Cryspina
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 298
- 395
Ugaidi ni ugaidi tu. Ugaidi ni kutishia maisha ya wengine na kuyaweka hatarini kwa lengo la kutimiza matakwa yako binafsi.Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Hao umewataja ni wahalifu ila katika sura nyingine kabisa. Hao ni wahalifu na ndio maana tuhuma zao unaona zipo tofauti na za Osama au wale magaidi wengine ambao uhalifu wao una mlengo wa kiimani.
Ni upuuzi kutaka kulazimisha mtu aamini kile unachokiamini hadi inafikia hatua unaua au unatishia maisha ya watu kwa silaha kali za kivita, halafu ukiulizwa unataka nini unasema eti nimeagizwa na muumba wangu kuwaletea ujumbe kuwa mfuate maagizo yake, wewe utakuwa ni mpumbavu wa akili kabisa.
Ugaidi unaofanywa na makundi ya kiislam ni wa kitoto sana na ndio unaosababisha dunia nzima kuwachukulia the same maana kuna elements za ukorofi ndani yake.
Wewe msikiti wako huo hapo, unasali unarudi nyumbani kwako, unaendelea na maisha yako vizuri na majirani zako. Pale ambapo utahitajika kutoa mawazo yako mazuri kwa wenzako basi fanya hivyo.....
Sasa wewe unakuwaje na akili ya kuchukia wengine wakifanya ibada zao na maisha yao ya kiimani why ukerekwe.
Huo ni ubinafsi wa ajabu kutokea...... Wewe ukichukiwa na kushambuliwa mbona unahisi kuonewa. Nadhani kinachotokea mataifa mbali mbali kupambana na waislam ni matokeo ya wao kuwa wakorofi na kuchokonoa imani za wenzao.....