Vita imeleta faida kubwa sana kwenye maisha ya mbeleni, kuliko amani

Vita imeleta faida kubwa sana kwenye maisha ya mbeleni, kuliko amani

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
"The sad truth is that some of the most important innovations in human history were born during wars. From the Internet and modern airplanes to life saving medicines like penicillin and a lot(nyingine zitatajwa hapo chini)."

Katika history ya maisha, uwepo wa vita imeleta product nyingi mno, vitu vingi tunavyotumia Leo hii ni product ya vita mbalimbali, either ethnic, world war or cold war.

Kwahiyo, mgogoro umeleta innovation nyingi kwa binadamu, kuliko amani.

Operation_Barbarossa_collage.jpg

​
 
Ni kweli.. human experimentation kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani na Poland kumesaidia sana kwa kiasi kikubwa kuvumbua tafiti mbalimbali za matibabu....
 
Ni kweli.. human experimentation kwenye makambi ya mateso huko Ujerumani na Poland kumesaidia sana kwa kiasi kikubwa kuvumbua tafiti mbalimbali za matibabu....
A lot hata blood transfusion iligunduliwa wakati wa vita kwa sasa ni useful mno kwa watu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom