Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani mtoto chakla.

Ommy Dimpoz ameshindwa kuvumilia na kujibu mapigo. Kwa kupitia Instagram, Ommy dimpoz ameweka video ya binti mzuri na ameandika haya;
 
Movie imeanza sasa. Adui nani sasa?
 
mpaka hapa sijui nani yupo sahihi
 
Uzuri wa nay wa mitego anasema kweli na wengi hawapendi kuambiwa ukweli,ngoja nikaisikilize ngoma.
 
Hahahahahaa Ommy Dimpoz katisha sana,uwiiii sio kwa majibu haya.
Ngoja niende Insta kushuhudia mpambano vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…