Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
- #61
Naona unalazimisha hoja.Iran (umesahau shaheed drones)
China
Belarus
Hao sio washirika wa Urusi?.....
Sasa niambie ni lini vikao vilikaa au vinakaaga kujadili kuisaidia Urusi kama vile NATO wanavyokaaga kuisaidia Ukraine.
Juzi TU katika mwezi huu wa July 26 NATO wamekaa pamoja kuisaidia Ukraine.