Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya we mwenye brandHuyu jamaaa hana brand ndo maana haelew...
AsanteHaya we mwenye brand
Achunguzwe haraka sanaLabda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu
Halafu pengine penye Mushkeli ni pale aliposema ya kwamba RAID itafanyika Nyumba hadi Nyumba..
Zile ni kama porojo za kijiwe cha ghahawa. Kwa sababu gani? Mbinu zote alizotaja za mapipa kutupwa baharini yakiwa na dawa, hawajawahi kamata hata moja ili liwe walau exhibit.
Yaani hata polisi wenyewe watakua wanamshangaa jamaa atakakopata ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zake. Hata wale wasanii walioachiwa hakuna ushahidi wowote waliokamatwa nao zaidi ya msokoto wa bangi anaodaiwa wema sepetu na polisi walienda nyumbani kwake baada na yeye kumtuhumu makonda. Hii vita ni dalili tosha kwamba tanzania tunajaribu kuamini sana mambo ya kusikia bila kuyafanyia uchunguzi ikiwa ni pamoja na kuweka mitego kwa watuhumiwa ili kuondoa mkanganyo usio wa lazima.
Mbona mara nyingi tunasikia polisi kusema tumepewa habari za majambazitukaweka mtego tukawanasa. Sasa hili la madawa ya kulevya halina mtego au tumelichukulia kirahisi tu kama biashara ya nyanya?
Nia njema nnayo, na namuunga Mkono, nawaunga Mkono wote wenye Nia ya kutokomeza, au naweza sema kupunguza Kasi ya Madawa ya Kulevya Bongo.Wewe muunge mkono tu kama unayo nia njema...
Mkiwa vitani siku zote huwa lenu ni moja...kumshambulia adui na sio kuchukua mashambulizi ya adui dhidi ya askari mwenzenu na kuanza kumshambulia...hapo adui atakuwa amefanikiwa ktk mbinu yake ya kuwachonganisha na mkiendelea kuhitilafiana atawapiga.
Vita hii ya dawa za kulevya ni kubwa na tunapaswa kuunga mkono kwa kufumbia macho vitu vidogovidogo kwa mfano suala la masogange dhidi ya Makonda ni suala la kipuuzi na propaganda za hovyo kabisa na bahati mbaya muandishi wa habari anasimama kuuliza huo ujinga hii inaonesha kama jamii hatuko pamoja kuondoa tatizo la dawa za kulevya.
Yaani waandishi wa habari wanasimama na kuuliza propaganda bila kujua kuwa wanaziimarisha na kwa namna moja au nyingine wanamuunga mkono adui...are we serious?????
Hivi unayajua majukumu ya RC na mipaka yake wewe, nyie ndo mkipewaga uongozi mnavuka mipaka ya Uongozi....shwaini kabisaMkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.
Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.
Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.
Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.
Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.
*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*
NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.
1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.
TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Hivi akili yako na wewe ndio ilipo ishia yaani mtu kweli kwenda NAIROBI unashangaa, wangapi kila wiki wanaenda mapumzikoni ughaibuni acha akili zako za kudaka kwa kisimbusi weweKama alishawahi kwenda hata Nairobi kabla ya kuwa RC