Wewe jamaa bana , koran imetaja sala tatu tu soma na uelewe, usi google na ki pasteMimi nimeenda Maka na madina mara kadhaa sijaona ibada ya kubusu jiwe
Kwenye Qur'aan kuna Aya nyingi zinazungumzia kusali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa bana , koran imetaja sala tatu tu soma na uelewe, usi google na ki pasteMimi nimeenda Maka na madina mara kadhaa sijaona ibada ya kubusu jiwe
Kwenye Qur'aan kuna Aya nyingi zinazungumzia kusali
Haijataja neno tano but umetaja vipindiWewe jamaa bana , koran imetaja sala tatu tu soma na uelewe, usi google na ki paste
Mimi ni muislamu original sema wewe umekuja na brand mpya ya kiislamu ya kupotosha ummah sijui umewapata wangapi ambao Wakiona wakristo wanawauaYani wewe ni muislamu alafu kwenye maktaba Yako hakuna kitabu Cha Sahihi Muslim, wewe ni muislamu feki
Kafiri ni kafiri na makafiri wapoyaani wewe unayeitwa wenzio makafiri, ni gaidi kabisa. roho chafu ya shetwani hiyo. utaenda motoni usipompokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na uwe mkristo. period.
Mimi sijatafsiri nimesoma kama ilivyo andikwaRafiki unajua maana ya mfano (parable). Yesu hapa aliwapa story ya kabaila mmoja, huyo ndio aliyosema hayo maneno. Hayakuwa maneno ya Yesu hapa. Usipoteshe watu kwa tafsiri zako ambazo haziendani na muktadha. Hakuna msomi yoyote kikristo anaye tafsiri ufanyavyo wewe.
Ndio maana nakwambia uislamu upo tofauti Sisi hatujafundishwa pahala eti jiwe linasamehe madhambiNdio maana nakwambia wewe sio muislamu maana Muhammad kasema wazi jiwe linasamehe dhambi sasa wewe maka unaenda kufanyaje kama hauendi kusujudu kwa jiwe
Ni vipindi vingapi vimetajwa , ndio maana huwezi kwepa hadith maana Muhammad ndio kasema sala tano kupitia hadithHaijataja neno tano but umetaja vipindi
Anyways wewe si muislamu halafu unafikiri unajua uislam
Pole sana
Alafu wewe hautakuwa sunni maana unapinga jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litaongeaNdio maana nakwambia uislamu upo tofauti Sisi hatujafundishwa pahala eti jiwe linasamehe madhambi
Kuenda Makkah ni ibada ambayo inaitwa hijja iliokuwepo tangu enzi za Nabii Ibrahim hata kwenye Bible ipo
Kuna wazungu waliokuja Africa wakadai wamevumbua na kugundua vitu vingi kama ziwa Victoria. Mlima kilimanjaro nkNi vipindi vingapi vimetajwa , ndio maana huwezi kwepa hadith maana Muhammad ndio kasema sala tano kupitia hadith
Mimi ni muislamu hayo mambo yapo kwenye uislamu mpya wa kikafiriAlafu wewe hautakuwa sunni maana unapinga jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litaongea
Naitaji muislamu wa kweli ambao ni sunni wewe hatuwezi ku debateMimi ni muislamu hayo mambo yapo kwenye uislamu mpya wa kikafiri
Anae samehe dhambi ni Allah pekee uliza Muislam yeyote
Mimi ni muislamu hakuna yeyote anaesamehe madhambi sio jiwe. Malaika. Nabii wala kingine chochote isipokua AllahNaitaji muislamu wa kweli ambao ni sunni wewe hatuwezi ku debate
Ni haibu muislamu sunni kubisha jiwe linasamehe dhambi na litaongea siku ya mwisho
Mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kutoka koran sala tano , umeleta aya zinaonesha sala tatu, nenda kasome jiwe linasamehe dhambi na siku ya mwisho litakuwa shaidi kwa AllahMimi ni muislamu hakuna yeyote anaesamehe madhambi sio jiwe. Malaika. Nabii wala kingine chochote isipokua Allah
Kama kuna mtu kakwambia hivyo kakuongopea
Ndio maana nakwambia kuna watu ambao si waislamu wanataka kuanzisha brand za kiislamu kama ilivyo kwenye ukristo
End of the day hawatafaulu
Mkuu mimi nipo hapa msikitini naongea na sheikh mkubwa ambae amesoma maka miaka 15 amecheka sana na hoja zakoImiMpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kutoka koran sala tano , umeleta aya zinaonesha sala tatu, nenda kasome jiwe liikitnjnasamehe dhambi nasqa siku ya mwisho litakuwa shaidi kwa Allah
Murongo Mkubwa weweUsitoke nje ya mada
Uislamu ni Koran na sunna za Muhammad
Na pia Allah kasisitiza mtii kwanza Muhammad kabla ya Allah
Hii vita ni kisingizio tu cha kudhulumu Waislamu ulimwenguniTangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
ThibitishaMurongo Mkubwa wewe
Kwahyo hayo magaidi yasidhibitiwe?Hii vita ni kisingizio tu cha kudhulumu Waislamu ulimwenguni
na wewe ni kafiri famba chinjachinja we.Kafiri ni kafiri na makafiri wapo
Waliowaua na kuwatesa wafuasi wa Issa walikua makafiri
Farao na jeshi lake ni makafiri