MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Hii ilikuwa ya kwangu? Au umekosea ku-quote?Pole sn, umesahau kua anachopigania ni kwa ajili yetu na vizazi vyetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikuwa ya kwangu? Au umekosea ku-quote?Pole sn, umesahau kua anachopigania ni kwa ajili yetu na vizazi vyetu
Na utu uzima wako wote ukaamini kuwa makonda atapambana na hawa watu wa madawa. Pole sana!Mwanzo nilimuunga mkono Mkono jamaa nikidhani hii vita ni for real, hata hivyo Hukumu ya Jana imethibitisha kuwa hao waliokamatwa ni insignificant, hawana impact yoyote katika biashara ya madawa!
Wema naona ameamua kumtunishia msuli wa kimamlaka!
Hii ni aibu!
Kwahiyo makonda hii vita sio yake?Wamekaa kimya miaka mingapi na hakuna la maana lililofanyika ? Huko nyuma ni drug dealers wangapi habari zao zilikuwa zinajulikana
Hii vita inahitaji massive campaign na ilipaswa hii vita itangazwe na PM,Waziri wa Mambo ya Ndani,Polisi washirikiane na vyombo vya habari hata wale wanaofanya hii biashara wafahamu kuwa now mambo yamekuwa tofauti.Duterte anawakamata na anawaua na ametangaza vita hadharani kabisa
Tangu lini Gwajima alikuwa Mlezi WA CHADEMA? Hivi kina Msukuma na Nape nao Ni CHADEMA? Kusema vidagaa wanaonewa wanaachwa mapapa si ndo njia nzuri ya kugundua kuwa wapo Mapapa kwenye dawa za Kulevya na sii ajabu wanafichwa? Kuwa mwanaccm unahitaji kuwa mfu!Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.
Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Boss ndo nani?Kuna sehem wema alimuita boss mat*k* km ukisikiza ile clip vizur
Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
Ukweli maneno aliongea alikua polisi na chini ya ulinzi ni mahijiano . Yeye hakua na simu hivyo walotoa nje ndio wamevunja masharti ya mahojiano....Huyo WEMA anaandaliwa mashtaka mengine ya kumtukana Mkuu wa mkoa na kutoa lugha zilizokosa maadili, Ili akipandiswa mahakamani ajibu tuhuma zote!
Hio ni clip akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Ilikua ni sehemu ya mahijiano.Kuna sehem wema alimuita boss mat*k* km ukisikiza ile clip vizur
Kwa hyo kutukana ni sawa?mi naona aliyemrecord na kuisambaza ndo kamuharibia wema ila aliyerecord sidhan km atapata tuhumaHio ni clip akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Ilikua ni sehemu ya mahijiano.
Hakua na simu. Aloyatoa nje ndo kafanya kosa
Makonda kaingia gizani nini? Mbona ni saa 11:11 asubuhi.
Anaongea nini sasa.
Na yeye akareport central akahojiwe. Tuhuma zake sio za kwenda kwenye media kujisemesha.
Hii tuhuma ya yeye kuwa na mahusiano ya kmapenz na dealer wa kmataifa wa madawa sio ndogo. Magufuli hapashwi kulifungia macho hili.
Na mali alizo nazo sasa zifanyiwe auditing. Huyu kwa mwaka mmoja inasemekana ameaccumulate mali kumzidi hata Raisi wake. Hata mawaziri hawamfikii. Sasa awataje wahisani wake wachunguzwe.
Na wale wauza shisha waliotaka kumuhonga awataje nao wahojiwe. Msitufanye sisi wajinga
Huyu atakuwa anashirikiana na gang flani la wauza unga ila kaja na project ya kuwaeliminate dealers wengne ili watakaobaki wawe monopoly ili wamake abnormal profit. Tusidanganyane hata siku moja mkuu wa mkoa ambaye ni kada wa CCM et kupambana na madawa ya kulevya. Huku ni kujitaftia mazingira ya kupewa rushwa tu na biashara mwisho wa siku itaendelea as usual.
Kuna mwaka USA ilipata tuhuma za kutumia madawa ya kulevya kama source of Government income. Ni kwamba USA ilikuwa vbya kwenye uchumi. Serkal ikaja na mbinu kali za kutyte wauza madawa. Bei ya madawa ikapanda. Wao walikuwa na special depertment kwenye kitengo cha CIA/ Polisi waliojulkana kama bad cops ambao walikuwa wanachukua percent kutoka kwa drag dealers. Hii percent ilienda serkalini. Katika hiyo miaka madawa yalisafirishwa mpaka na ndege za jeshi.Allegations of CIA drug trafficking - Wikipedia
![]()
Sasa isije ikawa na tz ikaelekea uko.
Ukimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
OteaMkuu wa mkoa anaongea saa 5 ya kingereza au? yaani saa 11 au mbona giza tu na sasa ni saa tano inaelekea na nusu au kaahilisha.
mwenye kujua atujuze popcorn zinaisha