Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
-
- #21
Donbas yote imeshakombolewa Sasa tunaitaka kiev,Putin keshatoa agizo.Alianza kwa mbwembwe kweli, na msururu wa vifaru umbali wa dar moro akakutana na juvenile.
Tufanye Ni kwelikama unavyotaka iwe, na mpaka Sasa hivi Urusi amechukua sehemu kubwa sana ya ardhi ya Ukraine yenye utajiri mkubwa sana.URUSI ANAPIGANA NA UKRAINE. HAYO MENGINE TUNAJIFARIJI TU. NATO WANGEINGIZA MAJESHI URUSI ISINGEKUWA ILIPO SASA
Ni busara za Urusi TU,ambazo kwa kweli zinachelewesha mamboRussia inakadiria nguvu ya kuipiga Ukraine, kuna siku Ukraine huwa wakifanya mashambulizi maeneo ya kimkakati ya Russia, Russia hujibu kwa mashambulizi ya nguvu sana..
Hadi unajiuliza kwanini wasiendelee na moto huo huo?
Russia kuna inapambana kwa akili sana..
Hakuna droo wakati nchi moja imenyang'anywa sehemu ya miji ya ke...hii vita ni ngoma droo.
..haina maana tena.
Hakuna droo wakati nchi moja imenyang'anywa sehemu ya miji ya ke.
Urusi imeteka eneo la Ukraine.
Mfano tuchukukie Idi Amin angechukua (Teka)Kanda ya ziwa yote.Donbass yote Iko mikononi mwa Urusi.Ukisikia kuchukua ardhi sio ardhi tupu,ni kuchukua ardhi yenye rasilimali zote,yaani,ardhi,watu,majengo,viwanda,mifugo n.k
Ndio maana hio vita ni ya muda mrefu lakini raia walio uawa ni wachache.. hawapambani kama walevi au kama Israel na US wanavyoshambulia...Ni busara za Urusi TU,ambazo kwa kweli zinachelewesha mambo
Pengine sijui ni kwa sababu wanavinasaba na watu wa Ukraine?
Sasa kama ana washirika hao wawili maana yake hana washirika wanaoweza kumsupport waziwazi.Haya sawa nimekubali kua Urusi alichukua askari kutoka NOKO,je bado wapo?
Haya tufanue Urusi inasaidiwa na NOKO kwa hiyo itakua ni nchi mbili yaani Urusi +NOKO zinapigana na nchi zaidi ya 40.
Nchi zaidi ya arobaini zimeshindwa kuzishinda nchi mbili.
Tena zote mbili ni nchi masikini Kwa mujibu wa Imani yenu pro west.
Hapana lo vita sio nzuri!
Akili gani bwana ya kupigana miaka minne vita haiishi, hiyo sio akili ni kuzidiwaRussia inakadiria nguvu ya kuipiga Ukraine, kuna siku Ukraine huwa wakifanya mashambulizi maeneo ya kimkakati ya Russia, Russia hujibu kwa mashambulizi ya nguvu sana..
Hadi unajiuliza kwanini wasiendelee na moto huo huo?
Russia kuna inapambana kwa akili sana..
Us kapambana miaka 20 pale Afghanistan, na mwisho wa siku kakimbia.. Afghanistan nchi masikini kabisa..Akili gani bwana ya kupigana miaka minne vita haiishi, hiyo sio akili ni kuzidiwa
Akili matope haya!Vi drone vinavyorushwa kuelekea Urusi havina faida yoyote kivita Kwa Ukraine,wala havina madhara yoyote kivita Kwa Urusi.
Havikomboi maeneo yaliyoyekwa zaidi vinaikasirisha Urusi na imeongeza mashambulizi ya maangamizi mkubwa.
Ukraine Sasa hivi inapigwa kama Ngoma na zaidi maeneo ya kimkakati yanazidi kutekwa.
Mfano konstantinovka imeangukia mikononi wa Urusi majuzi TU.
Na ilikua ni most fortified.
Kwani ungechangia hoja bila kunitukana nisingeelewa?Akili matope haya!
Unataka madhara Gani yampaye tofauti na hayo?
bkwa sababu West wanapigana bega kwa bega na Ukraine.Vita ndefu haiishi.
Kwa standard ya kupigana vita ni miaka mingapi?Akili gani bwana ya kupigana miaka minne vita haiishi, hiyo sio akili ni kuzidiwa
Hivi Madam huwezi ukachepuka kwa muda ukamtoroka Mwamba ?halafu utarudi baadae?Hapana lo vita sio nzuri!