Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Tatizo wanatumia uislamu kufanya hayo, hapo ndio tatizo lilipo. Tena wanaenda mbali na kunukuu ata katima Quran.
Shida ilipo hatujawahi kuona waislamu wakiandamana kupinga hayo makundi kufanya mauaji kwa mgongo wa uislamu. Ila tuliona waislamu wakiandamana sababu wamesikia Kuna mtoto kakojolea quran
Sijui tuandanane vipi muone
 
Attachments

  • IMG_20210219_144831.jpg
    IMG_20210219_144831.jpg
    165.2 KB · Views: 3
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Embu soma tena niambie neno vita umelitoa wapi,

Koran
5;51.
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4.
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
 
Anzisha mada ya bible versions zinazozungumzia kuua kwa upana tutakuja kichangia... Mimi binafsi nitakuja.

Hapa tubaki kwenye mada husika ya Uislam na Ugaidi. Halafu UJIBU SWALI NILILOKUULIZA
This is Bible
 
Attachments

  • IMG_20210219_142624.jpg
    IMG_20210219_142624.jpg
    163.5 KB · Views: 4
Embu soma tena niambie neno vita umelitoa wapi,

Koran
5;51.
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4.
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
Hii ni Bible au Qur'aan
Hizo Aya za quran zinasema piganeni
Sasa kupigana Ndio vita lakini Bible inasema wauawe watu
 
Attachments

  • IMG_20210219_142624.jpg
    IMG_20210219_142624.jpg
    163.5 KB · Views: 3
Kwani ugaidi upo au haupo? Kama upo, wanaoufanya ni akina nani na kwa nini?

Wale boko Haram na Al Shabab ni magaidi au wahuni tu?
Ugaidi upo na Boko haram na Alshabab ni magaidi lakini kwa sababu wao ni waislamu haina maana wanapata Baraka za waislamu wote Bali ni wahuni kama wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu pia ni magaidi lakini sio wa kikiristo Bali ni wahuni
 
Hii ni Bible au Qur'aan
Hizo Aya za quran zinasema piganeni
Sasa kupigana Ndio vita lakini Bible inasema wauawe watu
Unatoka nje ya mada
nionesha vita hapa
47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.

Yani unamkuta mtu sio dini yako unaambiwa mpige shingoni na mfunge pingu wewe unasema ni vita
Ukimaliza mfungo unaambia ukawaue washirikina popote unapowakuta wewe unasema ni vita acha uongo mara moja
 
Ugaidi upo na Boko haram na Alshabab ni magaidi lakini kwa sababu wao ni waislamu haina maana wanapata Baraka za waislamu wote Bali ni wahuni kama wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu pia ni magaidi lakini sio wa kikiristo Bali ni wahuni
Hahaha...Sasa kama hawapati baraka za waislam MBONA HAMUWAKEMEI HADHARANI hao wanaotumia jina tukufu la uislam?

Dah.. hili swali limekuwa gumu sana kwako.
 
Uislam unatishaje nchi za magharibi?
Kwa tekinolojia?pesa?wingi wa watu?
Miimili mikubwa ya uislam ni Saudia Suni,na Iran shia!
Sasa Saudia ni mshiriki wa USA,na Israel,na hawezi kuishi bila msaada wa USA na UK,Iran hafurukuti,kabsnwa na vikwazo mpaka uchumi unayumba,Wazungu hawawatwangi waarsbu na waislam kwa sababu wanamtisha,anawatwanga Ili aweze kuiba rasilimali yao ya mafuta,
Uislam hauna chochote unachoweza kutumia kuitisha Dunia,zaidi ya ugaidi,ambao upo hata America ya kusini ugaidi wa drug cartel,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Well said

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni muislamu na huo Ndio uislamu
Hakuna sehemu andiko lolote linasema kuweni magaidi
Hayo maandiko mengi yanazungumzia vita
Of course tukiwa tupo kwenye vita na makafiri lazima tupigane
Ni wazi umeshakiri kushika ,kuua, kuvizia, kuteka watu wasio waislamu ndio uislamu
nafikiri mada umeshaifunga kwa kuthibitisha hilo na kwamba magaidi wanafuata maandiko vizuri tu bila shida

Ila nina swali fikirishi kwa nini allah anawaambia mpaka ndugu zenu msiwafanye vipenzi vyenu kama sio dini moja? huyu allah anshida gani?
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
 
Hakuna nchi hata moja ya kiislamu inayo fadhili magaidi
Kweli waathirika wakubwa wa ugaidi ni waislamu
Kama nilivyo sema tutaongea sana bila kufika muafaka maana hili jambo la ugaidi ni tata sana
Mimi naamini hao wanaotumia Jina la uislamu kuhalalisha ugaidi wanafadhiliwa na makafiri
Saudi Arabia
iran
Qatar
Sudan
Libya ya gadafi
wapo wengi ila hawa ni wafadhili wakubwa wa ugaidi kupitia dini!!!

sio waislam wote ni magaidi ila magaidi wote ni waislam
 
Hizo nchi Ndio viongozi wake wanalaaniwa na magaidi kwa sababu ni marafiki wa marekani
Kama wangekua wanasapoti magaidi kwa nini wanalindwa na marekani?
Vipi wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu vyombo vyote vya Habari vikasema ni magaidi je walikua ni waislamu?
Vipi makundi ya kigaidi na magenge yao huko Amerika kusini ni waislamu
Vipi yule gaidi alieingia msikitini kule new Zealand na kuua mama ya waislamu kashtakiwa kosa la ugaidi je ni muislamu?
Magaidi ni wahalifu na hawana nafasi katika uislamu
 
Ni wazi umeshakiri kushika ,kuua, kuvizia, kuteka watu wasio waislamu ndio uislamu
nafikiri mada umeshaifunga kwa kuthibitisha hilo na kwamba magaidi wanafuata maandiko vizuri tu bila shida

Ila nina swali fikirishi kwa nini allah anawaambia mpaka ndugu zenu msiwafanye vipenzi vyenu kama sio dini moja? huyu allah anshida gani?
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
Haturuhusiwi kufanya kua mpenzi wetu yeyote anae fanya mustahabu na makafiri hata akiwa ni ndugu maana makafiri ni Maadui wa waislamu
Mbona hutaki kuongea hayamaandiko ya biblia?
Au lugha?
 
Attachments

  • IMG_20210219_142624.jpg
    IMG_20210219_142624.jpg
    163.5 KB · Views: 3
Hahaha...Sasa kama hawapati baraka za waislam MBONA HAMUWAKEMEI HADHARANI hao wanaotumia jina tukufu la uislam?

Dah.. hili swali limekuwa gumu sana kwako.
Kweli hili swala ni gumu kwangu
Mimi nipo hapa sio tu nakemea Bali pia napinga kwa hoja zote lakini bado unanilazimisha kua mimi naunga mkono ugaidi
Sijui nifanyaje Ndio ujue mimi nalaani ugaidi
I am out of idea
 
JIKITE KWENYE MADA.

Usitafute kichaka mzee. Hebu anzisha uzi wake tuje tuchangie.

Rudi kwenye mada yetu hapa na ujibu swali langu ambalo mpaka sasa unaendelea kulikimbia.
Sijui tufanye nini?? kama maandamano dunia nzima yanafanywa na waislamu kupinga ugaidi lakini bado huridhiki hakuna kitakacho kuridhisha wewe!!!
Hizo ni picha za waislamu nchi nyingi kupinga ugaidi lakini huridhiki sasa Sina kingine cha kusema
 
Attachments

  • IMG_20210219_144831.jpg
    IMG_20210219_144831.jpg
    165.2 KB · Views: 3
Nadhani kinachotokea mataifa mbali mbali kupambana na waislam ni matokeo ya wao kuwa wakorofi na kuchokonoa imani za wenzao....
Hii naunga mkono. Ni vigumu sana wa kristo kujenga makanisa na kufanya ibada kwenye mataifa yaliyobobea kwa uislam. Mfano mzuri ni kuchomwa mara kwa kwa makanisa huko Misri.

Ila ni rahisi kwa wahamiaji wa kiislam kujenga misikiti na kuruhusiwa kufanya imani zao kwenye mataifa yaliyobobea kwa u kristo.

Hapa conclusion ni kwamba upande mmoja upo tolerant mwingine haupo tolerant kwa imani za wengine. Hili ni tatizo kubwa na hiyo intolerance inazaa chuki, ugaidi, nk
 
Unatoka nje ya mada
nionesha vita hapa
47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.

Yani unamkuta mtu sio dini yako unaambiwa mpige shingoni na mfunge pingu wewe unasema ni vita
Ukimaliza mfungo unaambia ukawaue washirikina popote unapowakuta wewe unasema ni vita acha uongo mara moja
Tafadhali Anza kusoma hio sura ya 47 Aya ya 1 mpaka ya 7 utajua ni makafiri gani wanaongelewa lakini Bible inasema watu ambao hawamuamini Yesu waletwe na wachinjwe
 
Hizo nchi Ndio viongozi wake wanalaaniwa na magaidi kwa sababu ni marafiki wa marekani
Kama wangekua wanasapoti magaidi kwa nini wanalindwa na marekani?
Vipi wale wafuasi wa Trump waliovamia capital na kuua watu vyombo vyote vya Habari vikasema ni magaidi je walikua ni waislamu?
Vipi makundi ya kigaidi na magenge yao huko Amerika kusini ni waislamu
Vipi yule gaidi alieingia msikitini kule new Zealand na kuua mama ya waislamu kashtakiwa kosa la ugaidi je ni muislamu?
Magaidi ni wahalifu na hawana nafasi katika uislamu
em nambie ni nchi gani kati ya hizo zinamagaidi?

usichanganye mambo hapa *vitisho vya usalama sio lazima ugaidi tuu (jiongeze why wanamtegemea us!
south n central America hakuna ugaidi ila kuna magenge ya kihalifu
uyo mzungu alowauwa mskitini ni mlemavu wa akili alie changiwa na chuki zake binafs dhidi ya uislam

YES ugaidi hauna nafasi uislamuni lkn dini na vitabu vyenu vimetoa options njia nzuri na njia mbaya so akna al baghdadi wakiamua kutumia njia mbaya hakuna wa kuwak3mea
kwasaabu nyie MNASEMAGA MWISLAAM NDUGU YAKE MWISLAAM
 
Sasa Hivi najibu hoja zako kwa mara ya mwisho
Katika picha utaona nchi kama
Pakistan
Bangladesh
Ambazo ni Islamic majority
Nchi za kifalme za kiarabu katiba inapinga maandamano ya kupinga au kusapoti chochote
Nchi nyingi wanalindwa na USA kwa sababu majeshi yao ni madogo hayawizi kukabiliana
South and Central hakuna magaidi kwa sababu ni wakristo
Na maana ya ugaidi ni makundi ya kiislamu yanayo tafuta haki zao kwa kutumia fuji (violence )
Mzungu alioua watu msikitini alikua anachuki binafsi kwa waislam huo sio ugaidi ni ugonjwa wa akili
Kitaalamu kama mtu anayo chuki au mpenzi bila sababu ya muhimu ni ugonjwa wa psychology nimesahau Jina lake
Kwa hio Alshabab kwa kua wana chuki binafsi pia ni wagonjwa
Mwisho ni kweli Muislam ndugu yake muislamu na hilo halimaanishi chochote atakacho fanya ndugu yako ukubaliane nacho hata kama ni cha hovyo

Amani iwe kwa yule anaefuata uongofu
 
Tafadhali Anza kusoma hio sura ya 47 Aya ya 1 mpaka ya 7 utajua ni makafiri gani wanaongelewa lakini Bible inasema watu ambao hawamuamini Yesu waletwe na wachinjwe
Usitoke nje ya mada , Kama una mada ya biblia anzishe nije nikusambaratishe

Sijanukuu aya ya 47 tu na nani kawaambia koran ni mtiririko wa habari , koran kila mstari MMOJA au miliwi inatoka habari tofauti.

Aya maandiko ndio maagizo ya Allah kwenu muwaue wasio dini yenu popote mnapo wakuta na Muhammad alilisitiza aya ukimjuta njiani na huna silaaa ya kumuua msukumize mtaroni
 
Back
Top Bottom