Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Naona yuko hewani sasa,clouds,azam 2....
 
Makonda anakurupuka na kwa hili ni lazima sasa anajuta, hakujua kuwa yupo kwenye nyumba ya vioo alivyoanza kutupa mawe, hahaaahaa, aseme mfadhili wa mambo yake sasa.
Kosa halifutwi kwa kosa, labda kwa wanafiki na waliojazwa na husda na ghilba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…