Vita dhidi ya simba ni kubwa sana lengo lao Mo abwage manyanga

Huyu jamaa Demigod ni mpumbavu sana, anatunga uongo mwingi sana tena wa kipumbavu kuidhalilisha Simba tena amevuka mipaka ya kiunamichezo na utani wa jadi hata moderators niliwahi kuwalalamikia juu ya uzushi wa huyu mtu. Anajifanya anashinda na viongozi wa Simba na wa TFF na ndiyo wanampa za ndani kabisa. Kwa kutwa moja anaanizisha nyuzi zaidi ya kumi kuikandia Simba tena habari za kujitungia tu.
Hiki kijamaa ni kichoko Sana kwa siku kinatundika nyuzi hata kumi za kuiponda Simba tu ,sijui hakina kazi zingine za maana zaidi ya uchawa tu.
Mm nikiona nyuz zake huwa napita tu ,Kuna Wana yanga baadhi wanajielewa na wapo kiuwana michezo Ila hiki kishoga sijawahi kukielewa yaan kungekuwa na burn ningekuwa nishakiblock kitambo
 
GSM huwa anatembeza bahasha kwa hao waandishi na wachambuzi uchwara, kuanzia baadhi ya radio stations wanajulikana.

Simba SC mziki mnene...watasemaa mwisho wa siku watachuchumaaa
 
Hiki kijamaa ni kichoko Sana kwa siku kinatundika nyuzi hata kumi za kuiponda Simba tu ,sijui hakina kazi zingine za maana zaidi ya uchawa tu.
Mm nikiona nyuz zake huwa napita tu ,Kuna Wana yanga baadhi wanajielewa na wapo kiuwana michezo Ila hiki kishoga sijawahi kukielewa yaan kungekuwa na burn ningekuwa nishakiblock kitambo
Kinadai mods wanakifahamu na anakula nao ndiyo maana kinaandika habari za kizushi kinyume na kanuni za JF lakini haguswi,chezea mlungura wewe
 
unauliza swali na jibu unalo, nikusaidie tu ni hivi Yanga ni bingwa kwa miaka mitano bara na Afrika na itapendeza sana Simba ikishuka daraja kwa maana usajili wao mbovu washambuliaji butu unawapandishaje ndege kwa mfano?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopoloo mmevurugwaaaa hadi hamjielewiii.
 
Moderators Kwa nini mnamuacha huyu Demigod analiharibu hili jukwaa kwa mada zake za kizushi? Anakaribisha watu watunane .
Sasa nawee huyo anakurushaa roho?? Khaaah
Hebu mpuuze tyuuh, mbna hatusumbui lhaaaah
 
Huyu jamaa Demigod ni mpumbavu sana, anatunga uongo mwingi sana tena wa kipumbavu kuidhalilisha Simba tena amevuka mipaka ya kiunamichezo na utani wa jadi hata moderators niliwahi kuwalalamikia juu ya uzushi wa huyu mtu. Anajifanya anashinda na viongozi wa Simba na wa TFF na ndiyo wanampa za ndani kabisa. Kwa kutwa moja anaanizisha nyuzi zaidi ya kumi kuikandia Simba tena habari za kujitungia tu.
Mgosi naona 💊💉 sindano da dawa vimeingia mahali penyewe! Yaani wewe ni wa kuwalalamikia Mods? Wewe kabisaa!!!
 
Kiukweli hata Mimi nashindwaga kuelewa, kwann wachambuzi maandazi wa mpira wanaichukia Simba,

Yaani kwao yanga hata kuwe na hitilafu gani wapo kimiya, hila kwa Simba dosari kidogo tu, bwana weee! Hiyo habari mwaka mzima wanayo
Unashindwa vipi kuelewa na wakati Yanga ni timu ya wananchi! Waache wananchi walinde kile kilicho chao.
 
Mgosi naona [emoji381][emoji382] sindano da dawa vimeingia mahali penyewe! Yaani wewe ni wa kuwalalamikia Mods? Wewe kabisaa!!!
Umeshaona nimeleta post ya uzushi hata siku moja? Mimi wajinga na mapooza kama wewe mkileta mada zenu za kizushi nawanyookea tu ndiyo maana ban kwangu ni kitu cha kawaida sana. Huyo mbwiga mwenzako hana sindano bali ana umbea modeli ya juma Lokole.
 
Yani kwa hii miaka mitano hamna tim iliyofanya vizuri kama Simba, lakini wanajifanya hawalioni hilo. Simba hailingani na Yanga, Yanga ni ndogo mno kwa Simba kwa sasa. Simba apewe heshima yake anayo stahili
 
Umeshaona nimeleta post ya uzushi hata siku moja? Mimi wajinga na mapooza kama wewe mkileta mada zenu za kizushi nawanyookea tu ndiyo maana ban kwangu ni kitu cha kawaida sana. Huyo mbwiga mwenzako hana sindano bali ana umbea modeli ya juma Lokole.
Lini mgosi nimeleta mada ya uzushi kuhusu simba! Utakuwa umechanganya bila shaka. Uzi wangu ulikuwa ni wa kuitabiria Yanga kuchukua ubingwa mwanzoni kabisa mwa msimi, na kweli ikachukua.

Na hata sasa nasubiria tu timu zote za ligi kuu zitoe vikosi vyao vya msimu ujao, ili nije tena na utabiri wangu.
 
Sasa hii vita ya mimi na juma lokole inakuhusu nini? Wewe kausha usidondokewe na matone ya damu bure.
 
Lini mgosi nimeleta mada ya uzushi kuhusu simba! Utakuwa umechanganya bila shaka. Uzi wangu ulikuwa ni wa kuitabiria Yanga kuchukua ubingwa mwanzoni kabisa mwa msimi, na kweli ikachukua.

Na hata sasa nasubiria tu timu zote za ligi kuu zitoe vikosi vyao vya msimu ujao, ili nije tena na utabiri wangu.
Mgosi ule uchawi unaoitwa sakizi uliompa Hassan Bumbuli umejibu, tayari mlengwa kala nyundo mbili huko. Ule uchawi nauaminia sana ukipigwa sakizi sasa hivi unaenda kata gogo pale kwenye gate la Lugalo Barracks.
 
Kiukweli hata Mimi nashindwaga kuelewa, kwann wachambuzi maandazi wa mpira wanaichukia Simba,

Yaani kwao yanga hata kuwe na hitilafu gani wapo kimiya, hila kwa Simba dosari kidogo tu, bwana weee! Hiyo habari mwaka mzima wanayo
Halafu huyo jamaa aliyepigwa ban leo na TFF nasikia alikuwa na ratiba ya kipindi wasafi ila akatoa order jemedari asiwepo siku hyo kisa anaiponda yanga kwenye kipindi siku hyo kiufupi yule jamaa alikuwa amevuka mipaka ni makonda pro max
 
Yanga mwenye akili ni baba yake manara na kikwete inamaana ile video ya Patrick nyembera akifanya interview kwenye kambi ya simba hujaiona au ndo unamsikiliza yule nguruwe pori wenu.
Wanasimba wote ni Mbumbumbu - Aden Rage akiwa mwenyekiti wa Simba.
 
Ni kweli kabisa akiwemo senzo manara na yule kocha wa magolikipa maana bila mambumbu simba msingewajua ndo maana wamekuja kwenu wajanja wajifunze ukabwili maana kabwili alisema wapo wenzake watano akiwemo kiongozi mmoja hyo ndo timu ya wananchi.
 
Wameshashindwa.... Mo Nguvu Moja foreva

Halafu hao saizi ni wakuwaacha siunajua midomo yao ndio ajira sakama hana cha kuongea atabadili uongo kuwa ukweli ili tyu cku iishe..... game za kuchambua hakuna zaid ya ndondo

Kuisema Yanga wachambuzi wengi wanmwogopa Manara..... yen Efm ndokabisaa niwaoga kuisema Yanga lakini yote hayo wanmuogopa yule Mdhungu!

Prosicca Kisamba upooo ... huyu ndoexample mpaka leo wanahabar wanaufyata!
Privadinho ndo Head boy wao kwenye huo ukanjanja ndo alianza kuponda mambo ya pre season.
 
Moderators Kwa nini mnamuacha huyu Demigod analiharibu hili jukwaa kwa mada zake za kizushi? Anakaribisha watu watunane .
sidhani kama Demigod anaharibu jukwaa mi naona analipamba jukwaa na kulichangamsha kwa mada moto moto za mabingwa wa kihistoria!

Kwakuwa yeye ni mwananchi na wewe ni Kolo FC ndio maana mada zake hazikupendezi!

Itapendeza sana kama Kolo FC na nanyi mpate Demigod wenu humu!
 
Kolo mamako
 
Back
Top Bottom