Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Mimi nimeenda Maka na madina mara kadhaa sijaona ibada ya kubusu jiwe
Kwenye Qur'aan kuna Aya nyingi zinazungumzia kusali
Wewe jamaa bana , koran imetaja sala tatu tu soma na uelewe, usi google na ki paste
 
Yani wewe ni muislamu alafu kwenye maktaba Yako hakuna kitabu Cha Sahihi Muslim, wewe ni muislamu feki
Mimi ni muislamu original sema wewe umekuja na brand mpya ya kiislamu ya kupotosha ummah sijui umewapata wangapi ambao Wakiona wakristo wanawaua
 
yaani wewe unayeitwa wenzio makafiri, ni gaidi kabisa. roho chafu ya shetwani hiyo. utaenda motoni usipompokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na uwe mkristo. period.
Kafiri ni kafiri na makafiri wapo
Waliowaua na kuwatesa wafuasi wa Issa walikua makafiri
Farao na jeshi lake ni makafiri
 
Rafiki unajua maana ya mfano (parable). Yesu hapa aliwapa story ya kabaila mmoja, huyo ndio aliyosema hayo maneno. Hayakuwa maneno ya Yesu hapa. Usipoteshe watu kwa tafsiri zako ambazo haziendani na muktadha. Hakuna msomi yoyote kikristo anaye tafsiri ufanyavyo wewe.
Mimi sijatafsiri nimesoma kama ilivyo andikwa
 
Ndio maana nakwambia wewe sio muislamu maana Muhammad kasema wazi jiwe linasamehe dhambi sasa wewe maka unaenda kufanyaje kama hauendi kusujudu kwa jiwe
Ndio maana nakwambia uislamu upo tofauti Sisi hatujafundishwa pahala eti jiwe linasamehe madhambi
Kuenda Makkah ni ibada ambayo inaitwa hijja iliokuwepo tangu enzi za Nabii Ibrahim hata kwenye Bible ipo
 
Attachments

  • IMG_20210222_165921.jpg
    IMG_20210222_165921.jpg
    107.5 KB · Views: 2
Haijataja neno tano but umetaja vipindi
Anyways wewe si muislamu halafu unafikiri unajua uislam
Pole sana
Ni vipindi vingapi vimetajwa , ndio maana huwezi kwepa hadith maana Muhammad ndio kasema sala tano kupitia hadith
 
Ndio maana nakwambia uislamu upo tofauti Sisi hatujafundishwa pahala eti jiwe linasamehe madhambi
Kuenda Makkah ni ibada ambayo inaitwa hijja iliokuwepo tangu enzi za Nabii Ibrahim hata kwenye Bible ipo
Alafu wewe hautakuwa sunni maana unapinga jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litaongea
 
Ni vipindi vingapi vimetajwa , ndio maana huwezi kwepa hadith maana Muhammad ndio kasema sala tano kupitia hadith
Kuna wazungu waliokuja Africa wakadai wamevumbua na kugundua vitu vingi kama ziwa Victoria. Mlima kilimanjaro nk
Kwa sasa kuna watu ambao sio waislamu lakini wanatulazimisha tufuate dini yetu kutokana na maono yao sio mafundisho yetu
Ndio maana wamejaribu kuharibu vijana na kuwapa silaha kuua watu
Lakini wamefeli kwa wale waislamu wa kweli waliosoma madrassa na kuelewa dini yao
Vile vile kuna waafrika wengi wanaamini wazungu Ndio waliogundua au kuvumbua vitu afrika
Ukweli utabaki vile vile kwamba kabla ya wazungu Kuja ziwa Victoria lilikuwepo
Kabla ya Christopher Columbus America iliokuwepo
Na dini yetu tunaijua na huo uislamu wenu wafundisheni hao majahil
Hebu Leo nenda kwa muislamu kama Zitto kabwe au husein mwinyi mwambie ajilipue
 
Alafu wewe hautakuwa sunni maana unapinga jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litaongea
Mimi ni muislamu hayo mambo yapo kwenye uislamu mpya wa kikafiri
Anae samehe dhambi ni Allah pekee uliza Muislam yeyote
 
Mimi ni muislamu hayo mambo yapo kwenye uislamu mpya wa kikafiri
Anae samehe dhambi ni Allah pekee uliza Muislam yeyote
Naitaji muislamu wa kweli ambao ni sunni wewe hatuwezi ku debate

Ni haibu muislamu sunni kubisha jiwe linasamehe dhambi na litaongea siku ya mwisho
 
Naitaji muislamu wa kweli ambao ni sunni wewe hatuwezi ku debate

Ni haibu muislamu sunni kubisha jiwe linasamehe dhambi na litaongea siku ya mwisho
Mimi ni muislamu hakuna yeyote anaesamehe madhambi sio jiwe. Malaika. Nabii wala kingine chochote isipokua Allah
Kama kuna mtu kakwambia hivyo kakuongopea
Ndio maana nakwambia kuna watu ambao si waislamu wanataka kuanzisha brand za kiislamu kama ilivyo kwenye ukristo
End of the day hawatafaulu
 
Mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kutoka koran sala tano , umeleta aya zinaonesha sala tatu, nenda kasome jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litakuwa shaidi kwa Allah
 
ImiMpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kutoka koran sala tano , umeleta aya zinaonesha sala tatu, nenda kasome jiwe liikitnjnasamehe dhambi nasqa siku ya mwisho litakuwa shaidi kwa Allah
Mkuu mimi nipo hapa msikitini naongea na sheikh mkubwa ambae amesoma maka miaka 15 amecheka sana na hoja zako
Sasa kama wanazuoni wakubwa hawajaiona aya hio wewe hata introduction ya uislamu huna sasa tufuate wanazuoni wetu au tufuate hoja za mtu fulani ambae anasema sema tu?
Huo uislamu wenu mkitumia pesa mtapata wafuasi kama vile ukristo ilivyo gawanywa na wazungu kwa kutumia pesa
 
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.

Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.

Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Hii vita ni kisingizio tu cha kudhulumu Waislamu ulimwenguni
 
mambo ya dini yanachosha tu Mungu anasema nawajua kabla sijawaumba kwaiy Mungu anaelewa Mimi ni wa motoni au peponi.maana ananijua sasa Mimi niangaike nanini.nasubili.tu nijue naenda peponi au underworld. maana ananijua kabla ajaniumba sina chakubadilisha..
 
Back
Top Bottom