GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane.
“Kama watu hawapati umeme, kama watu hawapati nishati wanayoihitaji, hata tukivaa suti za namna gani tunakuwa hatuna maana na tutakuwa tunasemwa kila siku, kiu yangu ni kuona tunafanya kazi kwa viwango ili huduma ya nishati iwafikie wananchi wote,” alisema Dk Biteko.
Dkt. Biteko alisema hayo jana Jumatatu, Septemba 4, 2023 baada ya kupokewa rasmi na menejimenti na watumishi wa Wizara ya Nishati katika Ofisi za wizara hiyo zilizopo jijini Dodoma baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nyadhifa hizo.
Chanzo: Mwananchi
Mwalimu wangu wa UMAFIA na MKAKATI aliwahi kuniambia kuwa Siku zote ukijua una Maadui zako Wawili, wana Nguvu ya Kiushawishi na Fedha na ni Tishio Kwako dawa ni Kuwachonganisha katika Sahani yenye Keki Tamu kisha Unawasakizia kila Mtu kwa muda wake ili Wamalizane wao kwa wao na akibakia Mmoja unammalizia tu Kiurahisi na badae unajikuta uko peke yako kisha Road to another Five Years Kwako inakuwa nyeupe ndani ya Nyumba moja.
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta ( Tunu ) ya kufanya Observation, kuifanyia Analysis na kujua nini kinaenda kutokea kutokana na Mazingira na Hali iliyoko.
Hi Vita isipodhibitiwa kuna Hatari.