Hizb Tahrir Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 18, 2020
- 258
- 235
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji