Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Hutaweza kusikia hata siku moja viongizi wakubwa wakubwa duniani wa dini ya Kiislam wakikemea kuhusu huo ugaidi yani wote wapo kimya kwa mantiki hiyo kwa namna moja au nyingine inaonekana kama sawa tu.

Kingine ndugu zetu Waislam ndo mnawafuga hao magaidi mfano kule kibiti jamaa waliishi Misikitini kabisa wengine kwenye nyumba za Masheikh sasa unajiuliza hii ni nini wanafanya, hutasikia hata siku moja gaidi limeenda kwa mkristo likaishi pale hakuna.

Waislam wanaojielewa wanapinga ugaidi kwa nguvu zote
 
Comments ya kijinga kuwai kuiona jamiii forums ni hii ya huyu paschal martin.! Ww unadhani anaeomewa wivu ni mwenye nacho tu??????? Ccm Wana kila kitu mbona BADO wameendelea kuwaonea donge chadema na kuwapoka ubunge kwann ccm wasingekubali kuwa wao Wana kila kitu BAsi waache tu dunia iwe fair.???? Hapo utapata picha ya dhana ya uislamu na ugaidi wa kulazimisha kwenye magazeti cc wenyewe hatujui kama uislamu ni ugaidi lakin nyinyi ndio mnaona uislamu ni ugaidi hii inaonyesha nyie ndio mmeaminishwa hivyo.jinsi mlivyo watumwa wa fikra za wamagharibi na ndio maana leo wameleta project yao ya corona hakuna pakuchomoka hili la wote washajua kuna watu kule akili za kifikiria hawana kama wakina paschal martin

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Ccm,inawaogopa Chadema,maana ikiwapa nafasi,watatangaza maovu yote ya ccm,na kuwaamusha wananchi,Rejea serikali ya Kikwete ilipojiuzuru,baada ya Waziri mkuu Lowasa kubanwa,hicho ndio ccm wanaogopa kwa Chadema,Chadema inaamusha wananchi,wakiamka,ccm hana chake,ndio maana walizima mtandao maovu yao yasijurikane nje,
Sasa islam,mna nini Cha kuitisha Dunia?China wanacho,ndio maana USA Inapiga vita makampuni ya china kufanya kazi USA,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Waislam wote si magaidi ila magaidi wote ni waislam
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
 
Nadhani tunaongelea / tunakosea kuuliza swali.. ?

Cha kujiuliza Ugaidi upo au haupo ?; Na je Uislamu ni ugaidi au magaidi wengi ni waislamu; Je Waislamu wanaukemea Ugaidi vya kutosha ?

Silaha kubwa na recruitment ya magaidi ni through brainwashing..., kuwaambia wale watu ni mabeberu hawatupendi na inabidi tuwaangamize huenda ikawa ni njia ya kuongeza ugaidi....

Ila kupinga na kuwaambia watu ugaidi sio njia sahihi ya kutatua matatizo wala haiendani na imani yoyote bali ni ulimbukeni na ubaradhuli ndio njia pekee ya kuondoa ugaidi (Na waislamu wana nafasi kubwa ya kufanya hilo)
 
Truth is one and indivisible, kama kweli ni kitabu kizuri hakiwezi kutumika kuunga mkono ugaidi, na kinyume chake ni kweli pia.

Hiki kitabu kinakupa option mbili, mfano: kuua au kumsamehe aliyekuibia mke ni juu yako, hata ukiua hautahesabiwa dhambi, sasa wengine wanachagua kuua
 
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi

Kati ya makundi 10 ya kigaidi, tisa ni ya waislam na wanatumia quran kuhalalisha ugaidi wao na wanaswali wakati wakichinja 'makafiri'
 
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Twende taratibu.Hebu nijibu haya maswali.

1. Wale Boko Haram, Alshabab na ISIS. Wale ni magaidi au sio magaidi?

2.Wale alshabab walioua watu kwenye supermarket ya Westgate pale Kenya mwaka juzi, wale walikuwa ni magaidi au sio magaidi?
 
Mimi naona waislamu wapinge hawa magaidi wasitumie jina uislamu kwenye matendo ya ugaidi kwa kisingizio wanaeneza dini ya uislamu au wanapigania dini
Hilo haliwezi kutokea, wenzako wanafurahi Sana wanapoona al-shabaab wanafanya yale
 
Kinachonisikitisha ni kuwa HAKUNA hata siku moja utaleta madaa hapa kupinga kinachofanywa na al-shabaab, Boko Haram, IS n.k
Ungeanza kwa kuwapinga Hawa kutumiaa uislamu kuua raia wasio na hatia.
Huwa najiulizaga kwa nini hamkosoi na kupinga haya makundi yanayotumia uislamu kuua?
 
Toka nizaliwe Sijawahi kusikia muislam yoyote akikemea Mauaji ya Kigaidi. Sio waumini wala mashekhe.

Ikichanwa quran utawaona wataibuka kama moto wa kifuu toka kila kona na povu kali sana, ila magaidi wakitumia Jina la Alah kuua (Allah akbar) wako kimyaaaaa. Huwezi kuwasikia hata siku moja wakisema au kukemea.
 
Mtoa uzi na watetea huzi wapo wawili hapo wana element zote za kibiti,au kushabikia sema wanatumia hisia zao kwa kujificha na ID zao.
Asilimia kubwa ya waislamu nimekaa nao mpaka kushiriki kwenye mambo ya kidini japo ni mkristo.wanayo ongea wakiwa wenye tena hukute wana misimamo mikali .wanatamani dunia nzima kufuta watu wasio waislamu huku wakidai wamezulumiwa kila kona .
 
Hiki kitabu kinakupa option mbili, mfano: kuua au kumsamehe aliyekuibia mke ni juu yako, hata ukiua hautahesabiwa dhambi, sasa wengine wanachagua kuua
Yaani wala usikiri kwa level za juu sana, jiulize tu uelewa wa kawaida tu, kweli Mungu anaweza toa amri ya kuua mtu kutokana na kutembea na mke wa mtu? Hivi vitabu ni vya kusoma mara mbili mbili, ile element ya humanity kama inaizidi kwa mbali ile ya divinity.
 
Tuseme huo wa Iraq tumeukubali. Haya jibu sasa swali uliloulizwa juu ya Ubalozi wa marekani chini tanzania BILA CHENGACHENGA.
Kama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanza
 
Yaani wala usikiri kwa level za juu sana, jiulize tu uelewa wa kawaida tu, kweli Mungu anaweza toa amri ya kuua mtu kutokana na kutembea na mke wa mtu? Hivi vitabu ni vya kusoma mara mbili mbili, ile element ya humanity kama ile ya divinity.
Wewe kutembea na mke wa mwenzio ndiyo unaona humanity. !?
 
Kama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanza
Jaribu kuelewa. Huyo aliyesema TUSEME HUO WA IRAQ TUMEUKUBALI hakutoa definitive answer. Alikupa lile jibu ili ueleze waliolipua ubalozi wa wamarekani kama mama zao waliuwawa. Inshu ya Iraq majibu yake yapo na hayafanani na nia ya kupora resources
 
Back
Top Bottom