Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Abasi yuko nje ya nchi ila anapambana kurudi china, Rose nae yuko china ila anaishi Ghana nae anaitwa polisi haahaaa, atoke Ghana aje ajisalimishe? sijawahi ona mbwembwe hizi.
 
Majina yako mengi nitawapatia mtayapitia, haahaa kuna mengine hathubutu kuyataja, leo kamwita Idd Azan, la mchungaji kalihifadhi na waandishi wamemuomba looo! eti kamtaja mbowe. ila mchungaji kasita.
 
Tupambane na madawa ya kulevya na tuache mambo ya publicity...kama unafikiri kwenda kwenye media kila siku kusema sema maneno ndiyo njia nzuri zaidi, think again.
 
Mmiliki Speep way.
Mmiliki wa ya hi club
Mmi wining swalehe
Mwinyi machapta kinondon
Roze yuko china
Kiboko mbezi ya chin
Mr alfizz mbezi chin
Iddy azan
Mchungaji
Mbowe
Chizenga
 
Back
Top Bottom