Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

Alianza kwa mbwembwe kweli, na msururu wa vifaru umbali wa dar moro akakutana na juvenile.
Donbas yote imeshakombolewa Sasa tunaitaka kiev,Putin keshatoa agizo.
Kama hujui maana ya Donbas,maana yake ni Kanda mbili kubwa za Lugansk na Donesk.
Kwa Tanzania ni sawa na Kanda ya ziwa.

Yaania Kagera,Geita,Mwanza,Mara na simiyu,Shinyanga.zote zichukuliwe na adui.
 
Russia inakadiria nguvu ya kuipiga Ukraine, kuna siku Ukraine huwa wakifanya mashambulizi maeneo ya kimkakati ya Russia, Russia hujibu kwa mashambulizi ya nguvu sana..

Hadi unajiuliza kwanini wasiendelee na moto huo huo?

Russia kuna inapambana kwa akili sana..
 
URUSI ANAPIGANA NA UKRAINE. HAYO MENGINE TUNAJIFARIJI TU. NATO WANGEINGIZA MAJESHI URUSI ISINGEKUWA ILIPO SASA
Tufanye Ni kwelikama unavyotaka iwe, na mpaka Sasa hivi Urusi amechukua sehemu kubwa sana ya ardhi ya Ukraine yenye utajiri mkubwa sana.
Yaani kwa lugha rahisi Urusi imeteka eneo kubwa la Ukraine wakati Ukraine haijapata chochote wala haijakomboa chochote.
 
Russia inakadiria nguvu ya kuipiga Ukraine, kuna siku Ukraine huwa wakifanya mashambulizi maeneo ya kimkakati ya Russia, Russia hujibu kwa mashambulizi ya nguvu sana..

Hadi unajiuliza kwanini wasiendelee na moto huo huo?

Russia kuna inapambana kwa akili sana..
Ni busara za Urusi TU,ambazo kwa kweli zinachelewesha mambo
Pengine sijui ni kwa sababu wanavinasaba na watu wa Ukraine?
 
..hii vita ni ngoma droo.

..haina maana tena.
Hakuna droo wakati nchi moja imenyang'anywa sehemu ya miji ya ke.
Urusi imeteka eneo la Ukraine.
Mfano tuchukukie Idi Amin angechukua (Teka)Kanda ya ziwa yote.Donbass yote Iko mikononi mwa Urusi.Ukisikia kuchukua ardhi sio ardhi tupu,ni kuchukua ardhi yenye rasilimali zote,yaani,ardhi,watu,majengo,viwanda,mifugo n.k
 
..kila upande unastahili pongezi.

..Russia wapongezwe kwa mashambulizi mazito.

..Na Ukraine wapongezwe kwa jinsi walivyostahimili kwa muda mrefu.

..Binafsi nawapongeza askari wote walioko mstari wa mbele.

..kila upande ni mashujaa na wazalendo kwa nchi zao.

..Ukiwatathmini askari wapiganaji wa pande zote hutasita kusema kwamba wote ni washindi.

..NGOMA DROO.
 
Ni busara za Urusi TU,ambazo kwa kweli zinachelewesha mambo
Pengine sijui ni kwa sababu wanavinasaba na watu wa Ukraine?
Ndio maana hio vita ni ya muda mrefu lakini raia walio uawa ni wachache.. hawapambani kama walevi au kama Israel na US wanavyoshambulia...

Russia wakitaka kutumia nguvu hapo..itakuwa hatari..
 
Haya sawa nimekubali kua Urusi alichukua askari kutoka NOKO,je bado wapo?
Haya tufanue Urusi inasaidiwa na NOKO kwa hiyo itakua ni nchi mbili yaani Urusi +NOKO zinapigana na nchi zaidi ya 40.
Nchi zaidi ya arobaini zimeshindwa kuzishinda nchi mbili.
Tena zote mbili ni nchi masikini Kwa mujibu wa Imani yenu pro west.
Sasa kama ana washirika hao wawili maana yake hana washirika wanaoweza kumsupport waziwazi.
Warusi kwa sasa ndio wanaanza kuonja ladha ya vita vyao walivyoanzisha Ukraine
 
Russia inakadiria nguvu ya kuipiga Ukraine, kuna siku Ukraine huwa wakifanya mashambulizi maeneo ya kimkakati ya Russia, Russia hujibu kwa mashambulizi ya nguvu sana..

Hadi unajiuliza kwanini wasiendelee na moto huo huo?

Russia kuna inapambana kwa akili sana..
Akili gani bwana ya kupigana miaka minne vita haiishi, hiyo sio akili ni kuzidiwa
 
Akili gani bwana ya kupigana miaka minne vita haiishi, hiyo sio akili ni kuzidiwa
Us kapambana miaka 20 pale Afghanistan, na mwisho wa siku kakimbia.. Afghanistan nchi masikini kabisa..

Unakuja shangaa Russia inayopambana na collective west kupitia Ukraine...

Russia ilichofanya mi mwenyewe sikufahamu wana nguvu kiasi kile..
 
Vi drone vinavyorushwa kuelekea Urusi havina faida yoyote kivita Kwa Ukraine,wala havina madhara yoyote kivita Kwa Urusi.
Havikomboi maeneo yaliyoyekwa zaidi vinaikasirisha Urusi na imeongeza mashambulizi ya maangamizi mkubwa.
Ukraine Sasa hivi inapigwa kama Ngoma na zaidi maeneo ya kimkakati yanazidi kutekwa.
Mfano konstantinovka imeangukia mikononi wa Urusi majuzi TU.
Na ilikua ni most fortified.
Akili matope haya!

Unataka madhara Gani yampaye tofauti na hayo?
 
Back
Top Bottom