Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Kama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanza
JIBU SWALI ULILOULIZWA acha kuzunguka zunguka
 
Twende taratibu.Hebu nijibu haya maswali.

1. Wale Boko Haram, Alshabab na ISIS. Wale ni magaidi au sio magaidi?

2.Wale alshabab walioua watu kwenye supermarket ya Westgate pale Kenya mwaka juzi, wale walikuwa ni magaidi au sio magaidi?
Jibu kwanza ulichoulizwa. Mao, Hitler, Bush, Blair, wameua mamilioni mbona hawaitwi magaidi. Hii no kwa sababu si Waislamu. Ila muislamu hata ikishika toi la bunduki vyombo vya habari vitasema ni gaidi
 
Mimi nitakujibu bila kupindisha. Mao, Hitler, Bush na Blair ni magaidi.

Haya, JIBU SASA SWALI NILILOKUULIZA.
 
Kama umekubali Iraq itakuwa umekubaliana na sisi kuwa vita dhidi ya ugaidi imejengwa juu ya msingi wa uongo na imelenga kunyonya rasilimali na kuangamiza uislamu na Waislamu hasa ukizingatia imepelekwa ktk maeneo ya Waislamu kwanza
Sasa uislamu uangamizwe una nini? Mbona unautumwa wa kifikra wewe tatizo mnadanganywa radio imani
 
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.

Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.

Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji

Hao mabeberu, wametumia nafasi ya udhaifu wa dini. Diniina ruhusu kujichulia sheria mkonoi na adhabu kali za kikatili.
 
Twende taratibu.Hebu nijibu haya maswali.

1. Wale Boko Haram, Alshabab na ISIS. Wale ni magaidi au sio magaidi?

2.Wale alshabab walioua watu kwenye supermarket ya Westgate pale Kenya mwaka juzi, wale walikuwa ni magaidi au sio magaidi?
Of course ni magaidi
Kama vile vikundi vya kigaidi vya mafia na vile vya drugs Lords kule Colombia pia ni vikundi vya kigaidi
Dunia hii wapo wahalifu wa kiislamu na wapo wahalifu wa kikafiri pia
Je unajua Hivi karibuni kule new Zealand alitoa gaidi siku ya ijumaa akeanda msikitini na kuua watu wanafanya ibada?
Terrorism got nothing to do with Islam
 
Kati ya makundi 10 ya kigaidi, tisa ni ya waislam na wanatumia quran kuhalalisha ugaidi wao na wanaswali wakati wakichinja 'makafiri'u
Unatakiwa ujue hayo so called makundi ya kigaidi Yana wadhuru waislamu kuliko makafiri
Kaa ukijua makundi yote yanatumia silaha hatari kutoka nchi za magharibi
Kuna makala ilizungumzia hayo makundi na vipi yanahusiano na Marekani
Ndugu kuna mambo mengi nyuma ya pazia
 
Of course ni magaidi
Kama vile vikundi vya kigaidi vya mafia na vile vya drugs Lords kule Colombia pia ni vikundi vya kigaidi
Dunia hii wapo wahalifu wa kiislamu na wapo wahalifu wa kikafiri pia
Je unajua Hivi karibuni kule new Zealand alitoa gaidi siku ya ijumaa akeanda msikitini na kuua watu wanafanya ibada?
Terrorism got nothing to do with Islam
Good. Umekiri kuwa hao ni magaidi. Sasa nitakuuliza swali.

Umewahi kuona masheikh na viongozi wa kiislam popote pale wakikemea Ugaidi unaofanywa na Alshabab, Boko haram na ISIS?

Mathalan hapa Tanzania, ni waislam gani wamewahi kukemea hayo makundi in public?
 
Unatakiwa ujue hayo so called makundi ya kigaidi Yana wadhuru waislamu kuliko makafiri
Kaa ukijua makundi yote yanatumia silaha hatari kutoka nchi za magharibi
Kuna makala ilizungumzia hayo makundi na vipi yanahusiano na Marekani
Ndugu kuna mambo mengi nyuma ya pazia
Hahaha... unayaita "the so called".

Hayo makundi yanatumia jina la Mungu wenu Allah kuua.
SIJAWAHI KUWASIKIA MKIYAKEMEA POPOTE PALE.

Hebu acheni unafiki nyie watu.
 
IMG_3896.jpg

IMG_3897.jpg

IMG_3898.jpg
 
Huyu mtoa mada ama hataki kujibu haya maswali au hana uwezo wa kuyajibu. nafikiri kuna ushabiki fulani tu ndio umemtuma kuanzisha hii mada.
Mtoa mada kama uko siriaz laani hapa makundi ya kigaidi kama boko haram, alshabaab, al qaida and the like. Hebu yalaani hapa tukuaminie kwamba wewe huwezi kunasibishwa na ugaidi unaotumia uislam
 
Hahaha... unayaita "the so called".

Hayo makundi yanatumia jina la Mungu wenu Allah kuua.
SIJAWAHI KUWASIKIA MKIYAKEMEA POPOTE PALE.

Hebu acheni unafiki nyie watu.
Hujawahi kusikia tukiyakemea kwa sababu hupati taarifa zetu
Anyways amini unachoamini
The reality is reality hata kama unataka au hutaki
 
Good. Umekiri kuwa hao ni magaidi. Sasa nitakuuliza swali.

Umewahi kuona masheikh na viongozi wa kiislam popote pale wakikemea Ugaidi unaofanywa na Alshabab, Boko haram na ISIS?

Mathalan hapa Tanzania, ni waislam gani wamewahi kukemea hayo makundi in public?
Viongozi wote na msikitini yote wanakemea na kutahadharisha vijana kujiunga na makundi ya mauaji ya watu wasio na hatia
Labda wewe unategemea kupata Habari za waislamu kanisani
Sorry unatafuta sindano kwenye kiza
 
tafuteni media za maana na zenye kuaminika ndio mkemee na kulaani ugaidi ukifanywa na wanaojiita waislamu au waislamu na wasio waislam. hapo mtakuwa na moral authority ya kuwalalamikia wanaoshambulia uislamu kwa jina la ugaidi. kusema hayo yanahubiriwa misikitini wasiokwenda misikitini hawataamini kuwa mnaupinga ugaidi unaotumia jina la uislamu kwa dhati na sioni hali ya sasa itakavyobadilika kirahisi
 
Huyu mtoa mada ama hataki kujibu haya maswali au hana uwezo wa kuyajibu. nafikiri kuna ushabiki fulani tu ndio umemtuma kuanzisha hii mada.
Mtoa mada kama uko siriaz laani hapa makundi ya kigaidi kama boko haram, alshabaab, al qaida and the like. Hebu yalaani hapa tukuaminie kwamba wewe huwezi kunasibishwa na ugaidi unaotumia uislam
Alaani basi
 
tafuteni media za maana na zenye kuaminika ndio mkemee na kulaani ugaidi ukifanywa na wanaojiita waislamu au waislamu na wasio waislam. hapo mtakuwa na moral authority ya kuwalalamikia wanaoshambulia uislamu kwa jina la ugaidi. kusema hayo yanahubiriwa misikitini wasiokwenda misikitini hawataamini kuwa mnaupinga ugaidi unaotumia jina la uislamu kwa dhati na sioni hali ya sasa itakavyobadilika kirahisi
Media wanayo haki ya kutangaza au kutokutangaza taarifa zetu
Bottom line is you must know what Islam teach or say about terrorism
Kuna waislamu wezi. Walevi. Wala nguruwe n, k
Hatuwezi kuwaandika na kalamu moja eti kwa sababu anaitwa Jina la kiislamu....

Hao magaidi ni waovu kama waovu wengine
Pia jua kuna makundi mengi ya kigaidi kule America ya kusini yanajishughulisha na Madawa ya kulevya lakini media hawasemi kua ni magaidi wa ki kristo ilihali wote ni wakatoliki
 
Viongozi wote na msikitini yote wanakemea na kutahadharisha vijana kujiunga na makundi ya mauaji ya watu wasio na hatia
Labda wewe unategemea kupata Habari za waislamu kanisani
Sorry unatafuta sindano kwenye kiza
Mimi sijazungumzia "kukemea kujiunga na mauaji ya watu wasio na hatia", mimi nimezungumzia UGAIDI. TERRORISM IN THE NAME OF ALLAH.

Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
 
Media wanayo haki ya kutangaza au kutokutangaza taarifa zetu
Bottom line is you must know what Islam teach or say about terrorism
Kuna waislamu wezi. Walevi. Wala nguruwe n, k
Hatuwezi kuwaandika na kalamu moja eti kwa sababu anaitwa Jina la kiislamu....

Hao magaidi ni waovu kama waovu wengine
Pia jua kuna makundi mengi ya kigaidi kule America ya kusini yanajishughulisha na Madawa ya kulevya lakini media hawasemi kua ni magaidi wa ki kristo ilihali wote ni wakatoliki
Hayo makundi ya huko amerika ya kusini hawaui kwa kutumia ukristo wao, wao wanauwa kwa interest za biashara yao,. ILA al-shabaab na Boko haram wanauaa kwa kutumia uislamu
 
Mimi sijazungumzia "kukemea kujiunga na mauaji ya watu wasio na hatia", mimi nimezungumzia UGAIDI. TERRORISM IN THE NAME OF ALLAH.

Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
Nilishawaelewa Sana, huwa pia wanafurahia sana yanayofanywa na Boko Haram, al-shabaab
 
Back
Top Bottom