luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kwan Ni uongo?Unaona chuki yako dhidi ya uislamu inavyokutafuna Hadi umeshindwa kujizuia
Kina isis, talebani nk Ni wasabato?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan Ni uongo?Unaona chuki yako dhidi ya uislamu inavyokutafuna Hadi umeshindwa kujizuia
Jibu swali acha kuruka ruka au tukuwekee clip magaid wakisoma quran wakat wakichinja watu?Wewe quraan unaijua?
Wanadhuliwaje? Magaidi yote kina isis yanatakiwa kupigwa kabisaUpendo utapatikana vipi Kama Kuna watu wanadhulumiwa
Kwahyo kina isis ni bora sana?Uislam ndio dini kamili hizo zingine sawa na vikoba tu maana wanabadili maandiko kila siku
Wale Antbaraka walikuwa waislamu?Waislam wote si magaidi ila magaidi wote ni waislam
Tulia kwenye mada husika,Wewe ndio ulisema ugaidi na jihad ni tofauti, kwa hiyo ni lazima utuambie hizo tofauti ili tuzijue tusijechanganya hizi mada tena. Maana wewe ndiye unajua tofauti zake, la sivyo usilalamike tukijichanganya.
Nimetoa mfano wa Iraq mbona hujazungumzia huo.Mwaka 98 ubalozi wa marekani ulipolipuliwa DSM, mama wa nani alikua Kabakwa pale?
Tatizo watu wanaotumia jina la Allah wanaingia na kushiriki ibada misikitini na yumkini viongozi wa miskiti husika wanawafahamu au waumini wanawatambua. Lakini sikuwahi kusikia uongozi wa msikiti fulani wamebaini uwepo wa wanaojihusisha na ugaidi, hata mara moja. Hii ni moja ya sababu magaidi wanawindwa katika mazingira yoyote ambako magaidi wanaweza kujificha bila kubainika. Kwa maoni yangu ummat islam uanze kuondoa kasoro zote zinazoweza kuwanasibisha na ugaidiTangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Uislam unatishaje nchi za magharibi?Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Mnajua hizi stori zenu mnazodanganywa redio Imani,na kwenye magazeti ya kisiwa,risala na alnuur parsaday mnajionyesha jinsi gani mlivyo na utumwa wa kifikra sasa uislamu upigwe vita kwa ajili gani? Je unateknolojia,una uchumi au rasilimali zozote au kama madini au mafuta mbona waislamu huwa mnalalamika sana mnaonewa akati kuna dini nyingi kama ukristo,uyahudi,uhindu,budha,hawalalamiki na ukiangalia magaidi wa kiislamu kama bookharamu,alshababu,hammas,hezbollah,islamic jihadi ndio wenye fujo duniani wanafanya ugaidi kwa jina la uislamu mnatakiwa mpige vita hawa magaidi wasitumie jina la dini ya kislamu kwenye kufanya ugaidiTangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Comments ya kijinga kuwai kuiona jamiii forums ni hii ya huyu paschal martin.! Ww unadhani anaeomewa wivu ni mwenye nacho tu??????? Ccm Wana kila kitu mbona BADO wameendelea kuwaonea donge chadema na kuwapoka ubunge kwann ccm wasingekubali kuwa wao Wana kila kitu BAsi waache tu dunia iwe fair.???? Hapo utapata picha ya dhana ya uislamu na ugaidi wa kulazimisha kwenye magazeti cc wenyewe hatujui kama uislamu ni ugaidi lakin nyinyi ndio mnaona uislamu ni ugaidi hii inaonyesha nyie ndio mmeaminishwa hivyo.jinsi mlivyo watumwa wa fikra za wamagharibi na ndio maana leo wameleta project yao ya corona hakuna pakuchomoka hili la wote washajua kuna watu kule akili za kifikiria hawana kama wakina paschal martinMnajua hizi stori zenu mnazodanganywa redio Imani,na kwenye magazeti ya kisiwa,risala na alnuur parsaday mnajionyesha jinsi gani mlivyo na utumwa wa kifikra sasa uislamu upigwe vita kwa ajili gani? Je unateknolojia,una uchumi au rasilimali zozote au kama madini au mafuta mbona waislamu huwa mnalalamika sana mnaonewa akati kuna dini nyingi kama ukristo,uyahudi,uhindu,budha,hawalalamiki na ukiangalia magaidi wa kiislamu kama bookharamu,alshababu,hammas,hezbollah,islamic jihadi ndio wenye fujo duniani wanafanya ugaidi kwa jina la uislamu mnatakiwa mpige vita hawa magaidi wasitumie jina la dini ya kislamu kwenye kufanya ugaidi
Yaani mtu chuki na ujinga vimemjaa Hadi hajui anachoongea tenaComments ya kijinga kuwai kuiona jamiii forums ni hii ya huyu paschal martin.! Ww unadhani anaeomewa wivu ni mwenye nacho tu??????? Ccm Wana kila kitu mbona BADO wameendelea kuwaonea donge chadema na kuwapoka ubunge kwann ccm wasingekubali kuwa wao Wana kila kitu BAsi waache tu dunia iwe fair.???? Hapo utapata picha ya dhana ya uislamu na ugaidi wa kulazimisha kwenye magazeti cc wenyewe hatujui kama uislamu ni ugaidi lakin nyinyi ndio mnaona uislamu ni ugaidi hii inaonyesha nyie ndio mmeaminishwa hivyo.jinsi mlivyo watumwa wa fikra za wamagharibi na ndio maana leo wameleta project yao ya corona hakuna pakuchomoka hili la wote washajua kuna watu kule akili za kifikiria hawana kama wakina paschal martin
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app

Truth is one and indivisible, kama kweli ni kitabu kizuri hakiwezi kutumika kuunga mkono ugaidi, na kinyume chake ni kweli pia.Shida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi
Za kuambiwa changanya na zako, hakuna Serikali yoyote itakayokamata watu ati kwa kuchangia kujenga hospital, tena Serikali ingefurahi sana kwa habari hii nzuri. Serikali imetoa mpaka fedha katika ujenzi wa misikiti na shughuli nyingine za Waislam. Kuna muda utapata ukweli, kuna misikiti iliamua kuachana na ibada ikazama mazima katika ugaidi, kumbuka ya Tanga, Zanzibar, Dar es salaam na Pwani. Baada ya kukamata wahusika nchi imetulia kabisa.Siku hizi ugaidi umekuwa cheap Sana unabambikiziwa kesi tu kuwa ni gaidi alafu huna pakujitetea mana ni mfumo mzima unakuzunguka.nilisikia kule mkoa wa tanga waislamu wanalalamika kuna masheikh wao wamepewa kesi ya ugaidi wakati hata visu hawajawai kumiliki kisa cha kuambiwa wao ni magaidi na kusotea jela hadi wakati huu naandika hapa ni kwamba walikuwa wanachangisha hela KWA ajili ya kuja kujenga hospital ya kiislamu BAsi hilo ndio kosa lao kubwa hadi leo Wananyea debe maweni tanga huu ni ukwei mtupu.Neno ugaidi ni hila za wazungu katika kuwavunja nguvu waislamu huo ndio ukweli ndugu zangu na polisi wote wanaotumwa kukamata kamata masheikh wanajua hizi hila na madhila wanayo fanyiwa waislamu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha chuki nyie wengi wenu ni wanafiki mnatafsiri qurain vibaya magaidi wanafanya matendo ya kigaidi kwa mwamvuli wa dini na waislamu hamuwapingi kutumia dini vibaya matokeo yake mataifa yakipambana na magaidi nyie mlionaulemavu wa kifikra mnasema uislamu unapigwa vitaYaani mtu chuki na ujinga vimemjaa Hadi hajui anachoongea tena
Huyo jamaa unamuelimisha hawezi kukuelewa tayari anautumwa wa kifikraZa kuambiwa changanya na zako, hakuna Serikali yoyote itakayokamata watu ati kwa kuchangia kujenga hospital, tena Serikali ingefurahi sana kwa habari hii nzuri. Serikali imetoa mpaka fedha katika ujenzi wa misikiti na shughuli nyingine za Waislam. Kuna muda utapata ukweli, kuna misikiti iliamua kuachana na ibada ikazama mazima katika ugaidi, kumbuka ya Tanga, Zanzibar, Dar es salaam na Pwani. Baada ya kukamata wahusika nchi imetulia kabisa.