Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Shida inaibuka pale ambapo neno "kafr" linatumika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahahaa... mnazipinga hizo fujo za Ugaidi wapi? Mnazipingia msikitini?Sasa Sisi waislamu wengine ambao hatuna mambo hayo au tunapinga hizo fujo mnatuchukulia vipi?
Au mnatuona ni makafiri wenzenu?
tunazungumzia watu kama al shabab na boko haram famba we. mbona unajifanya huelewi?Wajuba msije mkamfanya mtoa mada akaikimbia mada yake[emoji23][emoji23][emoji23]
shida gani hiyo? mimi nilifikiri anayetumia jina la allah kujihalalishia kitu chochote kwa sababu zake zozote ikiwamo kufanya uhalifu kwa kutaja jina la allah huyo haamini huyo. kwa hivo ni kafr.Shida inaibuka pale ambapo neno "kafr" linatumika.
Dini ni imani na sisi tunafuata maandiko yetu na kama unasubiri kila mara Alshabab au ISIS wakijilipua msikitini Ndio tuandamane dunia nzima unasubiri sanaHahahhahahaa... mnazipinga hizo fujo za Ugaidi wapi? Mnazipingia msikitini?
Mbona quran ikichanwa hamuishii kupinga msikitini mnatoka kama mchwa na matamko na maandamano nchi nzima?
Nikikojolea quran leo mtatoka kama nyuki kwa maandamano na matamko nchi nzima.... Ila ubalozi wa marekani ukilipuliwa na Islamic State (ISIS) kwa jina la Allah (huwa wanatumia jina la Allah kufanya huo ushenzi wao) Mtapiga kimyaaaaa kama hamna kilichotokea.
Halafu mnakuja hapa kujikosha kuwa mnachukia Ugaidi.Nyie watu ni wanafiki saia.
Hayo ni mawazo yakonchi wafadhili wakubwa wa ugaidi ni za kiislam
☆ela za mafuta zinawawasha
nchi zenye vikundi vingi vya ugaidi ni za kiislam
nchi zilizoathirika sana na ugaidi ni za kiislam
hiyo imepelekea mataifa makubwa kuona fursa na kuanza kuwatumia magaidi kujinufaisha kiuchumi
anyway mwislaam ndugu yake mwislaam
tumia hata upanga/vita kueneza dini
jihad +72 bikra
wagalatia/kafir/wakristo wanatakiwa waslim kivyovyote vile
BAHATI MBAYA mepewa hela mkanyimwa akili
kwamba sio kweli wafadhili wa ugaidi ni nchi za kiislam?Hayo ni mawazo yako
Hao magaidi hawafiki 0,001% ya waislamu
Je wewe umewahi kuwaona waislamu wangapi?
Wangapi kati yao ni magaidi?
Hizi ni story tu
Wakati wa ukolinoi wazungu walituaminisha watu weusi ni magaidi
Wewe unafikiri Mandela alikua ni gaidi?
Uislamu unaongozwa na maandiko sio makafiri wanaojifanya ni waislamu katika you tubeAcha kudanganya raia sheikh, hata muundo wa hivyo vikundi hao maamir na viongozi wote wanafuata Quaran inaavyoelekeza lengo ni kuunda dola la kiislamu dunia nzima. Mpaka elimu dunia na majini yanatumika humo na kuswali swala 5 huku wakilazimisha wote wasilimu na waswali sala 5. Leo jamaa yangu unakuja kukanusha ilhali ushahidi umejaa you tube na kwingine oganaizesheni ya hivyo vikundi ilivyo. Uje na hoja nzito basi sio maneno bla bla.
Hakuna nchi hata moja ya kiislamu inayo fadhili magaidikwamba sio kweli wafadhili wa ugaidi ni nchi za kiislam?
kwamba sio kweli nchi zilizoathirika na ugaidi sio zenye waislam wengi?
maanake ni hamjielewi ndomana nkasema kwenye vitabu vyenu kuna matobo somewhere
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamuKoran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
Hadith (Maneno ya Muhammad)
Aya: - "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu.
Vol. 6, Book 60, Hadith 80
Abu Huraira aliripoti Mjumbe wa Allaah akisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia mtaroni.
Sahih Muslim 2167
Imesimuliwa Abdullah bin Umar: Mjumbe wa Allah alisema, '(Waislam) mtapigana na Wayahudi hadi baadhi yao watajificha nyuma ya mawe. Mawe (yatawasaliti) yakisema, 'Ewe Abdallah (mtumwa wa Allah)! Kuna Myahudi amejificha nyuma yangu; kwa hivyo muue. ''
Nukuu nyingine: 'Saa haitakuja mpaka utakapopambana na Wayahudi.' ”Vol. 4, Bk. 52, No. 176
Kwa nini hao wanaochafua jina la Uislam kwa kufadhiliwa na makafiri HAMUWAKEMEI?Hakuna nchi hata moja ya kiislamu inayo fadhili magaidi
Kweli waathirika wakubwa wa ugaidi ni waislamu
Kama nilivyo sema tutaongea sana bila kufika muafaka maana hili jambo la ugaidi ni tata sana
Mimi naamini hao wanaotumia Jina la uislamu kuhalalisha ugaidi wanafadhiliwa na makafiri
Sasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Labda nikuuluze swali la mwishoUgaidi ni ugaidi tu. Ugaidi ni kutishia maisha ya wengine na kuyaweka hatarini kwa lengo la kutimiza matakwa yako binafsi.
Hao umewataja ni wahalifu ila katika sura nyingine kabisa. Hao ni wahalifu na ndio maana tuhuma zao unaona zipo tofauti na za Osama au wale magaidi wengine ambao uhalifu wao una mlengo wa kiimani.
Ni upuuzi kutaka kulazimisha mtu aamini kile unachokiamini hadi inafikia hatua unaua au unatishia maisha ya watu kwa silaha kali za kivita, halafu ukiulizwa unataka nini unasema eti nimeagizwa na muumba wangu kuwaletea ujumbe kuwa mfuate maagizo yake, wewe utakuwa ni mpumbavu wa akili kabisa.
Ugaidi unaofanywa na makundi ya kiislam ni wa kitoto sana na ndio unaosababisha dunia nzima kuwachukulia the same maana kuna elements za ukorofi ndani yake.
Wewe msikiti wako huo hapo, unasali unarudi nyumbani kwako, unaendelea na maisha yako vizuri na majirani zako. Pale ambapo utahitajika kutoa mawazo yako mazuri kwa wenzako basi fanya hivyo.....
Sasa wewe unakuwaje na akili ya kuchukia wengine wakifanya ibada zao na maisha yao ya kiimani why ukerekwe.
Huo ni ubinafsi wa ajabu kutokea...... Wewe ukichukiwa na kushambuliwa mbona unahisi kuonewa. Nadhani kinachotokea mataifa mbali mbali kupambana na waislam ni matokeo ya wao kuwa wakorofi na kuchokonoa imani za wenzao.....
Hatukulazimishi uamini ila kama tupo vitani tunapigana na makafiri aidha mpaka mfe au muaminiSasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?
Mimi simuamini huyo Allah wenu, so mnatakiwa mnipige(kwa mujibu wa quran) si ndio?
Yaani dini inanilazimisha niiamini.
Sasa hii ndiyo munaita dini ya haki sijui dini ya amani?
This is Bible talking about killing unbeliever sSasa kuwapiga wasiomuamini huyo Allah wenu si ndio Ugaidi wenyewe au?
Mimi simuamini huyo Allah wenu, so mnatakiwa mnipige(kwa mujibu wa quran) si ndio?
Yaani dini inanilazimisha niiamini.
Sasa hii ndiyo munaita dini ya haki sijui dini ya amani?
Anzisha mada ya bible versions zinazozungumzia kuua kwa upana tutakuja kichangia... Mimi binafsi nitakuja.Hatukulazimishi uamini ila kama tupo vitani tunapigana na makafiri aidha mpaka mfe au muamini
Mbona hata kwenye Bible kuna maandiko mengi kuhusu kutumia upanga?
Au mistari hio hamuioni?
Usi edit maandiko hakuna sehemu imesema mkiwa vitani, rudi kasome tena na usirudia tena kudanganyaMimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane