mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
kuna series moja ya FAUDA nashauri wenye maswali kuhusu vikundi vya ugaidi vya kiislamu mkaiangalia, kwa kiasi flani imejibu maswali yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wanatumia uislamu kufanya hayo, hapo ndio tatizo lilipo. Tena wanaenda mbali na kunukuu ata katima Quran.Haya makundi yanateka watoto,yanaua watu wasio na hatia hakuna jihad pale mkuu ni watu wanaleta vurugu ktk jamii vitendo vyao vipo mbali na uislamu
Ndugu labda kama hufahamu ni kuwa wazungu wanajua kabisa kama uislamu ndio dini ya kweli.Na hilo halina ubishi kwao sasa wanachofanya ni kutumia njia zote ili isiendelee kukua KWA kasi na watu wakajitambua ndio maana unaona hila zote hizo mara ugaidi kila sehemu ukifuatilia KWA umakin hayo makundi ya kigaidi Wana yatengeneza wao KWA miamvuli ya kanzu na kofia .ukiona mtu kavaa kanzu kilemba kafuga ndevu anaua watu alafu anasema Allahu akbar unapeleka fikra zako kuwa ni waislamu hao ni magaidi kumbe hata mkiristo anaweza kusema Allahu akbar na akafanya tukio....kiufupi hizo njia ni KWA ajili ya kuikandamiza ili watu ambao Wana mpango wa kuwa waislamu waone kumbe dini yenyewe hii ya ugaidi haifai hata kusogea.Ccm,inawaogopa Chadema,maana ikiwapa nafasi,watatangaza maovu yote ya ccm,na kuwaamusha wananchi,Rejea serikali ya Kikwete ilipojiuzuru,baada ya Waziri mkuu Lowasa kubanwa,hicho ndio ccm wanaogopa kwa Chadema,Chadema inaamusha wananchi,wakiamka,ccm hana chake,ndio maana walizima mtandao maovu yao yasijurikane nje,
Sasa islam,mna nini Cha kuitisha Dunia?China wanacho,ndio maana USA Inapiga vita makampuni ya china kufanya kazi USA,
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Mmmh waislam mna nini lakini?yaani ulichoandika kinanifikirisha kwamba ibilisi yupo!Siku hizi ugaidi umekuwa cheap Sana unabambikiziwa kesi tu kuwa ni gaidi alafu huna pakujitetea mana ni mfumo mzima unakuzunguka.nilisikia kule mkoa wa tanga waislamu wanalalamika kuna masheikh wao wamepewa kesi ya ugaidi wakati hata visu hawajawai kumiliki kisa cha kuambiwa wao ni magaidi na kusotea jela hadi wakati huu naandika hapa ni kwamba walikuwa wanachangisha hela KWA ajili ya kuja kujenga hospital ya kiislamu BAsi hilo ndio kosa lao kubwa hadi leo Wananyea debe maweni tanga huu ni ukwei mtupu.Neno ugaidi ni hila za wazungu katika kuwavunja nguvu waislamu huo ndio ukweli ndugu zangu na polisi wote wanaotumwa kukamata kamata masheikh wanajua hizi hila na madhila wanayo fanyiwa waislamu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Umewai kusikia maaskofu na wachungaji popote pale wakikemea Wanajeshi wa marekani wanao fanya mauaji ya waislamu wake KWA waume kule pakistan iraq na iran.?????Good. Umekiri kuwa hao ni magaidi. Sasa nitakuuliza swali.
Umewahi kuona masheikh na viongozi wa kiislam popote pale wakikemea Ugaidi unaofanywa na Alshabab, Boko haram na ISIS?
Mathalan hapa Tanzania, ni waislam gani wamewahi kukemea hayo makundi in public?
Yaani kuchangisha ujenzi wa msikiti/hospital watu wafungwe tena Tanga?danganya hata kwa akili kidogo basi!Siku hizi ugaidi umekuwa cheap Sana unabambikiziwa kesi tu kuwa ni gaidi alafu huna pakujitetea mana ni mfumo mzima unakuzunguka.nilisikia kule mkoa wa tanga waislamu wanalalamika kuna masheikh wao wamepewa kesi ya ugaidi wakati hata visu hawajawai kumiliki kisa cha kuambiwa wao ni magaidi na kusotea jela hadi wakati huu naandika hapa ni kwamba walikuwa wanachangisha hela KWA ajili ya kuja kujenga hospital ya kiislamu BAsi hilo ndio kosa lao kubwa hadi leo Wananyea debe maweni tanga huu ni ukwei mtupu.Neno ugaidi ni hila za wazungu katika kuwavunja nguvu waislamu huo ndio ukweli ndugu zangu na polisi wote wanaotumwa kukamata kamata masheikh wanajua hizi hila na madhila wanayo fanyiwa waislamu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Ushawahi kuona akina Hitler wakisifiwa kwa mauaji yao,tatizo lenu ni kutumia kitabu chenu ili kuhalalisha madhambiHitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Acha unafiki dini ya ukweli kivipi sasa dini ya kweli huwa inahubiri upendo sio chukiNdugu labda kama hufahamu ni kuwa wazungu wanajua kabisa kama uislamu ndio dini ya kweli.Na hilo halina ubishi kwao sasa wanachofanya ni kutumia njia zote ili isiendelee kukua KWA kasi na watu wakajitambua ndio maana unaona hila zote hizo mara ugaidi kila sehemu ukifuatilia KWA umakin hayo makundi ya kigaidi Wana yatengeneza wao KWA miamvuli ya kanzu na kofia .ukiona mtu kavaa kanzu kilemba kafuga ndevu anaua watu alafu anasema Allahu akbar unapeleka fikra zako kuwa ni waislamu hao ni magaidi kumbe hata mkiristo anaweza kusema Allahu akbar na akafanya tukio....kiufupi hizo njia ni KWA ajili ya kuikandamiza ili watu ambao Wana mpango wa kuwa waislamu waone kumbe dini yenyewe hii ya ugaidi haifai hata kusogea.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Hao wanajeshi wanaua kwa kututumia biblia au jina la yesu?Umewai kusikia maaskofu na wachungaji popote pale wakikemea Wanajeshi wa marekani wanao fanya mauaji ya waislamu wake KWA waume kule pakistan iraq na iran.?????
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Vitu viwili tofauti mbinu tofauti za ueleweshaji.Ndio,mchukue maspika na gari mzungumze dunia nzima kama mnavyofanya kitabu chenu au mtume wenu anapokejeliwa.
Kati ya demokrasia na uislamu dini ipi inahubiri chuki?Acha unafiki dini ya ukweli kivipi sasa dini ya kweli huwa inahubiri upendo sio chuki
Ukiwa unaelewa hivi hivi tutaelewana, Ila ukiwa unakomaa kama vile ukikubali umeelewa hutalipwa itakuwa tabu wengine kuelewaIla haziko mbali sana
KAKAE TENA UFIKIRIE VIZURI NDIO UJE NA HOJATangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Utawasikia ua makafiri hao!!! Bila kujua wengineo mle walikuwemo Waislamu na wote hawana hatia. Wanafinyangwa akili (brain washed) tangu madrasa misikitini na wanakuwa makatili na wenye roho mbaya wakijidai ni watu wema. Wenye mamlaka wakichukua hatua kulinda usalama kwa kufuata sheria wanakuja kusema wanaonewa.Niliona comments za watu shambulio la hoteli ya Dusit lilipofanyika huko Kenya, yaani huwezi amini
Acha kudanganya raia sheikh, hata muundo wa hivyo vikundi hao maamir na viongozi wote wanafuata Quaran inaavyoelekeza lengo ni kuunda dola la kiislamu dunia nzima. Mpaka elimu dunia na majini yanatumika humo na kuswali swala 5 huku wakilazimisha wote wasilimu na waswali sala 5. Leo jamaa yangu unakuja kukanusha ilhali ushahidi umejaa you tube na kwingine oganaizesheni ya hivyo vikundi ilivyo. Uje na hoja nzito basi sio maneno bla bla.Unamaana gani kwa kutumia uislamu?
Au ukisikia Allah Akbar unajua Ndio uislamu?
Ndugu kila mtu anaweza kufanya au kusema alitakalo
Kujua uislamu sio kusikia kwenye Redio
Unatakiwa kumuuliza muislamu je uislamu unasemaje kuhusu ugaidi?
Pia Alshabab. Boko haram. ISIS nk hawafiki hata 0,001% ya waislamu lakini wenzetu mnachukulia kundi dogo na kusema Ndio waislamu na sisi ambao sio magaidi mnatuona kama ni makafiri wenzenu
Sasa wanajeshi wa marekani wanahusiana vipi na ukristo?Umewai kusikia maaskofu na wachungaji popote pale wakikemea Wanajeshi wa marekani wanao fanya mauaji ya waislamu wake KWA waume kule pakistan iraq na iran.?????
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mkuu unaweza kutuelezea nini kilichokuwa kinaendelea kule kibiti hapa Tanzania yetu?!Namaanisha wanatumia vita dhidi ya ugaidi wakimaanisha vita dhidi ya uislamu. Wanaona aibu tu kusema moja kwa moja kuwa ni vita dhidi ya uislamu. Kwahiyo wamejificha ktk msamiati wa ugaidi
Tena kwa pale Nigeria bokoharam wanasaidiwa sana na yule raisi wa Nigeria, mnafiki sana yule mzee MUNGU amlaani mbwa yule.Mnajua hizi stori zenu mnazodanganywa redio Imani,na kwenye magazeti ya kisiwa,risala na alnuur parsaday mnajionyesha jinsi gani mlivyo na utumwa wa kifikra sasa uislamu upigwe vita kwa ajili gani? Je unateknolojia,una uchumi au rasilimali zozote au kama madini au mafuta mbona waislamu huwa mnalalamika sana mnaonewa akati kuna dini nyingi kama ukristo,uyahudi,uhindu,budha,hawalalamiki na ukiangalia magaidi wa kiislamu kama bookharamu,alshababu,hammas,hezbollah,islamic jihadi ndio wenye fujo duniani wanafanya ugaidi kwa jina la uislamu mnatakiwa mpige vita hawa magaidi wasitumie jina la dini ya kislamu kwenye kufanya ugaidi