Hizb Tahrir Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 18, 2020
- 258
- 235
Ugaidi na jihadi ni concept mbili tofauti.Vipi kuhusu vitendo vya kigaidi kujificha kwenye muamvuli wa uislam(jihhad)?
Basi vita ya weupe dhidi ya ugaidi sio vita dhidi ya jihad, ni concept zilizo mbalimbali kama mbingu na ardhi.Ugaidi na jihadi ni concept mbili tofauti.
Sijaona kama kuna sehemu ktk chapisho tumezungumzia jihad kwanini unataka kuiamishia mada huko? Lengo lako ni lipi ndugu? Jadili mada husika.Basi vita ya weupe dhidi ya ugaidi sio vita dhidi ya jihad, ni concept zilizo mbali mbali kama mbingu na ardhi.
Jihad nin nini? TuelimisheUgaidi na jihadi ni concept mbili tofauti.
Mada inahusu vita dhidi ya uislamu kwa jina la vita dhidi ugaidi na si jihadi. Tujifunze kuelewa mada kabla ya kuchangiaJihad nin nini? Tuelimishe
Basi sawa Mkuu, tuseme "Duniani Hakuna Vita dhidi ya Uislam(Unyenyekevu) kuna vita dhidi ya Ugaidi"Sijaona Kama Kuna sehemu ktk chapisho tumezungumzia jihad kwanini unataka kuiamishia mada huko!? Lengo lako ni lipi ndugu? Jadili mada husika
Wewe ndio ulisema ugaidi na jihad ni tofauti, kwa hiyo ni lazima utuambie hizo tofauti ili tuzijue tusijechanganya hizi mada tena. Maana wewe ndiye unajua tofauti zake, la sivyo usilalamike tukijichanganya.Mada inahusu vita dhidi ya uislamu kwa jina la vita dhidi ugaidi na si jihadi. Tujifunze kuelewa mada kabla ya kuchangia
Wao huenda hawaonewi kwa vile dini zao zinakubaliana na ubepari na unyonyajiKuweni na akili mtaheshimika. Miaka yote nyie tunndio mnaonewa, duniani kuna dini ngapi mbona zingine hawalalamiki
Then hebu tuonyeshe tofauti ya vita dhidi ya uislam na vita dhidi ya ugaidi! Yaani upembuzi wako vita dhidi ya ugaidi inafaa kuwa na features zipi?Mada inahusu vita dhidi ya uislamu kwa jina la vita dhidi ugaidi na si jihadi. Tujifunze kuelewa mada kabla ya kuchangia
Unawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?Basi sawa Mkuu, tuseme "Duniani Hakuna Vita dhidi ya Uislam(Unyenyekevu) kuna vita dhidi ya Ugaidi"
Ila niulize tu, kwanini watu wanaojitoa muhanga husema "God is Great"!! Wanatoa wapi hayo mafundisho ya kuwa ukijilipua utapata dhawabu na firdaus inakua kama pua na mdomo?
Mwaka 98 ubalozi wa marekani ulipolipuliwa DSM, mama wa nani alikua Kabakwa pale?Unawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?
Wazee wa complains..Wao huenda hawaonewi kwa vile dini zao zinakubaliana na ubepari na unyonyaj
Na wewe tuelimishe ugaidi ni nini?Jihad nin nini? Tuelimishe