Uchaguzi 2020 Vita kali ubunge Babati Mjini. Nani apewe?

Uchaguzi 2020 Vita kali ubunge Babati Mjini. Nani apewe?

Mwalimu Ester Mahawe na Paulina Gekul, Chambiri na Yule Anne aliyehamia juzi 25/06/2020 kutoka cmd kwenda CCM wote wale wale hawafai kabisa maaana hawajaifanyia babati haki, walipewa nafasi na wananchi pamoja na Vyama vyao na bado wakafeli afu saivi wanataka tena. Ivi hata hawaoni aibu? utasikia oh mda haukutosha,oh nilikuwa napingwa na chama oh nini bla blaaa blaaaa blaaaaaa nyingiiiiii. Hatuwataki hao na tunaomba chama chetu kituleteee kijana mpyaaaaa kwa ajili ya babati mjini,kipenzi cha wanababati wote, Babati tunataka maendeleo,huduma bora,elimu bora,maji masafiiiii, kwenye michezo pia wanababati tunapenda secta ya michezo ikue timu zetu zipande ligi kuu na simba na Yanga waje babati kucheza,heshima ya riadha bababti irudikama zamani,hapa kuna vipaji vingi sana vya riadha hakuna wa kuwasaidia. Tunataka mtu atakayefanya kitu kwa ajili ya wanababati.
 
Mchepuko ulioomba mkopo 50M na ukapewa 70M msaada eti "shughuli za chama"!
Lazima Bashiru alitwanga ile maneno ya gulioni kater... na Mbulu akaiva
Sio Kila sehemu Siku ya Gulio Kater....inafanya kazi!
 
Back
Top Bottom