Vita vya nini kama mazungumzo yanaweza kuzaa mapatano yenye tija?
1. Ama kweli amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga:
2. Kwamba Israel kwenye hasira kali na pepo la kisasi na mtafaruku ule Oct 7, wameuwa wengi wakiwamo wasiokuwa na hatia?
2. Kwamba wameuwa hadi raia (wakiwamo wa Israel), wanahabari, wauguzi, watoa misaada, waokozi, watoto (wakiwamo njiti), wanawake, wanajeshi (wakiwamo wao, hadi wa Lebanon), hata mateka wao waliokuwa wamesalimshwa?
3. Yote haya na uharibifu wote kwa tija au faida ipi?
4. Kipi kilicho bora kuliko mazungumzo?
5. Sasa Israel iliyokuwa haitaki mazungumzo, inaomba kuwezeshwa kupata uwezekano wa kuzungumza kumaliza mambo:
6. Sisi wapenda haki tuna nini cha zaidi ya kuwaombea heri?
7. Yaliyopita si ndwele muda wa kuganga yajayo.
8. Uelekeo ukiwa, kuachiliwa mateka na wafungwa wote mikononi mwa pande zote mbili;
9. Kuridhiwa kusimikwa kwa taifa huru la Palestina lenye mamlaka yake kamili, mji mkuu ukiwa Yerusalemi.
10. Kwa hakika itapendeza zaidi.
11. Ndugu wawili wakigombana chukua jembe ukalime, siku wakipatana chukua kapu ukavune.
12. Kila mmoja akagange nundu zake.
13. Mwana kondoo ameshinda, ibilisi ameshindwa!