Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

point ni kumweka chini ya ulinzi mmlki halali wa sehemu husika ndo maana umeona wameitwa wamiliki wa slipway see cliff na wengineo. halafu kwanini mbowe tu mbona akina gwajima na manji hamuwasemehi ebu tuacheni unafiki
Sasa manji nimsemee wa nini?? Wwe umemuongelea mbowe na hoteli yake ndio nmekujibu ssa manji anaingiaje kwenye hoteli ya mbowe???

Watever the case hao owners hakutaja jina ila alitaka owners hivyo haijalenga individual owner ila wanaweza leta mwakilishi??

Kwa mbowe imemlenga yye kma yye sio shareholder mwingine yeyote hta kma hiyo kampuni wamiliki ni watatu! Is it fair???

Yaani useme bar yangu wanauza madawa afu owners tuko watatu uniite mimi personally ni sawa?? Kwanni hakusema wamiliki wa mbowe hotels au bilicanas ili tujue analenga kampuni sio mtu kma alivyofanya kwa slipwaya na ile yatch club???

Mkuu kuna shida hapa ya kuchafuana kisiasa maana hta kma atahojiwa na kuonekana kma hana hatia bado itakuwa wimbo huo "CHAMA CHA WAUZA MADAWA".....this is so annoyin na round ya tatu watamtaja lowasa wait and see.

Siku utajwe wwe ndio utaelewa ilivyo ngumu kuijenga reputation upya
 
Ukimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.
Mhh, amenyuti kama vile hasikii na haoni kinachoendelea. Au Makonda ndiye Waziri wa Mambo ya Ndani?
 
Mimi bado Nina wasiwasi, hyo riport ya makonda haikufanyiwa kazi vizuri.
 
Sasa mkuu matusi ya nini?? Si nmejibu swali kuhusu OWNERSHIP na MANAGEMENT kuwa kisheria lazma zitofuatishwe....

Hoja yangu ni kuwa angeitwa wamiliki wa bilcanas kma alivyoita wamiliki wa zile casino na yatch club maana ni mahojiano tu sio watuhumiwa.... sasa kitendo cha kumuita mbowe as an individual wakati bilcanas hta kma madawa yaliuzwa humo ina shareholders wengine na pia ina management je ni haki???

Nikuulize wwe kma una miliki saloon afu humo ndani wafanyakazi wako wanauza madawa je tukikukamata wwe tukawaacha hao wafanyakazi wako ni sawa??? Mbona kwenye casino alisema atadeal ni bouncers ila kwa bilcanas anadeal na mbowe as mbowe???
Haya mimi ni mbwiga sawa sikatai hya niulize je huwezi tofautisha kati ya management and ownership??
Hana hoja nyingine zaid ya mipasho mkuu. Watu kama hao utakesha nao its better you save your energy mkuu. Mana hapo umemjibu na kumshinda kwa hoja yeye analeta mipasho ya akina khadija kopa.
 
Sasa mkuu matusi ya nini?? Si nmejibu swali kuhusu OWNERSHIP na MANAGEMENT kuwa kisheria lazma zitofuatishwe....

Hoja yangu ni kuwa angeitwa wamiliki wa bilcanas kma alivyoita wamiliki wa zile casino na yatch club maana ni mahojiano tu sio watuhumiwa.... sasa kitendo cha kumuita mbowe as an individual wakati bilcanas hta kma madawa yaliuzwa humo ina shareholders wengine na pia ina management je ni haki???

Nikuulize wwe kma una miliki saloon afu humo ndani wafanyakazi wako wanauza madawa je tukikukamata wwe tukawaacha hao wafanyakazi wako ni sawa??? Mbona kwenye casino alisema atadeal ni bouncers ila kwa bilcanas anadeal na mbowe as mbowe???
Haya mimi ni mbwiga sawa sikatai hya niulize je huwezi tofautisha kati ya management and ownership??
Achana nae hanangwa na ccm huyo
 
tapatalk_1486578160547.jpeg
 
😀😀😀

point yako ni kumlinda m,kiti wako hata km ana makosa,acheni mahaba km mnaamua kujaribu kuongoza nchi,mpk sasa tuhuma za m,kiti wako hazijasemwa,we ushaseuliza why aitwe yeye na si mabouncer km hotel nyingine,huwezi jua kwamba kahusishwaje so kaa kimya mpk watakapoongeakwenye vyombo vya sheria.
by the way brother ko zitto bado anazurula😀😀😀😀
 
We naye sijui kwanni unasoma reply bila kusoma nliyemjibu.

Niliyemquote kadai mbowe anahusika by default kwa sababu club yake walikuwa watu wanauziana madawa humo ndani.....

Ndio nikamjibu kuwa aseparate management from ownership ili kila mtu apande alichovuna kma ambavyo makonda ameapa kudeal na wale bouncers wa casino in person na kawaita wamiliki wa zile casino as a company not individuals sasa hoja ikaja kma club yake imehuiska mbona hajasema atadeal na bouncers au kwanni asiite wamiliki wa bilcanas whereas mbowe ni shareholder na kuna shareholders wengine apart from him???

NB: JIFUNZE KUSOMA HOJA INAYOJIBIWA KABLA HUJAJIBU NILICHOJIBU MIMI
 
List bado ina usanii kidogo, kuna haya majina yaliachwa:
1. Ridhiwani Kikwete
2. Ruge Mutahaba
3. Joseph Kusaga
4. Kinjeketile Mwiru
5. Jamaa wa EFM
 
Video ya kwanza yenye Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9), nimemaliza kuiangalia ila kuna baadhi ya vitu nimevigundua na vinanifanya nijiulize Masuali ya hapa na pale.

Nitataja vichache tu, kwanza:-

Mkuu wa Mkoa amewapa Wadau nafasi ya kuuliza Masuali lakini kuna baadhi ya Wadau waliouliza Masuali, hawakujibiwa ipasavyo, nikiwa na maana,

Wamejibiwa kwa mkato, kimkato. Moja la Suali ni la kumuhusu yeye mwenyewe binafsi kuhusiana na Nchi alizozizuru ni kama alienda kukutana na Magwiji wa Bwimbwi ili wayamalize juu kwa juu (kupunguza kasi), cha ajabu Mkuu wa Mkoa badala ya kujibu Suali, yeye anamwambia Muulizaji Suali,

"Utoto twende Suali lingine"

Huku akimpotezea Muulizaji Suali na kumchagua Mdau mwingine aulize Suali.

Hapana, hapa hakumtendea Haki Muulizaji Suali, labda tu kama angeweka Masharti kutokuulizwa Suali kuhusiana na yeye, hapo ningeelewa, lakini si kwa kuwapa Uhuru Wadau kuuliza Masuali kisha kutowajibu ipasavyo, inakuwa kama ni Dharau fulani vile.

Pili alipoulizwa kuhusu Masogange na kuhusiana na Biashara ya Bwimbwi,

Kwanza amepatwa na mshtuko, Pili hakupendezewa kuuulizwa lile Suali ingawa amejitahidi kuonesha ujasiri lakini kwa Mtu kama Mimi ambae nnao uwezo wa kumsoma Mtu nimeona kabisa pale kayumba, na kanywea kimtindo ingawa yeye Mwenyewe amejisifia ni Kidume wa kupambana na Changamoto yoyote ile ikiwemo ya KimaSuali.

Pili hapo hapo kwa Masogange kabla ya kumjibu Mdau Suali lake Kimkato, ilimchukua Muda kidogo na kufikia Kujikuna Taya, chini ya Kishavu karibu na Kidevu.

Hapa kwa upande wangu naona kuna namna fulani.

Sawa nampongeza kwa Kazi nzuri sana anayoifanya (kupambana na Madawa ya Kulevya), na sipingani nayo hata kidogo, na ninaifurahia sana, Maana mimi mwenyewe Watoto wangu bado wadogo sana, sasa niambie Mtoto wangu wa Kwanza atakapofika Umri wa Miaka Kumi na Kitu, na Ulimwengu wenyewe huu wa Madawa ya Kulevya si Mtihani wa hali ya juu. Sikatai, Malezi na Maadili wanayolelewa ni Meema ila kama ujuavyo Binaadam anabadilika pamoja na Maadili hayo hayo Mema.

Nikirudi tena kwa Mkuu wa Mkoa, pamoja na Pongezi nilizompa haina maana kwenye/penye Mapungufu nisiseme au nikae kimya, hapana ntatoa Sauti yangu.

Mapungufu kwenye hii Video nimeyaona.

Nikirudi tena kwenye Video yenyewe ,

Kuna vipande Sauti zimeondolewa/zimeminywa hii nafikiri kwasababu Maalum.

Maana nlikuwa na Shauku sana kuhusiana na huyo Mama anaewapeleka Wasichana wa Umri wa Kati Nchini CHINA na kuwalipa Ujira wa Dollars 7000 iwapo KAZI ikiingia salama
 
Sasa naendelea na Video ya kwanza yenye Dakika Thelathini na Moja (31) na Sekunde Arobaini na Nne (44).

Ngoja niongezee na Popcorn kabisa, bila kusahau Kinywaji.

img_2307.jpg
 
Ukiangalia Video ya Pili yenye Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9) huitaji kuangalia hiyo kwanza, kwasababu ya kwanza wameijazia kwenye Video ya Pili.

Cha kufanya hapo angalia Video ya Pili yenye Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9) imemaliza mchezo wote
 
Video ya kwanza yenye Dakika Hamsini na Sita (56) na Sekunde Tisa (9), nimemaliza kuiangalia ila kuna baadhi ya vitu nimevigundua na vinanifanya nijiulize Masuali ya hapa na pale.

Nitataja vichache tu, kwanza:-

Mkuu wa Mkoa amewapa Wadau nafasi ya kuuliza Masuali lakini kuna baadhi ya Wadau waliouliza Masuali, hawakujibiwa ipasavyo, nikiwa na maana,

Wamejibiwa kwa mkato, kimkato. Moja la Suali ni la kumuhusu yeye mwenyewe binafsi kuhusiana na Nchi alizozizuru ni kama alienda kukutana na Magwiji wa Bwimbwi ili wayamalize juu kwa juu (kupunguza kasi), cha ajabu Mkuu wa Mkoa badala ya kujibu Suali, yeye anamwambia Muulizaji Suali,

"Utoto twende Suali lingine"

Huku akimpotezea Muulizaji Suali na kumchagua Mdau mwingine aulize Suali.

Hapana, hapa hakumtendea Haki Muulizaji Suali, labda tu kama angeweka Masharti kutokuulizwa Suali kuhusiana na yeye, hapo ningeelewa, lakini si kwa kuwapa Uhuru Wadau kuuliza Masuali kisha kutowajibu ipasavyo, inakuwa kama ni Dharau fulani vile.

Pili alipoulizwa kuhusu Masogange na kuhusiana na Biashara ya Bwimbwi,

Kwanza amepatwa na mshtuko, Pili hakupendezewa kuuulizwa lile Suali ingawa amejitahidi kuonesha ujasiri lakini kwa Mtu kama Mimi ambae nnao uwezo wa kumsoma Mtu nimeona kabisa pale kayumba, na kanywea kimtindo ingawa yeye Mwenyewe amejisifia ni Kidume wa kupambana na Changamoto yoyote ile ikiwemo ya KimaSuali.

Pili hapo hapo kwa Masogange kabla ya kumjibu Mdau Suali lake Kimkato, ilimchukua Muda kidogo na kufikia Kujikuna Taya, chini ya Kishavu karibu na Kidevu.

Hapa kwa upande wangu naona kuna namna fulani.

Sawa nampongeza kwa Kazi nzuri sana anayoifanya (kupambana na Madawa ya Kulevya), na sipingani nayo hata kidogo, na ninaifurahia sana, Maana mimi mwenyewe Watoto wangu bado wadogo sana, sasa niambie Mtoto wangu wa Kwanza atakapofika Umri wa Miaka Kumi na Kitu, na Ulimwengu wenyewe huu wa Madawa ya Kulevya si Mtihani wa hali ya juu. Sikatai, Malezi na Maadili wanayolelewa ni Meema ila kama ujuavyo Binaadam anabadilika pamoja na Maadili hayo hayo Mema.

Nikirudi tena kwa Mkuu wa Mkoa, pamoja na Pongezi nilizompa haina maana kwenye/penye Mapungufu nisiseme au nikae kimya, hapana ntatoa Sauti yangu.

Mapungufu kwenye hii Video nimeyaona.

Nikirudi tena kwenye Video yenyewe ,

Kuna vipande Sauti zimeondolewa/zimeminywa hii nafikiri kwasababu Maalum.

Maana nlikuwa na Shauku sana kuhusiana na huyo Mama anaewapeleka Wasichana wa Umri wa Kati Nchini CHINA na kuwalipa Ujira wa Dollars 7000 iwapo KAZI ikiingia salama
.
Zile ni kama porojo za kijiwe cha ghahawa. Kwa sababu gani? Mbinu zote alizotaja za mapipa kutupwa baharini yakiwa na dawa, hawajawahi kamata hata moja ili liwe walau exhibit.
Yaani hata polisi wenyewe watakua wanamshangaa jamaa atakakopata ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zake. Hata wale wasanii walioachiwa hakuna ushahidi wowote waliokamatwa nao zaidi ya msokoto wa bangi anaodaiwa wema sepetu na polisi walienda nyumbani kwake baada na yeye kumtuhumu makonda. Hii vita ni dalili tosha kwamba tanzania tunajaribu kuamini sana mambo ya kusikia bila kuyafanyia uchunguzi ikiwa ni pamoja na kuweka mitego kwa watuhumiwa ili kuondoa mkanganyo usio wa lazima.
Mbona mara nyingi tunasikia polisi kusema tumepewa habari za majambazitukaweka mtego tukawanasa. Sasa hili la madawa ya kulevya halina mtego au tumelichukulia kirahisi tu kama biashara ya nyanya?
 
Ushahidi anao wa hao aliowataja au ni mambo ya kukurupuka tu kusumbua watu! Anastahili kuchunguzwa Rushwa inanukia.
 
Muuza Unga ni Adui mkubwa wa haki za Binaadamu. Kama wazazi wa Taifa hili, tunaunga mkono vita hivi dhidi ya maadui wa Taifa letu. Kazi ya Intelijensia sio lazima ifanywe na waliokuwa kwenye kamati ulinzi na usalama, hata mpiga rangi viatu au muuza magazeti, madereva wa bodaboda nk pia wana jukumu la kulinda nchi. Tukimaliza na hili, biashara za ngono, madanguro ya mashoga, na wanawake wasagaji, wapiga picha na filamu za ngono zinazowalenga watoto wa Taifa hili, kizazi cha kesho, ni lazima uvundo huu usafishwe na ukomeshwe kwa kutumia fimbo kali sana. Vita dhidi ya Shetani, ni vita vizito sana. Viongozi wa dini jitokezeni kuisaidia Serikali yetu. Make our Tanzania, our Nation, a drug free zone. Make Tanzania a God fearing nation. God bless Tanzania.
 
Watz tunapaswa kuchunguza kabla ya kuanza kulalamika, hii inaonesha ni kwa kiasi gani tunadandia mada kabla ya kuielewa. KUHUSU MBOWE., aliyetajwa ni PHILEMON MBOWE na si FREEMAN Aikaeli MBOWE. Hawa ni watu wawili tofauti kabisa.....

#nchiyamizuka#
 
Magufuli Kama ana akili Timamu amwondoe Makonda, Au inwwezekana Lengo la Kumtaja Yusuf Manji Gwajima na Mbowe ndio lililokusudiwa Tangu Mwanzo ili Kuthibiti Ushindani wa Lowassa! Yangu Macho, I think Makonda and Who ever is using him, are swiming in a new Lake of Darkness full of Alligators Piranhas and all Kinds of river monsters! Haya!
 
Watz tunapaswa kuchunguza kabla ya kuanza kulalamika, hii inaonesha ni kwa kiasi gani tunadandia mada kabla ya kuielewa. KUHUSU MBOWE., aliyetajwa ni PHILEMON MBOWE na si FREEMAN Aikaeli MBOWE. Hawa ni watu wawili tofauti kabisa.....

#nchiyamizuka#
Mdomoni alimtaja, mbunge wa Hai (chadema) na mwenyekiti wa chadema.
 
Kwann,wote watolewe na abaki wema tu,na wote walikua na shutuma za namna moja.au sababu wema alivyotoa maneno ya kusema mbona masogange hajakamatwa.mbona wengine hatujawaona kama Racy,chid Benz.

Yule amejichanganya mwenyewe ngoja apewe alichokitaka, ukishashutumiwa hutakiwi kuongea ongea mana kila utakachozungumza kinaweza kikatumika mahakamani kukufunga ..... kuongea ongea hzo ni kazi za mawakili, kwahyo wema anakula alichokipanda! afu now ndo nimegundua kuwa hawa wasanii ni njaa tu yan anakosa ht wakili!!
 
Back
Top Bottom