appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
wafuatao hawana skendo za wanawake kama dimpozduh...
ben kinyaiya
martin kadinda
rio paul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wafuatao hawana skendo za wanawake kama dimpozduh...
basi kaka inatosha...wafuatao hawana skendo za wanawake kama dimpoz
ben kinyaiya
martin kadinda
rio paul
Mkuu Transcend kawaida Madam Ritha huwa hataki kabisa kukosolewa kwenye kazi zake,akiona mtu kamkosoa sana anahonga au anamuweka karibu ili asimkosoe moja kwa moja,Salama alikuwa anamkosoa sana madam Ritha....sasa Dada akaona isiwe tabu,bora amvute kabisa kama Jaji,ili hata Salama akikosoa ionekane anakosoa kama sehemu ya BSS.Ukipata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Madam Ritha na Star Tv kwenye BSS iliyopita utaona jinsi huyu dada anavyopenda "kusifiwa" tu bila changamoto.Hapa ni kipande kidogo tu kinachokuonyesha jinsi Madam alivyompata SalamaHivi kwanini Ney Wa mitego anajiita "THE TRUE BOY"
Kuna nini nyuma ya jina lake na hizi nyimbo zake...?
Ule wimbo Wa "salam zao" alimchana madam Rita , hadi Madame akamualika kwenye semi-final ya Bss...labda alienda kumtuliza Ney....
Nahisi kuna ukweli 85% ya anayoimba.....
Ni hayo tuuu....
[emoji41] [emoji41]
Si kaitwa neema jibu ni rahisi kujua Nani jogoo anapanda na Nani hapandisasa ney kajuaje kama jamaa jogoo halipandi mlima
Daaa!! Nimecheka mpaka basi yaaniPaspoti inahusika kuwa huwa anaenda Nje ya Nchi kukalia kitu chenye ncha kali.
Nadhani ney limbukeni hiyo iko wazi kabisa na Ana tabia za like kuingilia maisha binafsi ya watuAfadhali shetta hajajibu kuhusu kupewa gari na chief kiumbe angefanya wabongo wafukue mafaili yake. ..pia kwanini ney hajamchana rommy Jones maana hii tabia ya ommy na rommy si ya kufumbiwa macho....nikirudi kwa ney nadhani pesa zinamchanganya ndo maana anapaka bila woga ila kama hajajipanga vizuri game inamshinda maana support ya mawingu haipo tena
Sio hata zito kiivyo majibu yanaweza kuwa haya labda ney ni shoga au kweli ommy amempitia demu ney so ney kamind.Swali zito hilo.
kama ney anakuburudisha we huna tofauti na hao wa ccmKama ilivyo na watu was hovyo kabisa wanaoiunga mkono ccm,bora nay anaburudisha
hivi wewe hunaga kazi ya kukuingizia kipato,au ndo mashankupe ya mjini?
Kwa hiyo wenye maskendo na wanaopiga za mahaba wana midude mikubwa??ommy dimpoz ndio handsome pekee asiekua na kashfa za ngono haijawai kuonekana akiwa katika poz la mahaba na mwanamke tangu mwaka 2002 alipokua mbezi sec licha ya umaarufu itakua ana kibamia
bwana we tungesikia tu we madem wote hawa vibamia weng waoga na unapokua mtu maarufu maisha yako sio mali yako bali ni mali ya jamiiKwa hiyo wenye maskendo na wanaopiga za mahaba wana midude mikubwa??
Napenda anapofanya maisha yake ya faragha kuwa faragha pale mpaka mahusiano yatakapokua yanaeleweka.
Mkuu na wewe una icho kibamia nini?maana uoga ni inner feelings,sasa umejuaje km vibamia ni waoga,bila shaka nawe una aka kaulemavu ka mguu wa tatu...! Nashukuru.bwana we tungesikia tu we madem wote hawa vibamia weng waoga na unapokua mtu maarufu maisha yako sio mali yako bali ni mali ya jamii