Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Kama hayo Ndio maagizo ya dini yetu mbona tunaishi na wasiokua waislamu na hatufanyi hivyo?Usitoke nje ya mada , Kama una mada ya biblia anzishe nije nikusambaratishe
Sijanukuu aya ya 47 tu na nani kawaambia koran ni mtiririko wa habari , koran kila mstari MMOJA au miliwi inatoka habari tofauti.
Aya maandiko ndio maagizo ya Allah kwenu muwaue wasio dini yenu popote mnapo wakuta na Muhammad alilisitiza aya ukimjuta njiani na huna silaaa ya kumuua msukumize mtaroni
Tangu umezaliwa umewona waislamu wangapi?
Mara ngapi umewaona wakiwasukumiza kwenye shimo?
Kuna vitu vingine havihitaji uwe na PhD kuelewa
Kama nilivyo sema awali, dini ni imani wewe endelea kuamini waislamu wanaamini vile wakati Sisi imani yetu ipo tofauti
Baba yangu anaitwa mussa wee ukilazimisha anaitwa Issa mimi takua nakupotezea tu muda maana mimi namjua baba yangu kuliko wewe