Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

Utafunga nchi then watu watapata wapi chakula? Watu wanategemea kula kwa kutafuta kila siku.. Mungu amesikia maombi yetu.. hongera Magufuli (MSc)
 
Nikuombe ufatilie visa vya waliotest corona positive na kisha kufa je test baada ya kufa ziliakisi corona au maradhi yao halisi ambayo yalipuuzwa au kupotezewa au kutopewa umuhimu, mfano, tb, pumu, cancer, pressure, kisukari na etc, na pia twit ya mwele malecela je kama corona wakiwa kwenye surface ya mbao au ukuta utapimaje, na wachina wao waliweza kuona hilo na walipimaje mpaka atwitt vile na je, kimantiki hakumaanisha kumkebehi au kumdhihaki Rais?



 
Natamani Rai's angetuonjesha lock down hata siku tano tu.
Nadhani kwavitendo tungeielewa Nia yake.
JPM ni genious, hivo sitegemei wengi wamwelewe.

Nb: mwandishi P. Ni 'Noma'!!
 
Natamani Rai's angetuonjesha lock down hata siku tano tu.
Nadhani kwavitendo tungeielewa Nia yake.
JPM ni genious, hivo sitegemei wengi wamwelewe.

Nb: mwandishi P. Ni 'Noma'!!
 
Kwasababu hamjapewa takwimu sahihi.

Utakimbia nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kudanganya wasiojua bwana, akimbie nchi kwa vifo vingapi na maambukizi mangapi? Huu uchadema na uccm mnaouleta kwenye maisha ya watu ni wa kipuuzi sana.

Nadhani kuna watu mnatamani nchi ifungwe kabisa tulalae ndani, hilo halipo na tunatoka kutafuta chakula huku tukichukua tahadhari zote.
 
Kilichotokea ni kwamba ugonjwa uliingia ukiambatana na hofu kuu! Hofu ambayo peke yake inaua. Hofu ya kifo inaondolewa kwa imani ya Kumtegemea Mungu peke yake! Rais kusema tumtegemee Mungu alikuwa sahihi maana kitu cha kwanza ilikuwa kuondoa hofu. Nyumbani mwa ibada peke yake ndiko kungesaidia kuondoa hofu, watu waendelee kwenda nyumba za ibada huku wakiwa na tahadhari, wamuombe Mungu.
Kubali au kataa hii imesaidia saana kupunguza hofu na ndio maana kuna utulivu kiasi fulani. Utulivu ambao unapelekea watu kusikiliza nini cha kufanya.

Wenye uelewa wao wameliona hili na ndio maana wanasifia hata kama kuna dosari zipo katika kupambana na janga hili....

Nakupenda Tanzania!
 
Acha unafiki Paskali hivi hata wangeweka caption ya Mbuzi, fenesi na papai wangetucheka vipi wakati ni utafiti? Zingatia tafiti hupingwa kwa tafiti.
Siku zote misimamo ya Rais wetu ipo imara na yenye mantiki! Hongera Rais John Magufuli, umewashika pabaya mabeberu kamatia hapo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…