Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Media wanayo haki ya kutangaza au kutokutangaza taarifa zetu
Bottom line is you must know what Islam teach or say about terrorism
Kuna waislamu wezi. Walevi. Wala nguruwe n, k
Hatuwezi kuwaandika na kalamu moja eti kwa sababu anaitwa Jina la kiislamu....

Hao magaidi ni waovu kama waovu wengine
Pia jua kuna makundi mengi ya kigaidi kule America ya kusini yanajishughulisha na Madawa ya kulevya lakini media hawasemi kua ni magaidi wa ki kristo ilihali wote ni wakatoliki
Umesema "Magaidi wa kikristo"!!
Hakuna kitu kinaitwa magaidi wa kikristo. It doesn't even sound

Umewahi kuwasikia hao unaowaita magaidi wa kikristo wakiua kwa jina la Yesu? Umewahi???

Hao tunaowaita Islamic Terrorists sio kwa sababu wanatokea nchi za kiislam au kwa sababu ni waislam, Ila ninkwa sababu WANAUA KWA JINA LA ALLAH, ambaye ni Mungu wenu... na wanatumia vifungu vya quran kuhalalisha hicho wanachokifanya.
 
Jaribu kuelewa. Huyo aliyesema TUSEME HUO WA IRAQ TUMEUKUBALI hakutoa definitive answer. Alikupa lile jibu ili ueleze waliolipua ubalozi wa wamarekani kama mama zao waliuwawa. Inshu ya Iraq majibu yake yapo na hayafanani na nia ya kupora resources
majibu yake ni yapi? Mwenzio ameshakubali ni uporaji wa mafuta
 
Umesema "Magaidi wa kikristo"!!
Hakuna kitu kinaitwa magaidi wa kikristo. It doesn't even sound

Umewahi kuwasikia hao unaowaita magaidi wa kikristo wakiua kwa jina la Yesu? Umewahi???

Hao tunaowaita Islamic Terrorists sio kwa sababu wanatokea nchi za kiislam au kwa sababu ni waislam, Ila ninkwa sababu WANAUA KWA JINA LA ALLAH, ambaye ni Mungu wenu... na wanatumia vifungu vya quran kuhalalisha hicho wanachokifanya.
Kuna anti baraka kule CAR hawaitwi magaidi kwa vile ni wakristo na hii inatilia mkazo hoja kuwa magaidi kwa mujibu wa walioanzisha Vita hii ni Waislamu pekee. Hivyo kidhati ni Vita dhidi ya uislamu
 
Hao Antibalaka WANAUA KWA JINA LA YESU?

Wanatumia BIBLIA na maandiko ya Biblia kuhalalisha Mauaji yao?
 
Leta uthibitisho kuwa WANAUA KWA JINA LA YESU na kwamba wanatumia BIBLIA KUHALALISHA Mauaji Yao.

Kwa nini nifuatilie wakati wewe uliyeleta madai upo hapa? Maadam wewe tayari unajua...basi WEKA HUO UTHIBITISHO HAPA JUKWAANI.
Wewe umeleta uthibitisho kuwa hao uliowataja wanatumia kitabu cha Allah kuua badala ya bunduki au visu, nk au ulifuata mkumbo tu.

Usipende mterezo, bichwa lako Lina kazi gani sasa Kama Kila kitu unataka utafutiwe!?
 
Hahaha... mzee wa kukimbia maswali.

Uthibitisho wa mauaji yanayotanguliwa na maneno "Allah akbar" ni mwingi mpaka sijui nipandishe upi upi niuache.

Lakini kabla sijaendelea. Unaweza kwenda kujibu swali langu kule juu ambalo Umelikimbia?
 
Wewe si umesema wanaua kwa jina la Yesu?

WEKA HUO UTHIBITISHO HAPA,acha blah blah
 
Umesema "Magaidi wa kikristo"!!
Hakuna kitu kinaitwa magaidi wa kikristo. It doesn't even sound

Umewahi kuwasikia hao unaowaita magaidi wa kikristo wakiua kwa jina la Yesu? Umewahi???

Hao tunaowaita Islamic Terrorists sio kwa sababu wanatokea nchi za kiislam au kwa sababu ni waislam, Ila ninkwa sababu WANAUA KWA JINA LA ALLAH, ambaye ni Mungu wenu... na wanatumia vifungu vya quran kuhalalisha hicho wanachokifanya.
Christian terrorists does not exist cos media hawatumii
Media haijawahi kusema white terrorists lakini ilikua inasema black South African terrorists
Anyways kila mtu anamaono yake....

Mimi ni muislamu na nimesoma dini yangu na hakuna sehemu tunafundushwa ugaidi

Kwa kua main stream media muislamu au mtu wenye Jina la kiislamu akifanya maovu anachukuliwa ni gaidi lakini none Muslim akifanya samething anakua muhalifu wa kawaida
Hivi majuzi kule Marekani ilitokea kitu inaitwa Capital riot na watu kadhaa wakauawa kikatili wengine kujeruhiwa
Fikiria hilo tendo lingefanywa na watu weusi Achilia waislam. Bado ingeitwa riot au terrorism?
Hope your matured enough to understand media languages
Unajua baada ya uchaguzi mbowe alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi?

Je unajua so called Islamic terrorism imeanza lini?

Angalia ndani sio unadandia njiani
 
Hahaha... mzee wa kukimbia maswali.

Uthibitisho wa mauaji yanayotanguliwa na maneno "Allah akbar" ni mwingi mpaka sijui nipandishe upi upi niuache.

Lakini kabla sijaendelea. Unaweza kwenda kujibu swali langu kule juu ambalo Umelikimbia?
Kusema Allah Akbar wakati unaua watu wasio na hatia haihalalishi mauaji

Kuna watu wanakunywa Pombe kwa kusema bismillah je pia hio inahalalisha Pombe?
Ukitaka kujua uislamu soma uone kama kuna hata sehemu moja inaruhusu ugaidi
Kama ipo endelea na tuhuma kama hakuna ujue hao ni wapuuzi na ni Maadui wa Uislamu
 
Christian terrorists does not exist cos media hawatumii
Media haijawahi kusema white terrorists lakini ilikua inasema black South African terrorists
Anyways kila mtu anamaono yake....

Mimi ni muislamu na nimesoma dini yangu na hakuna sehemu tunafundushwa ugaidi

Kwa kua main stream media muislamu au mtu wenye Jina la kiislamu akifanya maovu anachukuliwa ni gaidi lakini none Muslim akifanya samething anakua muhalifu wa kawaida
Hivi majuzi kule Marekani ilitokea kitu inaitwa Capital riot na watu kadhaa wakauawa kikatili wengine kujeruhiwa
Fikiria hilo tendo lingefanywa na watu weusi Achilia waislam. Bado ingeitwa riot au terrorism?
Hope your matured enough to understand media languages
Unajua baada ya uchaguzi mbowe alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi?

Je unajua so called Islamic terrorism imeanza lini?

Angalia ndani sio unadandia njiani
Hujajibu nilichokuuliza.
Ninakuuliza tena, Hao unaowataja,Je UMEWAHI KUWASIKIA WAKIUA KWA JINA LA YESU?

Umewahi kuwasikia wakitumia Maandiko ya Biblia kusapoti mauaji yao?

HILO NDIO SWALI LANGU NA NINAHITAJI ULIJIBU KAMA NILIVYOULIZA.
 
Wewe umeleta uthibitisho kuwa hao uliowataja wanatumia kitabu cha Allah kuua badala ya bunduki au visu, nk au ulifuata mkumbo tu.

Usipende mterezo, bichwa lako Lina kazi gani sasa Kama Kila kitu unataka utafutiwe!?
We bwana mjibu swali kama alivyo uliza apo Juu mbona viongozi wa kiislam awajawai kujitokeza kukemea.uarifu unao.fanywa na is.boko haram.na al shabab.ila mtu akichana Qur'an mnajitokeza utazani.mliwekwa sehemu 1 yani.
 
Kusema Allah Akbar wakati unaua watu wasio na hatia haihalalishi mauaji

Kuna watu wanakunywa Pombe kwa kusema bismillah je pia hio inahalalisha Pombe?
Ukitaka kujua uislamu soma uone kama kuna hata sehemu moja inaruhusu ugaidi
Kama ipo endelea na tuhuma kama hakuna ujue hao ni wapuuzi na ni Maadui wa Uislamu
Kule juu nimeuliza swali ambalo wewe na wenzako wote mnalikimbia.

NALIRUDIA HAPA

Umesema hakuna sehemu uislam umeruhusu ugaidi. Sasa Nitajie kiongozi mmoja tu aliyewahi kutoka hadharani akakemea na kulaani UGAIDI wa alshabab, ISIS na Boko haram.

Quran ikikojolewa huwa wanatoka na matamko makali HADHARANI haraka sana. Sasa Niambie ni kiongozi gani wa kiislam aliwahi kutoka HADHARANI akakemea Mauaji ya kigaidi yanayofanywa kwa jina la Allah.
 
Hayo makundi ya huko amerika ya kusini hawaui kwa kutumia ukristo wao, wao wanauwa kwa interest za biashara yao,. ILA al-shabaab na Boko haram wanauaa kwa kutumia uislamu
Unamaana gani kwa kutumia uislamu?
Au ukisikia Allah Akbar unajua Ndio uislamu?
Ndugu kila mtu anaweza kufanya au kusema alitakalo
Kujua uislamu sio kusikia kwenye Redio
Unatakiwa kumuuliza muislamu je uislamu unasemaje kuhusu ugaidi?
Pia Alshabab. Boko haram. ISIS nk hawafiki hata 0,001% ya waislamu lakini wenzetu mnachukulia kundi dogo na kusema Ndio waislamu na sisi ambao sio magaidi mnatuona kama ni makafiri wenzenu
 
Back
Top Bottom