Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nakumbuka Bush alipokuwa akitaka kuivamia Iraq kumtoa Saddam Hussein kwa madai ya kuwa ana silaha za maangamizi, mataifa mengi ya Magharibi walipinga huu mpango.Tuseme huo wa Iraq tumeukubali. Haya jibu sasa swali uliloulizwa juu ya Ubalozi wa marekani chini tanzania BILA CHENGACHENGA.
Nadhani sio sahihi kujumuisha mataifa yote ya magharibi kwa kitendo alichofanya Bush.
Lakini hata hivyo Saddam sio kuwa alikuwa mtu mwema kwa Waislam hata, alikuwa akivamia nchi za Kiislam Kama Quwait na Iran na kuuwa Wa Qurdi kwa wingi