Uislam unatishaje nchi za magharibi?
Kwa tekinolojia?pesa?wingi wa watu?
Miimili mikubwa ya uislam ni Saudia Suni,na Iran shia!
Sasa Saudia ni mshiriki wa USA,na Israel,na hawezi kuishi bila msaada wa USA na UK,Iran hafurukuti,kabsnwa na vikwazo mpaka uchumi unayumba,Wazungu hawawatwangi waarsbu na waislam kwa sababu wanamtisha,anawatwanga Ili aweze kuiba rasilimali yao ya mafuta,
Uislam hauna chochote unachoweza kutumia kuitisha Dunia,zaidi ya ugaidi,ambao upo hata America ya kusini ugaidi wa drug cartel,
Sent from my TECNO CD6 using
JamiiForums mobile app