Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Tangu jamaa yetu tuliyecheza nae utotoni achukuliwe na vikundi vya kiislamu akapelekwa kusikojulikana aliporudi akaanza kutuona wote makafiri kuanzia wazazi wake ndio nilipoamini dini ni upumbavu
 
Ingekuwa hivyo tungesikia, hakuna kisichosikika hata mngekanyana wapi serikali ina masikio mapana

Watu mnaowahifadhi hamuwezi kuwakemea
OK amini unavyo amini
Siwewzi kubadilisha imani yako
End of the day Sina faida kwako wala wewe huna faida kwangu that's why I should just say wewe unaimani yako Nami ninayo imani yangu
 
Sio kukemea tu huwa mnawahifadhi magaidi, mnawaficha misikitini wasikamatwe

Kwa namna hiyo utasema mnauchukia ugaidi?
Utasema ugaidi sio uislamu?
Msikiti gani unaujua kuna magaidi wanafichwa?
Mara usema wao wanatufadhili mara unasema Sisi Ndio tunawafadhili
Wewe Unahitaji kwenda hospitali mirembe
 
Wakati wanavosema wana mgambo wa kislamu wanamaanisha dini y kiislamu ni ya kigaidi hapana. Wanamaanisha chimbuko la hao watu ni waislamu kwasababu majina yao na wanahudhuria misikiti na kadhalika. Halafu kingine nyinyi kitendo cha kuruhusu kuua sijui kma mimi nd naelewa vibaya kinapandikiza chuki among people. Yani mtu umuulie ndugu yake kisa katembea na mke wako nani atakubali nd maan wengi wanakuwa na hasira ko hata kama wanapandikizwa na mabeberu haitumiki nguvu kubwa sana. Kingine serikali haiwez kukuacha umuue mtu kisa katembea na mke wako hata iweje.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wanamgambo wa kiislamu ni sawa na wanamgambo waliotumwa na dini ya kiislamu?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Na wa
Kule mara kwa wakurya Ndio kuna kesi nyingi za kuua mgoni
Bahati nzuri wakurya wengi sio waislamu
Suala la kumfumania mtu na mkeo sio ugaidi inategemeana na uvumilivu wa mtu
Oscar pastorias wa Africa kusini alimmiminia risasi mke wake baada ya kugundua anauhusiano na mwanaume mwingine huyo sio muislamu wala sio gaidi
Ugaidi ni kitu kingine na fumanizi ni jambo jingine
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Haswaaa!
Shida yenu nyinyi mambo mnayoendekeza nd yanawaponza sometimez mnapenda mashindano ya jumla kuhusu who is better. Bro hakuna mtu safi zaidi ya anaetenda masafi mbele za Mungu. Yani shida yenu nyny mko kibinadamu sana kuliko kiroho nd maan mnapenda mashindano ya kujumlisha. Mi mkristo ila nimeshuhudia au kusikia wakristo walevi wazinzi wauaji wenye udhalimu wa kila aina na waislamu vivyo hivyo. Ko huwezi ukawa unasema tu mbele za watu eti waislamu ni bora kuliko wakristo. Haya tufanye uislamu dini ya ukweli afu ukristo sio. Swali Je, muislamu mzinzi ni bora kuliko mkristo mcha Mungu? Au humini kuna mkristo msafi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sina cha kusema wewe unachuki na waislamu maana mlifundishwa mkiwa wadogo sana waislamu walitesa babu zenu
Historia ya uongo Ndio unakutesa sio swala la ugaidi
 
Kitu cha ajabu pamoja na propaganda zote kila kukicha wazungu wanasilimu na makanisa mengi kule Ulaya yanakua miskiti
 
Mimi napinga vikundi vyote vinavyoua watu wasio na hatia wawe ni vikundi au mmoja mmoja
Ok. Hata kama hutaki kutaja makundi ya kigaidi kwa majina kuwa unayapinga lakini huu ni mwanzo mzuri.
Sasa ni muhimu Sana kufahamu kwa nini ugaidi unapigwa vita. Ugaidi ni kutenda Matendo ya kivita dhidi ya ambaye hajajiandaa na vita na wala haujui kwamba Kuna vita inayomjia akiwa hana namna ya kujilinda. Hapa yanaingia makundi ya wanaume ambao labda ndio wanaoendesha mambo mengi ya dunia hii. Lakini kwa bahati mbaya Sana waathirika wakubwa ni wanawake na watoto. Hapa ndio ubaya wa ugaidi uliko na kitovu chake.
Tumesema watu wa madawa ya kulevya wa amerika ya kusini nao ni magaidi lakini Hawa Wana afadhali kwa sababu hutegemei kukutana nao kama madawa ya kulevya hayahusiki. Yule kijana wa New Zealand yule ni gaidi ingawa sijui itikadi yake. Lakini ukweli unaokubalika pengi ni kuwa magaidi wengi ni wenye kuutumia uislam na koran. Sasa hapa ndipo penye mada yetu. Tumetoa hoja za kutosha kuwa waislam wanahusishwa na ugaidi kutokana maandishi yaliyomo kwenye msaafu lakini pia waliokuwa wakiuwa watu wameonekana wakinukuu na kusoma mistari iliyomo kwenye kuran.
Zaidi ni mara chache sana waislamu wameoneka kuyapinga matukio ya kigaidi ambamo uislamu umetajwa kama kigezo cha kutekeleza ugaidi huo. Hii huwafanya wengi kudhani Ni rahisi kwa gaidi kutumia uislamu kama kichaka cha kujifichia. Hivyo si kweli kuwa uislam unahusianishwa na ugaidi ili kupora mali na mafuta.
 

Jamaa wanatafuta Huruma kwa watanzania!!!
 
Sina cha kusema wewe unachuki na waislamu maana mlifundishwa mkiwa wadogo sana waislamu walitesa babu zenu
Historia ya uongo Ndio unakutesa sio swala la ugaidi
Hakuna historia inayofundishwa hapa Tanzania inayosema waislam waliua babu zetu.Historian inaonesha waarabu ndio walihusika kwenye biashara ya utumwa kitu ambacho ni kweli na kina historical evidence. Sasa nikuulize waislam ni sawa na waarabu!? Si ni nyinyi mnapinga kila siku kuwa kuwa muarabu haimaanishi kuwa muislam!? Typical muslim yaan hauna facts unageukageuka muda wote kutetea dini bila kutumia akili
 
Hata kama kila mtu ana dini yake lakini yenu ya ajabu sana

Niliogopa sana kwa kile kilichotokea Mtwara
 
Kama wanafadhiliwa na makafiri mbona hamlaani?
 
Kama wanafadhiliwa na makafiri mbona hamlaani?
Embu elezea aya maneno ya chuki yanatoka kwenye kinywa Cha Allah na Muhammad

Koran
5;51.
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
47;4.
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
9;29. Piganeni na wasio muamini Allah wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Allah na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.

Hadith (Maneno ya Muhammad)
Aya: - "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu.

Vol. 6, Book 60, Hadith 80
Abu Huraira aliripoti Mjumbe wa Allaah akisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia mtaroni.

Sahih Muslim 2167
Imesimuliwa Abdullah bin Umar: Mjumbe wa Allah alisema, '(Waislam) mtapigana na Wayahudi hadi baadhi yao watajificha nyuma ya mawe. Mawe (yatawasaliti) yakisema, 'Ewe Abdallah (mtumwa wa Allah)! Kuna Myahudi amejificha nyuma yangu; kwa hivyo muue. ''

Nukuu nyingine: 'Saa haitakuja mpaka utakapopambana na Wayahudi.' ”Vol. 4, Bk. 52, No. 176
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…