Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichokiandika kitaeleweka iwapo tu ukituthibitishia kwamba Bandari yetu ina restrictions kwa baadhi ya mashirika ya meli, na kama hivyo ndivyo ilivyo basi bandari yetu itakuwa inaongozwa kizamani sana. Au ututhibitishie kwamba hilo shirika la meli la ethipia litafanya Bandari ya Dar kama another "home" ingawa bado pia haileti maana yoyote kwasababu meli hazi operate kama ndege.Tanzania na Ethiopia ziliwahi tia sahihi makuɓaliano ya nɗege za ethiopian airways kutumia uwanja wa nɗege wa ɗar es salaam kwa kutua na kuruka.Makuɓaliano yaliƴosainiwa kati ya tanzania na ethiopia ni kuruhusu meli za ethiopia za shirika kuɓwa la meli za ethiopia kutua na kushusha mizigo na kupakia ɓanɗari ƴa ɗar kama ilivƴo ethiopian airways.shirika la meli la ethiopia ni shirika kuɓwa la ƙimataifa kama ilivƴo ethiopian airways.lilianzishwa 1964 na liko fit ujio wao utaongeza uwingi wa meli na mizigo kwenye banɗari ya dar es salaaam.moɗerator usiunge hii habari na zingine ili kuwapa taarifa sahihi wachangiaji
Tangu lile zoezi la kuzungusha mikono liishe "lowa$#@ manadiriko" bongo za watu ziliondoka sambamba na kuzungusha mikono!Nadhani JF imevamiwa na watu wa ajabu ajabu sana. Kuna watu wanatuaibisha sana. Hawatumii logic yoyote. Kazi yao kupinga tu kila kifanywacho na serikali. Ujue duniani sasa kuna vita ya kiuchumi. Huenda hawa watu wanatumiwa na adui zetu. Itabidi hawa watu wachunguzwe. Huu uhuru wa kujieleza inataka kuwa kero sasa.
Atamim atakaye elewa anisaidieAtakayeelewa hii anitag tafadhali.
Wengine wanakazi maalumu humu ya kupingaNadhani JF imevamiwa na watu wa ajabu ajabu sana. Kuna watu wanatuaibisha sana. Hawatumii logic yoyote. Kazi yao kupinga tu kila kifanywacho na serikali. Ujue duniani sasa kuna vita ya kiuchumi. Huenda hawa watu wanatumiwa na adui zetu. Itabidi hawa watu wachunguzwe. Huu uhuru wa kujieleza inataka kuwa kero sasa.
kwa hiyo unamaanisha Yohana ni...Yohana Mpumbavu...".
Yameandikwa wapi hayo uyasemayo?
Au una ota ndoto za mchana?
Umeelewa nilichoanɗika au unaota?
Ndege za Ethiopian Airways zimeanza kutua kitambo hata kabla Mtukufu kuanza Siasa.Tanzania na Ethiopia ziliwahi tia sahihi makuɓaliano ya nɗege za ethiopian airways kutumia uwanja wa nɗege wa ɗar es salaam kwa kutua na kuruka.Makuɓaliano yaliƴosainiwa kati ya tanzania na ethiopia ni kuruhusu meli za ethiopia za shirika kuɓwa la meli za ethiopia kutua na kushusha mizigo na kupakia ɓanɗari ƴa ɗar kama ilivƴo ethiopian airways.shirika la meli la ethiopia ni shirika kuɓwa la ƙimataifa kama ilivƴo ethiopian airways.lilianzishwa 1964 na liko fit ujio wao utaongeza uwingi wa meli na mizigo kwenye banɗari ya dar es salaaam.moɗerator usiunge hii habari na zingine ili kuwapa taarifa sahihi wachangiaji
Uko kwenye kutengeneza michoroJamani mi nitoke nje ya mada kidogo.. Ule uwanja alioahidi Mfalme wa Morroco umefikia wapi?
Wewe kama ni meli Huwezi ingia ɓanɗari ya mtu bila visa hiyo visa inaitwa mkataɓa wa ushiriƙikiano wa usafiri ambao lazima usainiwe na raisi ingeƙuwa ƙila meli ruksa kuingia za alkaeɗa na alshaɓaɓu zingeƙuwa zinaingia tu ɓila shida kwani hakuna restrictionUlichokiandika kitaeleweka iwapo tu ukituthibitishia kwamba Bandari yetu ina restrictions kwa baadhi ya mashirika ya meli, na kama hivyo ndivyo ilivyo basi bandari yetu itakuwa inaongozwa kizamani sana. Au ututhibitishie kwamba hilo shirika la meli la ethipia litafanya Bandari ya Dar kama another "home" ingawa bado pia haileti maana yoyote kwasababu meli hazi operate kama ndege.
Kwa kifupi uwezo wenu wa propaganda ni mdogo sana kiasi kwamba inaonyesha wazi kuwa ni kutafuta kiki tu.
Hivi unaweza kuwapangia shippers meli ya nchi gani ibebe mizigo ya Tanzania?Hazitii nanga ɓure zitakuja na mizigo iwe ya kongo,rwanɗa,uganɗa.zamɓia,malawi nƙ ɓei za hizi meli ni competitive zinabeba mizigo ppopote duniani waweza compete na shirika lolote la meli ɗuniani ƙupata tenɗa za kuleta mizigo ɗar yawe magari au chochote na kuɓeɓa mzigo ɗar kuupeleƙa popote ɗuniani kama ethiopian airways wanavyofanya.watalipa koɗi zote stahiki huwezi kupata ruti ya kwenda nchi ƴa mtu ɓila ya mhusika kuriɗhia
Tanzania na Ethiopia ziliwahi tia sahihi makuɓaliano ya nɗege za ethiopian airways kutumia uwanja wa nɗege wa ɗar es salaam kwa kutua na kuruka.Makuɓaliano yaliƴosainiwa kati ya tanzania na ethiopia ni kuruhusu meli za ethiopia za shirika kuɓwa la meli za ethiopia kutua na kushusha mizigo na kupakia ɓanɗari ƴa ɗar kama ilivƴo ethiopian airways.shirika la meli la ethiopia ni shirika kuɓwa la ƙimataifa kama ilivƴo ethiopian airways.lilianzishwa 1964 na liko fit ujio wao utaongeza uwingi wa meli na mizigo kwenye banɗari ya dar es salaaam.moɗerator usiunge hii habari na zingine ili kuwapa taarifa sahihi wachangiaji
Wako na Haile Selaise wanapiga storyYaaan Tz tumefikia hatua ya kuiaona Ethiopia ni mkombozi wa uchumi wetu, baba nyerere hv huko uliko kwenda unayaona haya kweli?
Tanzania eeee nchi yangu eeee. Duu sasa tunashangialia Ethiopia kuwa mkombozi. Kazi ipo. Nikiondoka Tanzania sitarudi tena kwa kweli.Yaaan Tz tumefikia hatua ya kuiaona Ethiopia ni mkombozi wa uchumi wetu, baba nyerere hv huko uliko kwenda unayaona haya kweli?