 
Hapo kabla zilikuwa haziruhusiwi kutia nanga bandari ya dar?
 
Swali la mantiki alilouliza Zanzibar-ASP halijajibiwa, Kauliza ni kipi kipya kwa meli za Ethiopia kutia nanga Bandari ya Dar? Ina maana zilikuwa haziruhusiwi ama zilikuwa hazina mizigo ya kuleta Tanzania?
Ukata wa Meli bandarini unaichanganya serikari wako radhi Meli zitie nanga hata kama hazina faida
 

Waungwana shule muhimu.
Maana alichoandika mdau hapa hakieleweki.
 
Kwani kabla ya huo mkataba, bandari yetu ilikuwa hairuhusu meli za Ethiopia kutia nanga? Yaani nini special au kipya hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…