Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Ulichokiandika kitaeleweka iwapo tu ukituthibitishia kwamba Bandari yetu ina restrictions kwa baadhi ya mashirika ya meli, na kama hivyo ndivyo ilivyo basi bandari yetu itakuwa inaongozwa kizamani sana. Au ututhibitishie kwamba hilo shirika la meli la ethipia litafanya Bandari ya Dar kama another "home" ingawa bado pia haileti maana yoyote kwasababu meli hazi operate kama ndege.

Kwa kifupi uwezo wenu wa propaganda ni mdogo sana kiasi kwamba inaonyesha wazi kuwa ni kutafuta kiki tu.
 
Tangu lile zoezi la kuzungusha mikono liishe "lowa$#@ manadiriko" bongo za watu ziliondoka sambamba na kuzungusha mikono!
 
Wengine wanakazi maalumu humu ya kupinga
 
Jamani mi nitoke nje ya mada kidogo.. Ule uwanja alioahidi Mfalme wa Morroco umefikia wapi?
 
Ndege za Ethiopian Airways zimeanza kutua kitambo hata kabla Mtukufu kuanza Siasa.
Ethiopia ni one of the Largest hub in Africa in terms of Airways sio tu Tanzania bali zinatua sehemu kibao.
Meli za Ethiopia kuja Tanzania zinakuja kufanya nini ?
Unategemea Ethiopia Watatumia Bandari yenu ???
FYI Ethiopia wamejenga Reli ya Kisasa kabisa kutoka Ethiopia Mpaja Bandari ya Djibout Ambayo iko Close to Ethiopia.
Jaman Ma CCM mnatutia sana aibu.
Yule Bwana wa Ethiopia kwa kweli ametishangaa sana uelewa wetu.
Sasa sijajua unavyo relate Meli na Ndege
 
Wewe kama ni meli Huwezi ingia ɓanɗari ya mtu bila visa hiyo visa inaitwa mkataɓa wa ushiriƙikiano wa usafiri ambao lazima usainiwe na raisi ingeƙuwa ƙila meli ruksa kuingia za alkaeɗa na alshaɓaɓu zingeƙuwa zinaingia tu ɓila shida kwani hakuna restriction
 
Hizi ni ndoto za abunuasi, Ethiopia wanataka waongeze ndege za kutua bongo, hata chizi anaweza kuwa shahidi kuwa mizigo ya Ethiopia inayokuja na meli ziache kutia nanga mombasa, Eritrea, Somalia zije kutia nanga Dar na kuanza safari ya lami kuelekea Ethiopia
 
Hivi unaweza kuwapangia shippers meli ya nchi gani ibebe mizigo ya Tanzania?
 

sawa ni kweli Wahabeshi wanalo shirika la meli na wanazo meli za mafuta na mizigo. Shirika hili lina zunguka duniani na kupark meli zake katika bandari za nje na hasa Djiobuti kwani Eithiopia hawana Bandari ni land locked country.
kutika saini baina ya bandari ya Dar na shirika hilo jambo la kawaida. lakini ujaji wao itategemea mizigo ya Tanzania kwenda Eithiopia mfano Biashara za Viwanda za kwetu na mazao kama Pamba, Karafuu, Kahawa, Korosho na samaki ..kama watakua na soko huko uhabeshi.
Pia inaweza kusaidia kwa bidhaa za Eithiopua Kuingia Dar kwa urahisi. Hii ndio faida itayopatikana.

lakini mkataba huu hautofanya Eithiopia Kushusha na kutumia mizigo ya Bandari ya Dar es salaam na kuisafirisha kwa gari kwa siku 15 kwenda eithiopia. Hilo halipo wala halita tokea ni ndoto kama ya Aril Fool.
Hivyo ipo faida kama nilivo eleza hapo juu ni kwa Watanzania kuangalia uwezekano wa kuingia Eithipia mfano bidhaa za Bakhressa za chakula zinaweza kwenda huko kwa kutumia meli hizo..
 
"Ujio wao utaongeza uwingi wa meli"
Hivi unajua idadi ya meli walizonazo Ethiopia? Usingepost upuuzi huu. Nchi ya Barmuda ina meli 322 ndio yenye meli kidogo mno zilizosajiliwa, at least hawa tungesema wangeongeza, lakini vijimeli 11 ni sawa na kutia kijiko cha sukari baharini. Period.
 
Yaaan Tz tumefikia hatua ya kuiaona Ethiopia ni mkombozi wa uchumi wetu, baba nyerere hv huko uliko kwenda unayaona haya kweli?
Tanzania eeee nchi yangu eeee. Duu sasa tunashangialia Ethiopia kuwa mkombozi. Kazi ipo. Nikiondoka Tanzania sitarudi tena kwa kweli.
 
Ethiopia wana shirika kubwa la meli halafu hawana bandari .?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…