Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

NEY NAYE MBULULA TU SIO MJANJA MWANAUME ANATUMIA MKOROGO.Nashangaa hana ngeo aje TARIME kama yeye ni mtu wa shari.diamond hatukani mtu ye kila verse tusi.
 
Hivi kwanini Ney Wa mitego anajiita "THE TRUE BOY"

Kuna nini nyuma ya jina lake na hizi nyimbo zake...?

Ule wimbo Wa "salam zao" alimchana madam Rita , hadi Madame akamualika kwenye semi-final ya Bss...labda alienda kumtuliza Ney....

Nahisi kuna ukweli 85% ya anayoimba.....

Ni hayo tuuu....
[emoji41] [emoji41]
 
Wimbo wenyewe huu....Nimecheka sana,naona BASATA wameufungia baada ya wao nao kupewa makavu
 
Hivi kwanini Ney Wa mitego anajiita "THE TRUE BOY"

Kuna nini nyuma ya jina lake na hizi nyimbo zake...?

Ule wimbo Wa "salam zao" alimchana madam Rita , hadi Madame akamualika kwenye semi-final ya Bss...labda alienda kumtuliza Ney....

Nahisi kuna ukweli 85% ya anayoimba.....

Ni hayo tuuu....
[emoji41] [emoji41]
Mkuu Transcend kawaida Madam Ritha huwa hataki kabisa kukosolewa kwenye kazi zake,akiona mtu kamkosoa sana anahonga au anamuweka karibu ili asimkosoe moja kwa moja,Salama alikuwa anamkosoa sana madam Ritha....sasa Dada akaona isiwe tabu,bora amvute kabisa kama Jaji,ili hata Salama akikosoa ionekane anakosoa kama sehemu ya BSS.Ukipata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Madam Ritha na Star Tv kwenye BSS iliyopita utaona jinsi huyu dada anavyopenda "kusifiwa" tu bila changamoto.Hapa ni kipande kidogo tu kinachokuonyesha jinsi Madam alivyompata Salama
 
Afadhali shetta hajajibu kuhusu kupewa gari na chief kiumbe angefanya wabongo wafukue mafaili yake. ..pia kwanini ney hajamchana rommy Jones maana hii tabia ya ommy na rommy si ya kufumbiwa macho....nikirudi kwa ney nadhani pesa zinamchanganya ndo maana anapaka bila woga ila kama hajajipanga vizuri game inamshinda maana support ya mawingu haipo tena
Nadhani ney limbukeni hiyo iko wazi kabisa na Ana tabia za like kuingilia maisha binafsi ya watu
Na kuhusu why hajamuimba Romy I think kila mtu anajua kuwa jamaa ni kibwabwa so kwa ommy ni kisirisiri(kama kweli) so ndo kaamua kumuweka wazi. Sema ommy hata kama sio kweli kaharibu sana kumjibu tena kwa mipasho ya kike! Ambako hata mimi nimepata wasi
 
Najaribu kuunganisha doti jinsi SHETTA anavyojishebedua na kulambalamba midomo na kupewa gari la bure na Chief kiumbe .....
 
ommy na kadinda dugu moja!
wanaume wengi wenye urafiki na wema sepetu asilimia 80 wanapumuliwa
 
ommy dimpoz ndio handsome pekee asiekua na kashfa za ngono haijawai kuonekana akiwa katika poz la mahaba na mwanamke tangu mwaka 2002 alipokua mbezi sec licha ya umaarufu itakua ana kibamia
Kwa hiyo wenye maskendo na wanaopiga za mahaba wana midude mikubwa??
Napenda anapofanya maisha yake ya faragha kuwa faragha pale mpaka mahusiano yatakapokua yanaeleweka.
 
Kwa hiyo wenye maskendo na wanaopiga za mahaba wana midude mikubwa??
Napenda anapofanya maisha yake ya faragha kuwa faragha pale mpaka mahusiano yatakapokua yanaeleweka.
bwana we tungesikia tu we madem wote hawa vibamia weng waoga na unapokua mtu maarufu maisha yako sio mali yako bali ni mali ya jamii
 
Baada ya ney kumponda ommy kwenye nyimbo yake kua jogoo hawiki ommy kaja na hii.
Binafsi nimependa kwani Ommy hajatukana au kutoa dorect words. Napia ameonyesha dhahiri kutoshobokea bifu hilo
Itasame hapa
 
bwana we tungesikia tu we madem wote hawa vibamia weng waoga na unapokua mtu maarufu maisha yako sio mali yako bali ni mali ya jamii
Mkuu na wewe una icho kibamia nini?maana uoga ni inner feelings,sasa umejuaje km vibamia ni waoga,bila shaka nawe una aka kaulemavu ka mguu wa tatu...! Nashukuru.
 
Back
Top Bottom