Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

Huu ulioandika hapa ni upuuzi. Ukraine anachofanya ni kujilinda dhidi ya uvamizi. Huyo mvamizi ndio aseme mpaka sasa operation zake zimefikia wapi na nini zilikuwa malengo yake!? Na je, malengo hayo yametimia kiasi gani!? Labda unaweza kuwasaidia kujibu!
 
Ndio maana hio vita ni ya muda mrefu lakini raia walio uawa ni wachache.. hawapambani kama walevi au kama Israel na US wanavyoshambulia...

Russia wakitaka kutumia nguvu hapo..itakuwa hatari..
Porojo tu hizi. Eti Russia wakitaka kutumia nguvu!? Kwani hivi sasa wanawagawia mikate wa_Ukraine!?
 
Porojo tu hizi. Eti Russia wakitaka kutumia nguvu!? Kwani hivi sasa wanawagawia mikate wa_Ukraine!?
Hawataki kuua raia kama Israel wafanyavyo..

2024 Oreshnik ilipigwa pale Dnipro jiji zima lilitikisika..
Lile kombora linatoa miale mikali sana na linashuka kwa kasi ya umeme...

Patriot na ADs zingine zilichelewa kupiga king'ora tokana na speed ya hilo kombora..

Kombora moja lina vichwa sita, na linakwenda kwa speed ya Mach 10, hakuna yeyote ndani ya NATO ama jeshi la Ukraine walifahamu kuna hilo kombora.

Toka vita imeanza Russia walikuwa wamebunda tu, wakitumia silaha nyingine..

Ndio maana nakuambia Russia wanaweza kuongeza mashambulizi ya nguvu zaidi , wanaweza kupunguza ama kufanya wastani.. wanafanya escalation control..

Russia inazalisha mabomu na risasi kwa wingi ndani ya miezi mitatu kuliko nchi zote za NATO ukizijumuisha, ambazo zipo 32 ndani ya mwaka mzima.. yani jumla ya uzalishaji wa mabomu nchi zote za NATO haifikii Russia..

Russia inazalisha vifaru na magari ya kivita kwa wingi kuliko nchi zote za NATO ukijumuisha uxalishaji wao kwa pamoja kwa mwaka..

Usiichukulie poa Russia
 
Porojo tu hizi. Kama anajitosheleza huo msaada anaopokea toka kwa North Korea na wapambe wake wengine ni wa nini!?
 
Porojo tu hizi. Kama anajitosheleza huo msaada anaopokea toka kwa North Korea na wapambe wake wengine ni wa nini!?
Sasa nchi zaidi ya 32 zinapambana na nchi moja , huo msaada wa North Korea sio hata msaada, ni askari wa NK walikwenda kupata uzoefu wa kivita..

Hata US kuivamia Libya pekee aliita NATO, na sasa anaziomba nchi za EU kuivamia Iran.. Iraq zilikwenda nchi zaidi ya 40 kuivamia.. wakiongozwa na US..

Russia si mchezo..
 
Japo misaada kutoka Marekani imepungua kwa Ukraine lakini bado Urusi imeshindwa kupata ushindi mpaka Sasa.

Urusi ilikuzwa mno na propaganda kuliko uhalisia.

T14 Armata Kichuguu
 
NATO ingeamua kutumia uwezo wake mkubwa kuisaidia Ukraine toka mwanzoni kabisa mwa uvamizi ikiwemo kutoa 'offensive weapons ', tungekuwa tunaongea mengine Sasa hivi.

T14 Armata
 
Iran (umesahau shaheed drones)
China
Belarus
Hao sio washirika wa Urusi?.....
 
Sasa nchi zaidi ya 32 zinapambana na nchi moja , huo msaada wa North Korea sio hata msaada, ni askari wa NK walikwenda kupata uzoefu wa kivita..
Yaani askari zaidi ya 10,000 wa Korea Kaskazini waliokuwa huko Kursk hawakuwa vitani ila mafunzo ya kuongeza ujuzi?...
Hata US kuivamia Libya pekee aliita NATO, na sasa anaziomba nchi za EU kuivamia Iran.. Iraq zilikwenda nchi zaidi ya 40 kuivamia.. wakiongozwa na US..
Yaani unaamini nchi kuwa na Ushirika mkubwa wa kukuunga mkono hasa kwenye eneo la kijeshi/usalama na sera za kigeni ni Udhaifu?
 
Wewe ni mjinga mmoja usiefatilia habari.
Hivi Donbass bado Iko Ukraine?
Je Ukraine imekubaliwa kujiinga na NATO?
Hata haya huyajui?

Kukuita mjinga sijakutukana ujue.
 
Kuna watu hawana taarifa kabisa lkn wanataka kubishana na mtu mwenye taarifa.
Unakuta mtu anakuambia porojo wakati wewe umempa fact.
Mfano TU ni hiyo ishu ya Oreshink.
Hata kuzalisha silaha mara tatu zaidi ya nchi zote za west imesemwa pia na wataalam wa west kwenyew,lkn unakuta mbongo anasema porojo.
Hii nchi ngumu sana aisee.
 
Tunashukuru kwa taarifa
 
Wewe ni mjinga mmoja usiefatilia habari.
Hivi Donbass bado Iko Ukraine?
Je Ukraine imekubaliwa kujiinga na NATO?
Hata haya huyajui?

Kukuita mjinga sijakutukana ujue.
Hata mimi kukuita mpumbavu sijakutukana. Ni kwa vile hujajibu hayo maswali na kujiona unafuatilia habari kuliko wengine. Kama ni kuikalia DONBAS , mimi nitakuambia hiyo sio sehemu ya kwanza wao kuikalia. Hata Crimea pia waliichukua. Je, wakati wanaichukua ilikua kwa sababu ya Ukraine kutaka kujiunga NATO!?
 
..hii vita ni ngoma droo.

..haina maana tena.
Hii vita itamalizwa na mazungumzo tu...hakuna atakayeshinda kijeshi.

T14 Armata
 
Kipindi kile mmejaza vifaru Kenda Kiev mliongea maneno ya shobo ila baada ya kichapo oooh Ukraine anasaidiwa na NA TO. Hiyo NATO mnaijua?
 
Kipindi kile mmejaza vifaru Kenda Kiev mliongea maneno ya shobo ila baada ya kichapo oooh Ukraine anasaidiwa na NA TO. Hiyo NATO mnaijua?
Ile convoy ilikuwa msafara wa Dar mpaka Morogoro ila 'javenile' za Ukraine zilifanya kazi....

Hawa Warusi weusi kina 100 others wanatuambia eti Urusi haijatumia nguvu zake zote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…