Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Media wanayo haki ya kutangaza au kutokutangaza taarifa zetu
Bottom line is you must know what Islam teach or say about terrorism
Kuna waislamu wezi. Walevi. Wala nguruwe n, k
Hatuwezi kuwaandika na kalamu moja eti kwa sababu anaitwa Jina la kiislamu....

Hao magaidi ni waovu kama waovu wengine
Pia jua kuna makundi mengi ya kigaidi kule America ya kusini yanajishughulisha na Madawa ya kulevya lakini media hawasemi kua ni magaidi wa ki kristo ilihali wote ni wakatoliki
Yakatazeni yasitumie jina la uislamu kwenye ugaidi wao
 
Christian terrorists does not exist cos media hawatumii
Media haijawahi kusema white terrorists lakini ilikua inasema black South African terrorists
Anyways kila mtu anamaono yake....

Mimi ni muislamu na nimesoma dini yangu na hakuna sehemu tunafundushwa ugaidi

Kwa kua main stream media muislamu au mtu wenye Jina la kiislamu akifanya maovu anachukuliwa ni gaidi lakini none Muslim akifanya samething anakua muhalifu wa kawaida
Hivi majuzi kule Marekani ilitokea kitu inaitwa Capital riot na watu kadhaa wakauawa kikatili wengine kujeruhiwa
Fikiria hilo tendo lingefanywa na watu weusi Achilia waislam. Bado ingeitwa riot au terrorism?
Hope your matured enough to understand media languages
Unajua baada ya uchaguzi mbowe alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi?

Je unajua so called Islamic terrorism imeanza lini?

Angalia ndani sio unadandia njiani
Sasa mbona unajijibu mwenyewe Mbowe ni muislamu sasa? Mbona amehusishwa na ugaidi
 
Kule juu nimeuliza swali ambalo wewe na wenzako wote mnalikimbia.

NALIRUDIA HAPA

Umesema hakuna sehemu uislam umeruhusu ugaidi. Sasa Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
Ndugu msikitini kote kuna program maalumu za vijana kuwaonya juu ya makundi ya kigaidi
Kila mwaka wakati wa hija mlima wa Arafat masheikh wakubwa hupanda na kukemea ugaidi
Hebu niambie...
Unategemea Mufti aende kanisani kukemea?
Mimi naona wewe unataka kutufundisha dini yetu au unafikiri Unaijua dini yetu kuliko Sisi
Hao magaidi ni wahuni
Sasa mbona unajijibu mwenyewe Mbowe ni muislamu sasa? Mbona amehusishwa na ugaidi
Sasa wewe unaamini mbowe ni gaidi au mwanasiasa?
 
Huyu mtoa mada ama hataki kujibu haya maswali au hana uwezo wa kuyajibu. nafikiri kuna ushabiki fulani tu ndio umemtuma kuanzisha hii mada.
Mtoa mada kama uko siriaz laani hapa makundi ya kigaidi kama boko haram, alshabaab, al qaida and the like. Hebu yalaani hapa tukuaminie kwamba wewe huwezi kunasibishwa na ugaidi unaotumia uislam
Akifanya hivyo maybe itakuwa kweli aapingana na hao magaidi.
 
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.

Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.

Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Kwani ugaidi upo au haupo? Kama upo, wanaoufanya ni akina nani na kwa nini?

Wale boko Haram na Al Shabab ni magaidi au wahuni tu?
 
Sasa mnakemeaje kisirisiri au kimya kimya hadi tusisikie acha udanganyifu na ujanja
Wewe unataka tuchukue maspika na gari tutembee barabarani?
Sisi tunanyumba zetu za ibada na ndio tunazungumza mambo yetu
Mara kadhaa Mufti anasema na viongozi wote wanakemea
Lakini kwa sababu wewe akili yako imejengwa hivyo Sina cha kusema
Dini ni imani na wewe endelea kuamini waislam ni magaidi life goes on
 
Ndugu msikitini kote kuna program maalumu za vijana kuwaonya juu ya makundi ya kigaidi
Kila mwaka wakati wa hija mlima wa Arafat masheikh wakubwa hupanda na kukemea ugaidi
Hebu niambie...
Unategemea Mufti aende kanisani kukemea?
Mimi naona wewe unataka kutufundisha dini yetu au unafikiri Unaijua dini yetu kuliko Sisi
Hao magaidi ni wahuni

Sasa wewe unaamini mbowe ni gaidi au mwanasiasa?
Unaelewa kiswahili. SIJAULIZA kuhusu kuwaonya vijana juu ya Ugaidi huko msikitini mnapokaa. Hebu soma swali halafu uelewe swali ndio ujibu.

NALIRUDIA HAPA CHINI

Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
 
Unaelewa kiswahili. SIJAULIZA kuhusu kuwaonya vijana juu ya Ugaidi huko msikitini mnapokaa. Hebu soma swali halafu uelewe swali ndio ujibu.

NALIRUDIA HAPA CHINI

Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
Kutoka hadharani maana yake nini?
Au tuchukue maspika na gari tuzungumze dunia nzima?
Bottom line uliza uislamu unasemaje kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia
Swala la nani anakemea na nani anapinga huwezi jua maana haupo na sisi
Pombe, zinaa, nguruwe nk ni haramu
Je umewahi kuona sheikh gani anakemea unavyotaka wewe?
Je kwa sababu hujawahi kusikia hadharani Ndio Pombe iwe halali?
 
Mbona huulizii aliyetoka na kulaani mauaji kwa jina la ukristo au demokrasia, au ubudha nk
 
Kutoka hadharani maana yake nini?
Au tuchukue maspika na gari tuzungumze dunia nzima?
Bottom line uliza uislamu unasemaje kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia
Swala la nani anakemea na nani anapinga huwezi jua maana haupo na sisi
Pombe, zinaa, nguruwe nk ni haramu
Je umewahi kuona sheikh gani anakemea unavyotaka wewe?
Je kwa sababu hujawahi kusikia hadharani Ndio Pombe iwe halali?
Mueleweshe vzr huyo
 
Unauliza kutoka hadharani ni nini?

1. Ni kama vile mlivyotoka hadharani kwa matamko mwaka jana Quran ilipochanwa-chanwa.

2. Ni kama mlivyotoka hadharani mwaka juzi kwa matamko Qur'an ilipokojolewa na yule mtoto.

3. Ni kama pia mlivyotoka hadharani mpaka mkaandamana kipindi kile cha Necta na ndalichako mkilaumu kuwa waislam mnafelishwa.

Nimekuambia unioneshe MFANO MMOJA TU wa ninyi mkitoa MATAMKO YA KULAANI HADHARANI Ugaidi unaoichafua dini yenu.

Hili swali langu nimekuwa gumu kweli kwako.

HUNA MFANO HATA MMOJA wa muislam aliyetoka hadharani akakemea ugaidi. Ungekuwa nao huo mfano hata mmoja tu ungeshausema hapa siku nyingi.
 
Back
Top Bottom