Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Tuseme huo wa Iraq tumeukubali. Haya jibu sasa swali uliloulizwa juu ya Ubalozi wa marekani chini tanzania BILA CHENGACHENGA.
Nakumbuka Bush alipokuwa akitaka kuivamia Iraq kumtoa Saddam Hussein kwa madai ya kuwa ana silaha za maangamizi, mataifa mengi ya Magharibi walipinga huu mpango.

Nadhani sio sahihi kujumuisha mataifa yote ya magharibi kwa kitendo alichofanya Bush.

Lakini hata hivyo Saddam sio kuwa alikuwa mtu mwema kwa Waislam hata, alikuwa akivamia nchi za Kiislam Kama Quwait na Iran na kuuwa Wa Qurdi kwa wingi
 
majibu yake ni yapi? Mwenzio ameshakubali ni uporaji wa mafuta
Look, hii haikusaidii wewe Kama mwislam. Mimi Kama kuna mtu kauwa watu kwa jina la Yesu huyo ninamkemea kwa nguvu zangu zote. Anayoyafanya sio mafundisho ya Mungu. Ashindwe katika hila na ubaya wake.
Hili unaloling'ang'ania la kupora mafuta ni dhaifu sana ukilinganisha na uzito wa hoja yako. Sasa mimi nimekemea hapo juu. Sasa wewe Hizbullah Tahrir unakemea au hukemei makundi ya boko haram, al shabab na al qaida? Jibu hili tu nami nitaiunga mkono hoja yako
 
Hawa jamaa nimewapiga maswali wanaishia kuyakimbia tu.
Nimemwambia anioneshe mtu aliyewahi kufanya ugaidi kwa kutumia jina la Yesu au kwa kutumia vifungu vya Biblia...mpaka sasa hivi wako kimyaaaaaaa kama hilo swali hawajaliona. Na nimelirudia zaidi ya mara 3 humu.
 
😂😂😂😂😂nimekuona. Haya mambo ya itikadi kali yanawala akili Sana. Kitakachotokea ni kuendelea kufyekwa kokote wanakoibuka
 
Somalia hakuna majeshi ya wazungu, Al Shabaab wanajitoa mhanga kuua waislamu wenzao.
Unawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?
 
Osama alikuwa CIA kwa kazi gani?
Ugaidi ni nini? Katika list ya magaidi hakuna wakristo? Osama alikuwa gaidi au? Brenton Harrison aliyeua watu msikitini New zealand alikuwa gaidi? Nini kipo nyuma ya vitendo hivyo? Kwa mfano Osama alikuwa ndani ya CIA wakageukana na USA!
 
Inaonekana Mtoa mada unao upeo mkubwa sana kwenye masuala mbalimbali nyeti na yanayogusa imani au itikadi za watu mbalimbali.

Basi kwa heshima kubwa nikuombe ndugu yangu utupatie maoni yako juu ya makundi ya Alshabaab, Islamic State ( IS) na Boko Haram

Aksante kwa mada nzuri ya kuvutia
Haya makundi yanateka watoto,yanaua watu wasio na hatia hakuna jihad pale mkuu ni watu wanaleta vurugu ktk jamii vitendo vyao vipo mbali na uislamu
 
Shida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi
Tatizo vijana wengi hatusomi elimu sahihi ya dini ya uislamu Ndomaana inakuwa ivyo wengi wao ni watu wasio na elimu(wajinga ktk dini ya uislamu)
 
Unaelewa maana ya ugaidi?
Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
 
Unaelewa maana ya ugaidi?
Jibu kwanza ulichoulizwa. Mao, Hitler, Bush, Blair, wameua mamilioni mbona hawaitwi magaidi. Hii no kwa sababu si Waislamu. Ila muislamu hata ikishika toi la bunduki vyombo vya habari vitasema ni gaidi
 
Wagalatia wagumu sana kuelewa
Kwenye biblia kuna mistari inasema ngurue ni haramu lakini wanabisha
Sasa utawasaidiaje??
Sheikh Siku hizi kuna kitimoto choma, na kuna rosti, wallai hiyo choma ukila hiyo itakufungu na kukuweka huru mbali na vifungo vya dini ya chuki na ugaidi.
 
Ndio,mchukue maspika na gari mzungumze dunia nzima kama mnavyofanya kitabu chenu au mtume wenu anapokejeliwa.
Kutoka hadharani maana yake nini?
Au tuchukue maspika na gari tuzungumze dunia nzima?
Bottom line uliza uislamu unasemaje kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia
Swala la nani anakemea na nani anapinga huwezi jua maana haupo na sisi
Pombe, zinaa, nguruwe nk ni haramu
Je umewahi kuona sheikh gani anakemea unavyotaka wewe?
Je kwa sababu hujawahi kusikia hadharani Ndio Pombe iwe halali?
 
Back
Top Bottom